Mars tayari inayo atmosphere ila ni nyembamba sana.
Hivyo kama wataweza kufanya terraforming hayo yote yatawezekana.
Pia sababu ya hiko chombo kutua hapo walipopaita jezero crater ni wanaaimini palikuwa na maji yaani lake.
Kwa ukubwa wa milky way galaxy na kwa ukubwa wa universe ni lazima kutakuwepo sayari ambazo zipo kama dunia pia uwepo wa maisha.
Inaaminika milky way galaxy ina karibu 6 billion earth-like planets.
Yaani Sayari ambazo zipo kama dunia.
Hivyo hiyo inamaanisha kuna uwezekano mkubwa wa kuwepo uwepo wa LIFE pia intelligent life nje ya hapa duniani na nje ya solar system.
hivyo inawezekana Mars kulikuwa na maisha pia.
ndio maana hao NASA, SpaceX na shirika jingine la kiarabu na chombo chao hope wanatuma hizo probes.