Endelea na umalaya hivyohivyoAcha ushamba jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea na umalaya hivyohivyoAcha ushamba jamaa
Hizo ndio sifa za malaya, usisipepeseNafikiri tusigeneralize sana vitu, inawezekana walio wengi wana sifa hizo lakini ninakuhakikishia sio wote. Wengine huvaa kama sehemu ya urembo na wanapenda.
Mimi sio mwalimu, huko shuleni mlipelekwa kusomea ujinga?Nitajie tofauti tano zinazomtofautisha kahaba na malaya
Ninavyoelewa kiufupi tu bila kujaza umati kahaba hana tofauti yoyote na Malaya sababu wote wanauza uchi
Dogo me downtown kitambo saanaNilivyofika mjini kutoka Bush kwetu kule niliwaza hivyo hivyo,tulia tulia townkwanza utaona ni kawaida, alafu hayo yote uliyoyasema utagundua sio kweli
Dogo kuwa na adabuAcha kukalili zama zimebadirika hata mkeo anaweza kuwa malaya wa mtaa na hivo vikuku havai
Ushamba sio kitu kizuri na unaonekana ndio umeanza kuvaa viatuWakuu
Malaya utawafahamu vipi hapa jijini Dar es salaam?
Wacha nikufungulie code, mwanamke yeyote aliyotoboa pua huyo ni malaya wa kutupwa
Mwanamke anayevaa vikukuu i mean shanga au cheni miguuni huyo ndio kabisa mpaka nyuma anafanywa
Mwanamke mvaa shanga kiunoni kama mganga wa kienyeji ni malaya haswaa kwani anaamini hayo madude hupagawisha kitandani kumbe sio
Kwa kuongezea, wale wapaka nywele rangi (breach) nao pia malaya.
Ukitokea uko na mwanamke mwenye sifa mojawapo hapo juu tumia KONDOM
Kama umalaya ndio ujanja wacha niendelee kubaki mshambaKwa ushamba wako au?? Jifunze kuoga kwanza maana kwako hapa wapaka lotion malaya
Pesa ya kunitosha kuishi, kula kunywa beer muda wote, kuhonga kianzia tarehe 1-30 mwaka mzima ipoTafuta Hela kijana acha makasiriko,
Hao uliowataja ni Wajanja wa Mjini najua kuwapata imekua shida aidha wajishtukia kwa hali yako ama wamekukataa,
#Kila Kiungo cha Mwanamke kinahitaji Urembo, kama ulisikia Mwanamke ni Pambo la Nyumba basi ndio hayooo
Sasa jichanganye uvae uoneMi naona ni mtazamo wako tu. Siku hizi hizo shanga zinavaliwa kama urembo tu. Juzi kati hapa nimetoka kubishana na mr. nae anaona mwanamke kuvaa vikuku ni malaya. Nikamwambia ni vile tu sijawai kivipenda na mi ningevaa. Nilikatwa jicho lile la"ole wako".
Huyo wife wako ni chawote!Acha hizo iman lada vikuku ila shanga Kiunoni kawaida ,, sasa me wife anavaa nguo ndefu hizo shanga naziona mimi peke yangu akivua. kuna tatizo gn? Na umalaya wake unatoka wap?Acha ushamba wako rudi huko porini
Ahahah kama ni urembo mbona huvai sasaNdio rafiki.
Nb:Sivai vikuku wala vipini puani zaidi ya masikion tu.
Kigezo cha kusoma hakimuondoi mtu kuwa malayaWe ni kijana wa hovyo sana!tatizo umekalili maisha dogo!vikuku saiv ni urembo tu kuna wadada wamesoma na wanajielewa sana kwa hiyo wahindi kuvaa vikuku wote ni malaya???[emoji38]
Wewe nae ndio wale waleNi kweli kabisa, yaani wanaume wanajadili mambo ya ajabu kabisa. Mimi nina bleach kabisa kuchwa kizima na siogopi eti watu wananichukuliaje. As long as mwajiri wangu na mpenzi wangu anaona sawa wala sijali. Kazini kwetu hata uvae vikuku 10 no one cares wanachotaka ni delivarables
We dogo tuliza kinyeoUmekuja lini mjini
Chid benz pia ashatoboa pua, unataka kusema niniVp kuhusu Tupac kutoboa pua
Katika hili ongeza kabisa mporiporiUshamba tu unakusumbua