Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Hapana.Kwa hiyo unadhani maskini na watawala wa dunia hii wataenda huko mars?
Hahahaaaaaa autupe ubongo kwenye waste binfungua ubongo acha kujibanabana
Ukimfuatilia elon musk utaona anahangaika kuland ile prototype yake ya Spaceship inaitwa Starship ni bonge ya kipande cha chuma chenye 122m.Kwa Sisi wa huku duniani ndo tunaenda kuanzisha maisha mapya huko mars?
Tutaenda na ndege za kawaida au Kwa hizo hizo rocket?
Ukimfuatilia elon musk utaona anahangaika kuland ile prototype yake ya Spaceship inaitwa Starship ni bonge ya kipande cha chuma chenye 122m.
Zile starship ndio atatumia kupeleka watu mars kwenda kufanya uchunguzi, planetary engineering, kutengeneza mji pia kufanya repopulation.
Right now bado anafanya landing test na belly flop manoeuvre kwa ajili ya mars atmospheric entry.
SN 8 imefail kuland na SN9 imefail lakini bado anaendelea kufanya test hivyo SN10 soon italaunch.
YouTube wanaoneshaga live kutoka boca chica.
Na haiwezekani kutumia ndege sababu ndege na engine zake haziwezi kufanya kazi au kupaa bila air resistance.
Na nje ya earth's atmosphere hakuna air resistance ni vacuum.
Hivyo ndio sababu wanatumia rockets.
Pia sio wote ambao wataenda huko mars hata kama ikitokea catastrophic event hapa duniani.
Lakini Itategemea na technology ya kipindi hicho na ukubwa wa hivyo vyombo.
Miaka 500 nyuma hakuna aliyeamini binadamu anaweza kusafiri angani huku amekaa akitafuna mguu wa kuku na kunywa soda.Ndo maana Mimi naamini sayari pekee inayosapoti maisha ni dunia Tu.
Hizo zingine ni JITIHADA
Tuambie ukweli ni upiWewe nae unaamini huo uongo [emoji23][emoji23]
Hakuna sehemu nimeandika kwamba sio uongo.Wewe lete ushahidi kuwa si uongo
Miaka 500 nyuma hakuna aliyeamini binadamu anaweza kusafiri angani huku amekaa akitafuna mguu wa kuku na kunywa soda.
Lakini sasa hivi inawezeka.
Hivyo miaka 100 au 200 ijayo itawezekana mars kusupport maisha.
Ni Jitihada zinazozaa mafanikio.
Mkuu miezi kadhaa nyuma china walituma chombo chao mwezini chang'e na kurudi na sample.Kwanini inakua rahis mars na mwezini inakua ngumu kufika Wala kutuma vifaa??
Mwenye kujua anijibu
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
China walituma chombo chao chang'e mwezini na kimerudi na sample kutoka mwezini December 16 2020.Hivi kwanini hawakurudi tena mwezini. Tafiti za mwezini ziliishia wapi au ziko classified huko kwao!
Ushirikina tuHakuna
1)Uwezekano wa maisha
2)Madini
So watafiti nini
Nilivyoliona hili ID limenikoti tu nikajua ni limeandika utumboUshirikina tu
Samahani mama sikuwa na lengo la kukukwazaNilivyoliona hili ID limenikoti tu nikajua ni limeandika utumbo
aah nimechanganya na @mcheza kamariSamahani mama sikuwa na lengo la kukukwaza