Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Kwa hiyo unadhani maskini na watawala wa dunia hii wataenda huko mars?
Hapana.

Bali bila shaka watatumia geneticists kuchagua best gene pool kutoka katika kila race then waende kufanya repopulation mars.
Pia na wale wenye pesa zao au mabillionaire ndio watasurvive.

Wengine ndo hivyo tena watasubiri kufa kwa asphyxiating au wasubiri kubanikwa kuwa crisps.
 
Hawa mabeberu wanatuchukia na sisi wanataka kutuona kwa juu maendeleo yetu ya SGR tusikubali kabisa hawa jamaa sasa too much.
 
fungua ubongo acha kujibanabana
Hahahaaaaaa autupe ubongo kwenye waste bin
1613739723267.png
 
Kwa Sisi wa huku duniani ndo tunaenda kuanzisha maisha mapya huko mars?
Tutaenda na ndege za kawaida au Kwa hizo hizo rocket?
Ukimfuatilia elon musk utaona anahangaika kuland ile prototype yake ya Spaceship inaitwa Starship ni bonge ya kipande cha chuma chenye 122m.

Zile starship ndio atatumia kupeleka watu mars kwenda kufanya uchunguzi, planetary engineering, kutengeneza mji pia kufanya repopulation.
Right now bado anafanya landing test na belly flop manoeuvre kwa ajili ya mars atmospheric entry.
SN 8 imefail kuland na SN9 imefail lakini bado anaendelea kufanya test hivyo SN10 soon italaunch.
YouTube wanaoneshaga live kutoka boca chica.

Na haiwezekani kutumia ndege sababu ndege na engine zake haziwezi kufanya kazi au kupaa bila air resistance.
Na nje ya earth's atmosphere hakuna air resistance ni vacuum.
Hivyo ndio sababu wanatumia rockets.

Pia sio wote ambao wataenda huko mars hata kama ikitokea catastrophic event hapa duniani.
Lakini Itategemea na technology ya kipindi hicho na ukubwa wa hivyo vyombo.
 
Ndo maana Mimi naamini sayari pekee inayosapoti maisha ni dunia Tu.
Hizo zingine ni JITIHADA

Miaka 500 nyuma hakuna aliyeamini binadamu anaweza kusafiri angani huku amekaa akitafuna mguu wa kuku na kunywa soda.
Lakini sasa hivi inawezeka.

Hivyo miaka 100 au 200 ijayo itawezekana mars kusupport maisha.

Ni Jitihada zinazozaa mafanikio.
 
Sisi tutabakia kuwa wa maonyesho tu ushahidi ni hii peofile picture BBC
 
Watapeleka na oxygen?.
Hicho ndo kitu ambacho najiuliza.
kwenda wanaweza wakaenda swali wataishi vipi bila oxygen?
Miaka 500 nyuma hakuna aliyeamini binadamu anaweza kusafiri angani huku amekaa akitafuna mguu wa kuku na kunywa soda.
Lakini sasa hivi inawezeka.

Hivyo miaka 100 au 200 ijayo itawezekana mars kusupport maisha.

Ni Jitihada zinazozaa mafanikio.
 
Kwanini inakua rahis mars na mwezini inakua ngumu kufika Wala kutuma vifaa??

Mwenye kujua anijibu

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Mkuu miezi kadhaa nyuma china walituma chombo chao mwezini chang'e na kurudi na sample.
Kimefika duniani kutoka mwezini December 16 na hiyo sample.

Hakuna ugumu huo unaoufikiria.
 
Hivi kwanini hawakurudi tena mwezini. Tafiti za mwezini ziliishia wapi au ziko classified huko kwao!
China walituma chombo chao chang'e mwezini na kimerudi na sample kutoka mwezini December 16 2020.

Pia nasa wana Artemis moon program ambapo 2024 watapeleka mwanamke wa kwanza mwezini na mwanaume kwa mara nyingine.
 
Hata hizi simu janja, internet ya Kasi Kama hii, Artificial Intelligence Kama Siri na Google assistant, self driving cars, uav/ucav/drone na vingne ambavyoo tunavi enjoy leo vimechukua makumi ya miaka kuwa kweli/reality(sometime bila hata kujua vinafanya kazi/concept behind) vilionekana impossible au ndoto za mchana miaka 30 iliyopita yaaani kama mtu Kuna mtu yuko coma tangu miaka ya late 1980s aki amka leo asinge amini haya maendeleo ya technolojia yaliyopo sasa.Ambayo sisi tunayachukulia simpo tu

kwa hiyo kama kuna kitu hukielewi usiki judge kuwa ni UONGO/KWELI bora kukaa kimya uupe muda ubongo wako labda Kuna siku utakielewa.
 
Back
Top Bottom