Inakuwa ngum kuelewa kwasababu hatufuatilii mtu akisikia bhas ila ukiwaambia vumbi la kongo lazma wafuatilie ndy tunavipenda ivyooWenzako wanajifungia ndani wanafanya tafiti za mabilion ya pesa wewe from no where.. i mean not from no where like no where yani kwenye sofa la shemeji yako hapo unaita "UONGO".
Na mashaka na hiyo al qasus huwenda kuna kitu extraNaona mmekutana pipa na mfuniko, sijui nani atamfunua mwenzie.
Ngoja niendelee kupigs al Qasus baada kukimbia maswali ninayo wauliza.
Nchi za kiafrika bwana ni shida.Bora madawati, hata hivyo viroba vya kutandika chini kukalia watoto ni shida kuvipata, lakini ukisema tununue shangingi ni mara moja
Siasa imetuua completelyNchi za kiafrika bwana ni shida.
Std 7 mkuuElimu yako mkuu ili tuweze kukusaidia??
fungua ubongo acha kujibanabanaSayari yenye UHAI NI moja tu. Na MUNGU ndo ameshapanga hivyo na itabaki kuwa hivyo.
fungua ubongo acha kujibanabana
hutaki hata kusumbua ubongo kidogo yani hapo ndio umemalizaWewe ndo unajibana.
Katika hizo sayari Tisa na dunia ikiwemo.ni moja Tu inayosapoti maisha.
Na hata ukiangalia mizunguko ya hizo sayari kulizunguka JUA.ni wazi dunia ndo ina afaa kuishi
hivi wewe ni yule paula mtoto wa harmonize?2024 wana mpango wa kupeleka watu. Ni mipango tu.
Huku sie bado tunapambana na wanafunzi wakae kwenye madawati.
Walishafikiria hilo ndio maana wakaja na terraformimg hypothesis.MUNGU alishaweka kanuni ya uumbaji.
Mtaishi duniani na mtafukiwa ardhini.
Sayari ambayo haina maji wala MITI ni ngumu kwenda kuishi
Walishafikiria hilo ndio maana wakaja na terraformimg hypothesis.
ili kufanya mars iwe sustainable and suitable for human specie and other living organisms.
Mkuu kuna movie flani ipo katika mfumo wa series inaitwa RAISED BY WOLVES inakitu kama ulichojazia hapo, yaani kuna binadamu walitwaliwa na kuhamishwa sayari nyingine ila kilichotokea ni tofauti na mategemeo ya wale wanasayansi.Sababu dunia haitaendelea kuwepo milele na wala haitoweza kuwa inhabitable milele.
Wako wapi Dinosaurs?
Wanachofanya ni kugeuza human specie kuwa multi planetary.
Hivyo kama siku kukitokea threat ambapo itapelekea dunia kuwa uninhabitable. Means itabidi binadamu wafanye fast evacuation to another planet ili human specie kutobecome extinct kama dinosaurs.
Wao wanajaribu na kujitahidi kuona future kwa ajili ya future humans na sio kuwa selfish.
Alafu anatokea mtu mmoja ambaye kachanjwa chanjo za utotoni kibao na hawa wazungu na kizazi chake anasema chanjo ya COVID 19 ni plot ya kutumaliza!!
Leteni chanjo tunaotaka tupewe,msituamlie maisha wengine hatutaki kuishi kisiwani hapa maisha yetu yote!
Yaani una akili zaidi ya kuku.Wewe nae unaamini huo uongo [emoji23][emoji23]
Mars tayari inayo atmosphere ila ni nyembamba sana.vipi kuhusu maji,bahari,maziwa mito na mimea bila kusahau oxygen?.
Unadhani kuna sayari ambayo IPO kama dunia tulivyoikuta
Kwa ukubwa wa milky way galaxy na kwa ukubwa wa universe ni lazima kutakuwepo sayari ambazo zipo kama dunia pia uwepo wa maisha.Unadhani kuna sayari ambayo IPO kama dunia tulivyoikuta
Mars tayari inayo atmosphere ila ni nyembamba sana.
Hivyo kama wataweza kufanya terraforming hayo yote yatawezekana.
Pia sababu ya hiko chombo kutua hapo walipopaita jezero crater ni wanaaimini palikuwa na maji yaani lake.
Kwa ukubwa wa milky way galaxy na kwa ukubwa wa universe ni lazima kutakuwepo sayari ambazo zipo kama dunia pia uwepo wa maisha.
Inaaminika milky way galaxy ina karibu 6 billion earth-like planets.
Yaani Sayari ambazo zipo kama dunia.
Hivyo hiyo inamaanisha kuna uwezekano mkubwa wa kuwepo uwepo wa LIFE pia intelligent life nje ya hapa duniani na nje ya solar system.
hivyo inawezekana Mars kulikuwa na maisha pia.
ndio maana hao NASA, SpaceX na shirika jingine la kiarabu na chombo chao hope wanatuma hizo probes.
Na mashimo ya kunyeaHuku sie bado tunapambana na wanafunzi wakae kwenye madawati.