Sasa wewe ukienda sehemu ambayo haijawahi kutana na shughuli za kidunia kabisa humu humu duniani unaweza jua utakuta hali gani? Jamaa wanachofanya wameangalia sayari zote hadi pluto huko kwahyo wakaja kugundua kuwa mars kuna sifa inazo zinaendana na dunia ila kuna vikwazo fulani. Sas wakaja na wazo kuwa kutokana na changamoto zinazoendelea duniani ikiwemo badilko kubwa la tabia ya nchi yani global worming na upungufu wa mali duniani. What if Mars tukaweza ishi huko, je hatuwezi kwepa hii adha inayoikumba dunia? Nd wakaja na hayo mawazo. Hyo mars ilivo ni kweli haiwezi kaliwa na watu nd maan walivoenda hawajakurupuka kwend kuvamia moja kwa moja. Wanatafuta namna iweze kuw hivo nd research zinaendelea. Wao wanaona kuna vipandikizi vikiwepo vinaweza maybe ifanya ikalike kabisa. Hata kama wanatumia gharama unataka watumie kweny nn? Watt wao wanasoma kwa starehe hakuna shida ya madawati hakuna shida ya matibabu hakuna shida ya ajira hakuna. Hakuna hizo shida ila pesa ipo nyingi sana then why tusitafute 2 changamoto mpya. Ni kama mtu akiwa anaingiza buku anakula supu jero may be jion miogo analala. Sasa yule yule mtu anakuja kupata ef 10 unadhani atawez maintain ile budget ya buku?