Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Wazungu wanawekeza nguvu nyingi kwenye maswala ya anga za mbali ambako hata wakisema wakaishi huko maisha yatakuwa ya gharama kubwa kuliko hapa duniani ambako bado hawajapamaliza.

Sijui kuna nini kwenye hizi mission zao.
Resources
 
Ukishaingia inner space unahitaji mafuta ya nini tena, sana sana ni kuiboost mara chache ili kumaintain attitude. Kuna chombo cha mmarekani kwa jina Voyager 2, kimeenda tangu miaka ya 70 mwishoni na kinaelekea sayari ya neptune kama sijasahau. Ukishaingia huko unahitaji solarenergy kumaintain system na si mafuta
Sio wote wataenda huko mkuu, wale wakwasi wenye uwezo wa ku afford hiyo gharama ndio watakua na access

Afu kitu kingine ambacho ni very bored ni kwamba mpaka unafika unakua umetumia miezi sita njiani.

Sasa hiyo miezi sita inamaana chombo kitakua kina ukubwa gani wa tank la mafuta kiasi cha kukaa miezi sita bila kuishiwa? Na ukumbuke hakuna ku land mpaka unafika
 
Alafu maelezo na hoja zake zote ni nonsense yaani hazina mashiko na ni za kipuuzi na kitoto kweli.Mtu mwenye busara hata akipinga hoja anapinga kwa utayari wa kufundishwa na kukubali kuelewa jambo fulani na kukubali mawazo mapya asiyofahamu na sio kujifanya mjuaji wa kila jambo hali ya kuwa hakuna anachokifahamu.
Huyo bwana elimu ya dini imemkaa sana, anatakiwa atafute na elimu dunia sana
 
Sababu dunia haitaendelea kuwepo milele na wala haitoweza kuwa inhabitable milele.

Wako wapi Dinosaurs?

Wanachofanya ni kugeuza human specie kuwa multi planetary.

Hivyo kama siku kukitokea threat ambapo itapelekea dunia kuwa uninhabitable. Means itabidi binadamu wafanye fast evacuation to another planet ili human specie kutobecome extinct kama dinosaurs.

Wao wanajaribu na kujitahidi kuona future kwa ajili ya future humans na sio kuwa selfish.
Teeneger, upo vizuri kwa kutoa maelezo lakini tatizo ni kiswanglish, hivyo kwa sisi wa kusoma chini ya mwembe ni shida!!!!
 
Sio wote wataenda huko mkuu, wale wakwasi wenye uwezo wa ku afford hiyo gharama ndio watakua na access

Afu kitu kingine ambacho ni very bored ni kwamba mpaka unafika unakua umetumia miezi sita njiani.

Sasa hiyo miezi sita inamaana chombo kitakua kina ukubwa gani wa tank la mafuta kiasi cha kukaa miezi sita bila kuishiwa? Na ukumbuke hakuna ku land mpaka unafika
Sasa Chief hiyo miezi sita walikuwa wanakula na kunywa nini nna walikuwa wanajisaidia wapi!!
 
Sasa hizo siku zikifika Mimi hapa nilipo nafikaje huko kama tu hicho kifaa kimetumia Trillion 6 mimi mwenyew nafikaje na nitatumia kifaa gani[emoji27][emoji27] Maana kama Kupanda ndege ya 200k nimefeli hiyo Hela yao natolea wap[emoji27][emoji27][emoji27] Au kila mtu atakula urefu wa kamba yake[emoji27][emoji27]
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sio wote wataenda huko mkuu, wale wakwasi wenye uwezo wa ku afford hiyo gharama ndio watakua na access

Afu kitu kingine ambacho ni very bored ni kwamba mpaka unafika unakua umetumia miezi sita njiani.

Sasa hiyo miezi sita inamaana chombo kitakua kina ukubwa gani wa tank la mafuta kiasi cha kukaa miezi sita bila kuishiwa? Na ukumbuke hakuna ku land mpaka unafika
Akili ya kurukia Barbara nani kaniambia kinawekwa mafuta
 
Kuna jamaa zangu walikaa hapa duniani wakaona hawaelewi wakaenda mars wakaishi huko kwa muda mrefu tu nako wakaona hawaelewi wakaondoka sasa hivi kuna mahala wapo amaizing sana na siisemi.
Totopak ni soo saana ukiichanganya na wanzuki
 
Back
Top Bottom