Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

labda unashundwa kuelewa kuwa BILA OXYGEN HAKUNA MAISHA.
nashindwa kukuelewa wewe ni MTU WA Aina gani usiyejua umuhimu wa oxygen.
Kinachotofautisha dunia na sayari nyingine ni OXYGEN
View attachment 1712413
sijaongelea masuala ya oxygen. naongelea masuala ya probability ya research yao.
Kama oxygen inaweza bebwa na kuhifadhiwa sehem maalumu. au inaweza kuwa generated na mitambo maalumu (mfano ISS)
just wanavyofanya sasa. how ever still bado hawawez kukaa muda mrefu maana hakuna oxygen.
ndio maana research zinaendelea.
 
Mzee hauko serious..
No oxygen no LIFE.
na hichi ndo kitu ninachopinga Mimi kwenda kuishi mars wakati hakuna oxygen hyo ni KAMARI NA LAZMA ULIWE

Mkuu hichi chombo kimebeba kifaa maalumu kwaajiri ya kuchanganya na gas ili kugenerate oxygen ni technologia mpya kabisa nayo wanaifanyia research kwenye hii mission also Kuna kindege kidogo design ya ya drone kitakacho kuwa kina ruka kwa second 30 then kinatua kwaajili ya kupiga pics na kusopport hii robot kubwa kufanya decisions mbali mbali mambo ya AI Haya
 
Huyo aliyeniambia kuwa kuna sayari nyingine huko.
SIO ALIEYEZITENGENEZA.
angalia udongo wa mars utasema kuna UHAI HUKO?View attachment 1712057View attachment 1712058
Sasa wewe ukienda sehemu ambayo haijawahi kutana na shughuli za kidunia kabisa humu humu duniani unaweza jua utakuta hali gani? Jamaa wanachofanya wameangalia sayari zote hadi pluto huko kwahyo wakaja kugundua kuwa mars kuna sifa inazo zinaendana na dunia ila kuna vikwazo fulani. Sas wakaja na wazo kuwa kutokana na changamoto zinazoendelea duniani ikiwemo badilko kubwa la tabia ya nchi yani global worming na upungufu wa mali duniani. What if Mars tukaweza ishi huko, je hatuwezi kwepa hii adha inayoikumba dunia? Nd wakaja na hayo mawazo. Hyo mars ilivo ni kweli haiwezi kaliwa na watu nd maan walivoenda hawajakurupuka kwend kuvamia moja kwa moja. Wanatafuta namna iweze kuw hivo nd research zinaendelea. Wao wanaona kuna vipandikizi vikiwepo vinaweza maybe ifanya ikalike kabisa. Hata kama wanatumia gharama unataka watumie kweny nn? Watt wao wanasoma kwa starehe hakuna shida ya madawati hakuna shida ya matibabu hakuna shida ya ajira hakuna. Hakuna hizo shida ila pesa ipo nyingi sana then why tusitafute 2 changamoto mpya. Ni kama mtu akiwa anaingiza buku anakula supu jero may be jion miogo analala. Sasa yule yule mtu anakuja kupata ef 10 unadhani atawez maintain ile budget ya buku?
 
labda unashundwa kuelewa kuwa BILA OXYGEN HAKUNA MAISHA.
nashindwa kukuelewa wewe ni MTU WA Aina gani usiyejua umuhimu wa oxygen.
Kinachotofautisha dunia na sayari nyingine ni OXYGEN
View attachment 1712413
Wewe ndo sio muelewa maan hujui kuwa oxygen inatokana na miti na pia inaeza kuvunwa. Watu wanajiuliza what if tukapanda miti mars hatuwez vuna oxygen. Sas nd wanafanya utafiti maan factor za mti kuota zinajulikan kama vile mwanga maji na udongo.. sas nadhani nd wanafanyia kazi hayo mambo.
 
Yaani hii balaa chombo hiki kimekimbia muda wa miezi sita
...speed yake km 85 kwa sekunde moja kam sio uongo nini wazungu ni waongo sana wanataka kututoa kwenye reli kuhusu corona tu
 
Hivi hii MITI ya duniani tuliipanda Sisi au tuliikuta?
Wewe ndo sio muelewa maan hujui kuwa oxygen inatokana na miti na pia inaeza kuvunwa. Watu wanajiuliza what if tukapanda miti mars hatuwez vuna oxygen. Sas nd wanafanya utafiti maan factor za mti kuota zinajulikan kama vile mwanga maji na udongo.. sas nadhani nd wanafanyia kazi hayo mambo.
 
