Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ndio vitu gani hivi we mzee, manake nikiona hizi nyonga na vino na hizo nyama basi hali inakuwa tete...Acha hizo[emoji1787][emoji1787]
Yaani siku hizi ziko nzuri balaa, yaan nikienda madukani lazima nichukuwe rangi mpya.nametishia na nguo za ndani.Umeitambua siri ya urembo usio na madhara
Dah.. Sorry to say this.. But nadhani jamaa anafaidi hadi namuonea wivu[emoji85]Yaani siku hizi ziko nzuri balaa, yaan nikienda madukani lazima nichukuwe rangi mpya.nametishia na nguo za ndani.
Kiufupi mimi matumizi yake siyajui nilijikuta nazipenda kuzivaa all the time. Nzuri zaidi ni hizi za kisasa unakuta ziko sita au tisa zimefungwa pamoja weee kwakweli ni nzuri.
Yaani usiku nikiwa naandaa nguo ya kuvaa kesho basi naandaa na shanga inayoendana[emoji23][emoji23]
Kwendraaaaa😂😂😂Dah.. Sorry to say this.. But nadhani jamaa anafaidi hadi namuonea wivu[emoji85]