Ukimfuatilia elon musk utaona anahangaika kuland ile prototype yake ya Spaceship inaitwa Starship ni bonge ya kipande cha chuma chenye 122m.
Zile starship ndio atatumia kupeleka watu mars kwenda kufanya uchunguzi, planetary engineering, kutengeneza mji pia kufanya repopulation.
Right now bado anafanya landing test na belly flop manoeuvre kwa ajili ya mars atmospheric entry.
SN 8 imefail kuland na SN9 imefail lakini bado anaendelea kufanya test hivyo SN10 soon italaunch.
YouTube wanaoneshaga live kutoka boca chica.
Na haiwezekani kutumia ndege sababu ndege na engine zake haziwezi kufanya kazi au kupaa bila air resistance.
Na nje ya earth's atmosphere hakuna air resistance ni vacuum.
Hivyo ndio sababu wanatumia rockets.
Pia sio wote ambao wataenda huko mars hata kama ikitokea catastrophic event hapa duniani.
Lakini Itategemea na technology ya kipindi hicho na ukubwa wa hivyo vyombo.