Mtaenda wangapi kuishi huko mars?.
Na Kwa usafiri gani?.
Kumbuka mungu aliiumba dunia ikiwa na MATIRIO YOTE YA KUMSAIDIA BINADAMU.ndo maana leo. Unaiona dunia IPO hivi.
Haya huko mars mtaanza kipi ili iwe kama dunia
Sasa wewe ukienda sehemu ambayo haijawahi kutana na shughuli za kidunia kabisa humu humu duniani unaweza jua utakuta hali gani? Jamaa wanachofanya wameangalia sayari zote hadi pluto huko kwahyo wakaja kugundua kuwa mars kuna sifa inazo zinaendana na dunia ila kuna vikwazo fulani. Sas wakaja na wazo kuwa kutokana na changamoto zinazoendelea duniani ikiwemo badilko kubwa la tabia ya nchi yani global worming na upungufu wa mali duniani. What if Mars tukaweza ishi huko, je hatuwezi kwepa hii adha inayoikumba dunia? Nd wakaja na hayo mawazo. Hyo mars ilivo ni kweli haiwezi kaliwa na watu nd maan walivoenda hawajakurupuka kwend kuvamia moja kwa moja. Wanatafuta namna iweze kuw hivo nd research zinaendelea. Wao wanaona kuna vipandikizi vikiwepo vinaweza maybe ifanya ikalike kabisa. Hata kama wanatumia gharama unataka watumie kweny nn? Watt wao wanasoma kwa starehe hakuna shida ya madawati hakuna shida ya matibabu hakuna shida ya ajira hakuna. Hakuna hizo shida ila pesa ipo nyingi sana then why tusitafute 2 changamoto mpya. Ni kama mtu akiwa anaingiza buku anakula supu jero may be jion miogo analala. Sasa yule yule mtu anakuja kupata ef 10 unadhani atawez maintain ile budget ya buku?
View attachment 1712493View attachment 1712495
Screenshot_20210224-074847.jpg
 
Yaani hii balaa chombo hiki kimekimbia muda wa miezi sita
...speed yake km 85 kwa sekunde moja kam sio uongo nini wazungu ni waongo sana wanataka kututoa kwenye reli kuhusu corona tu
Usiwe mbishi kitu unachoona wewe hakiwezekani,,,wengine wanakiweza kwani ulishachukua mda wako na kuwaza inawezekanaje unagusa screen halafu maneno yanatokea,,Kama haitoshi unasend na kushare kwenye platform Kama JF,,,, fikiria kabla ya hii technology watu hawakufikiria kuwa itawezekana,,,acha watu waumize vichwa halafu wenye viazi mbatata juu ya shingo tufaidike na research zao
 
Mkuu hichi chombo kimebeba kifaa maalumu kwaajiri ya kuchanganya na gas ili kugenerate oxygen ni technologia mpya kabisa nayo wanaifanyia research kwenye hii mission also Kuna kindege kidogo design ya ya drone kitakacho kuwa kina ruka kwa second 30 then kinatua kwaajili ya kupiga pics na kusopport hii robot kubwa kufanya decisions mbali mbali mambo ya AI Haya
nakuelewa vema kaka. mm ni muumini wa science. nasubiri result za research yao.
 
Mzee hauko serious..
No oxygen no LIFE.
na hichi ndo kitu ninachopinga Mimi kwenda kuishi mars wakati hakuna oxygen hyo ni KAMARI NA LAZMA ULIWE
hakuna mahali nimepinga kwa bila bila oxygen mtu hawez ishi but usichojua with right component oxygen can be generated.
kwa taarifa yako tu ni kuwa oxyhen can be generated kwa mashine maalum na wataalam wakatumia kwa muda huo watakuwepo na kurudi nyumbani.
 
sawa mtaalam, kwamaana hiyo hizo sensors ndio zimepiga hiyo picha, how? Tunaoeana elimu tuu. Enhe sensors hiyo ikitangulia au ilikua na chombo au haipo hata eneo la tukio? Msaada tafadhari ewe mtaalamu wa masuala ya upigwaji wa picha.
kuna kitu kinaitwa "the Mars Hand Lens" (MAHLI) robotic selfie ndiyo iliyotumika kuchukua picha huko mars
 
Sasa maswali niliyo yauliza unatakiwa uyajibu na unikosoe, siyo unapayuka, kupayuka kila mtu anaweza, shida inakuja kuthibitisha ukweli wa mnachokidai.

Bila shaka wewe unavijua, sasa jibu maswali niliyo uliza. Usipoteze muda.
anayekosolewa ni yule ambaye tayari ana idea, wewe huna
 
Unaamini hizo Propaganda? Je, hiyo NASA kama imepelekwa nchi za jangwani na ukaaminishwa hapo ni sayari ya Mars, nawe utaamini!!!!
Kwa lengo gani wafanye hivyo? Yaani watu wapoteze fedha kwa ajili ya kuaminisha dunia uongo? Wewe ukipiga video call unaaminije kuwa unaongea na mtu halisia on the other side? Hata hivyo, una uhuru wa kuamini au kutoamini.
 
Sijakataa.ila kuanzisha maisha mars NI KAMARI ambayo lazma waliwe.
kuna maji chini ya surface ya mars ambayo yanaweza kushikilia oxygen ya kutosha kuweza kusaidia maisha kwa viumbe vilivyopo duniani.

Na mars sio kwamba hakuna oxygen kabisa bali ipo kwa kiwango kidogo kulinganisha na carbon dioxide iliyo tawala
 
Mtaenda wangapi kuishi huko mars?.
Na Kwa usafiri gani?.
Kumbuka mungu aliiumba dunia ikiwa na MATIRIO YOTE YA KUMSAIDIA BINADAMU.ndo maana leo. Unaiona dunia IPO hivi.
Haya huko mars mtaanza kipi ili iwe kama duniaView attachment 1712493View attachment 1712495View attachment 1712496
huwa nakushangaa unapo criticize sayansi kwa kum refer mungu

kwani hayo material yaliyopo duniani hayawezi kuwa transfered somewhere else?

hiko kifaa kilicho land mars kimetumia vifaa kutoka sayari gani?

vile vile umesahau mars kuna vitu ambavyo duniani ambavyo havipo na ni worthily
 
Back
Top Bottom