Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

232751196-737633604.jpg
 
Yaani siku hizi ziko nzuri balaa, yaan nikienda madukani lazima nichukuwe rangi mpya.nametishia na nguo za ndani.

Kiufupi mimi matumizi yake siyajui nilijikuta nazipenda kuzivaa all the time. Nzuri zaidi ni hizi za kisasa unakuta ziko sita au tisa zimefungwa pamoja weee kwakweli ni nzuri.

Yaani usiku nikiwa naandaa nguo ya kuvaa kesho basi naandaa na shanga inayoendana[emoji23][emoji23]
Aisee
 
Usiombe shanga ikashika vooooz, utatamani kuita watu
Kuna mzungu mmoja alienda Tabora akakutana na mwanamke wa kinyamwezi shanga kama zote sasa kwenye mbilinge mavuzi ya mzungu yakajisokota kwenye shanga basi mzungu akaanza kupiga kelele... Majumaaaa shanga shika buji, sasa mama juma akawa haelewi yeye anaongeza uno tu... mzungu anazidi kupiga kelele majumaaaa changa shika buji[emoji16] hadi mama juma kushtuka mzungu ameshaiva mavuzi yameng'oka!
 
Majumaaaa shanga shika buji, sasa mama juma akawa haelewi yeye anaongeza uno tu... mzungu anazidi kupiga kelele majumaaaa changa shika buji
giphy.gif
 
Wakuu

Malaya utawafahamu vipi hapa jijini Dar es salaam?

Wacha nikufungulie code, mwanamke yeyote aliyotoboa pua huyo ni malaya wa kutupwa

Mwanamke anayevaa vikuku i mean shanga au cheni miguuni huyo ndio kabisa mpaka nyuma anafanywa

Mwanamke mvaa shanga kiunoni kama mganga wa kienyeji ni malaya haswaa kwani anaamini hayo madude hupagawisha kitandani kumbe sio

Kwa kuongezea, wale wapaka nywele rangi (breach) nao pia malaya.

Ukitokea uko na mwanamke mwenye sifa mojawapo hapo juu tumia KONDOM
 
Back
Top Bottom