Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
kwamba kanunui ya uumbaji imekataza tafiti?Kanuni ya uumbaji ina mipaka yake.
Wafanye Tu hizo tafiti.ila kuanzisha .maisha nje ya dunia ni ndoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwamba kanunui ya uumbaji imekataza tafiti?Kanuni ya uumbaji ina mipaka yake.
Wafanye Tu hizo tafiti.ila kuanzisha .maisha nje ya dunia ni ndoto
kwamba kanunui ya uumbaji imekataza tafiti?
Nimeona hii kitu CNN yaani wametumia miezi 6 kusafiri maili karibia milioni 300.
ResourcesWazungu wanawekeza nguvu nyingi kwenye maswala ya anga za mbali ambako hata wakisema wakaishi huko maisha yatakuwa ya gharama kubwa kuliko hapa duniani ambako bado hawajapamaliza.
Sijui kuna nini kwenye hizi mission zao.
hahaha ni kweli huwa wanarudi maana huku ndio base kubwa. hawawez ku operate kwa muda mrefu sababu ya radiations ,low O2 na changamoto zingine. lakin bado wanazifanyia kazi.Wafanye Tu.ila watarudi hapa hapa
Sio wote wataenda huko mkuu, wale wakwasi wenye uwezo wa ku afford hiyo gharama ndio watakua na access
Afu kitu kingine ambacho ni very bored ni kwamba mpaka unafika unakua umetumia miezi sita njiani.
Sasa hiyo miezi sita inamaana chombo kitakua kina ukubwa gani wa tank la mafuta kiasi cha kukaa miezi sita bila kuishiwa? Na ukumbuke hakuna ku land mpaka unafika
UAE na China nao wamedanganya?Wamarekani uwaga ni waongo,, uwaga ni Photoshop.
Ndiyo lugha inayotumika sayari ya Mars mkuu, naona jamaa kaanza kutoa shule mapemahii lugha sio ya nchi hii
Uko sahihi kabisa na hilo wameshathibitishainawezekana pia "wamechungulia ramani" kwamba huko kuna rasilimali nyingi mno na wanataka wawe wa kwanza kutawala na kuzimiliki...
Huyo bwana elimu ya dini imemkaa sana, anatakiwa atafute na elimu dunia sanaAlafu maelezo na hoja zake zote ni nonsense yaani hazina mashiko na ni za kipuuzi na kitoto kweli.Mtu mwenye busara hata akipinga hoja anapinga kwa utayari wa kufundishwa na kukubali kuelewa jambo fulani na kukubali mawazo mapya asiyofahamu na sio kujifanya mjuaji wa kila jambo hali ya kuwa hakuna anachokifahamu.
Teeneger, upo vizuri kwa kutoa maelezo lakini tatizo ni kiswanglish, hivyo kwa sisi wa kusoma chini ya mwembe ni shida!!!!Sababu dunia haitaendelea kuwepo milele na wala haitoweza kuwa inhabitable milele.
Wako wapi Dinosaurs?
Wanachofanya ni kugeuza human specie kuwa multi planetary.
Hivyo kama siku kukitokea threat ambapo itapelekea dunia kuwa uninhabitable. Means itabidi binadamu wafanye fast evacuation to another planet ili human specie kutobecome extinct kama dinosaurs.
Wao wanajaribu na kujitahidi kuona future kwa ajili ya future humans na sio kuwa selfish.
Sasa Chief hiyo miezi sita walikuwa wanakula na kunywa nini nna walikuwa wanajisaidia wapi!!Sio wote wataenda huko mkuu, wale wakwasi wenye uwezo wa ku afford hiyo gharama ndio watakua na access
Afu kitu kingine ambacho ni very bored ni kwamba mpaka unafika unakua umetumia miezi sita njiani.
Sasa hiyo miezi sita inamaana chombo kitakua kina ukubwa gani wa tank la mafuta kiasi cha kukaa miezi sita bila kuishiwa? Na ukumbuke hakuna ku land mpaka unafika
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sawa sawa sisi huku mafuta ya kupikia na sukari bado changamoto.
[emoji3][emoji3][emoji3]Sasa hizo siku zikifika Mimi hapa nilipo nafikaje huko kama tu hicho kifaa kimetumia Trillion 6 mimi mwenyew nafikaje na nitatumia kifaa gani[emoji27][emoji27] Maana kama Kupanda ndege ya 200k nimefeli hiyo Hela yao natolea wap[emoji27][emoji27][emoji27] Au kila mtu atakula urefu wa kamba yake[emoji27][emoji27]
Nimecheka Sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unadhani kazi za ajabu ajabu atafanya nani huko!!! Lazima twende
Akili ya kurukia Barbara nani kaniambia kinawekwa mafutaSio wote wataenda huko mkuu, wale wakwasi wenye uwezo wa ku afford hiyo gharama ndio watakua na access
Afu kitu kingine ambacho ni very bored ni kwamba mpaka unafika unakua umetumia miezi sita njiani.
Sasa hiyo miezi sita inamaana chombo kitakua kina ukubwa gani wa tank la mafuta kiasi cha kukaa miezi sita bila kuishiwa? Na ukumbuke hakuna ku land mpaka unafika
Nilisikia kimesafiri miaka 3Nimeona hii kitu CNN yaani wametumia miezi 6 kusafiri maili karibia milioni 300.
Totopak ni soo saana ukiichanganya na wanzukiKuna jamaa zangu walikaa hapa duniani wakaona hawaelewi wakaenda mars wakaishi huko kwa muda mrefu tu nako wakaona hawaelewi wakaondoka sasa hivi kuna mahala wapo amaizing sana na siisemi.
Tatizo letu binadamu haya mambo ni mageni na ndo kwanza tunayaanza ila kuna miamba ni kitambo tuu,.Totopak ni soo saana ukiichanganya na wanzuki