Hitimisho la kuwa hakuna jaribio lililo fanyika la kisayansi linalo thibitisha ya kuwa dunia inazunguka.
unaelewa nini kuhusu Ring lasers?
Mathalani, unataka nifikie hitimisho gani la kisayansi kusema wewe upo na hapa unajadiliana na mimi ?
unataka hitimisho nikupe mimi?
hitimisho unalitafuta wewe kwa jitihada za research zako ukileta hapa jibu mi nitaangalia kama lime qualify kwa kuzingatia misingi ya kiutafiti.
Nakuonyesha ya kuwa si kila jambo linathibitishwa na sayansi
nioneshe jambo la kisayansi lisilothibitishwa kisayansi
ukizingatia udhaifu wa Sayansi ulivyo.
uthibitisho wa hili unao?
Hili swali hapa nalijibu maya sita itakuwa.
Hili ndiyo Foucoult imekuthibitishia. Muda huo wewe unakuwa hapo hapo ulipo au ?
hapo hapo wapi?
kwani meli inapojongea sisimizi aliyemo ndani anakua hapo hapo alipo?
Sasa hili ndilo mnalotakiwa kuthibitisha. Unaipimaje speed ya dunia, ukiwa kwenye dunia au ukiwa nje ya dunia?
kwani kikwazo gani kinachoonesha haiwezekani kupima speed ya dunia ukiwa kwenye dunia?
Ni kwamba ni hisia zako zimekufanya uhisi hivyo au una uthibitisho wa hili jambo kuonesha haiwezekaniki?
Haya tunayaita marejeo, sasa ndiyo uniambie kwamba Albert Michelson hakufanya hili jaribio na kuhitimisha ya kuwa dunia haizunguki au shida iko wapi ?
wewe si umemsoma huyo Albert Michelson mpaka ukaja na jibu kua dunia haizunguki?
mimi namjua kwa research yake ya ku discover speed of light, nataka kupitia wewe uliyemsoma zaidi unipe extra informations
Wewe habari za Leon Foucault umezitoa wapi umeziota au wewe ndiyo wa kwanza ?
hizi tunafundishwa darasani na ni somo pana mno, ni tofauti sana na wewe uliyeenda ku copy kwenye blogs za kiislamu ambazo zimenyumbuliwa nyumbuliwa juu juu kwa mlengo wa kupinga
kitendo cha ku copy na kupaste ulichokifanya wewe kimeonesha dhahiri hujatumia akili yako wewe kusoma hicho kitabu cha huyo mwandishi mpaka ukazikuta hizo errors.
ebu cheki hapa, hii ni page ya kiislam huko facebook na hii content hapo
halafu unakuja kupinga madai ambayo hujasoma in deep
nyingine hii
Sasa hii si hoja kijana, jenga hoja na ujibu hoja, hui utoto haubadilishi ukweli wa kuwa hakuna ushahidi wa kisayansi unao onyesha ya kuwa dunia inazunguka katika muhimili wake.
unataka upewe ushahidi gani?
Constant speed ya gari ipo ikiwa katika conditions fulani, ikiwa katika straight path na condition nyingine.
hapa umeandika nini?
Pili, sharti ya kupimwa kwa speed lazima kuwe na acceleration na dunia katika nukta hii mnaleta assumptions,
kwahiyo hapa unataka kutuambia earth does not accelerate?
na hamtuambii ilikuwaje ikaanza ku rotste na ni lini?
hauambiwi na nani?
jisemee wewe kwamba hujui na huo ni ujinga wako binafsi wa kutofatilia vitu kabla hujaanza kupinga pinga hovyo
Kam mmeikuta dunia katika mwendo vipi mnaweza kupima mwendo wake na kuupata exactly ?
kwani kipi kinacho zuia kupata majibu sahihi?
Tatu, hizi nadharia ndizo mlizomezeshwa ya kuwa kwazo huwezi kuhisi mwendo wa dunia, hapa nacheka sana, kuna milima mikubwa, kuna majengo marefu, kuna bahari na mambo kadha wa kadha, duni ingekuwa inazunguka lazima tunge feel athari ya mzunguko huo.
hoja ndio zimeweza kukutoa kule kwenye dhana ya mtu ku feel motion ya dunia na sasa uko kwenye properties za dunia.
unataka kujua effect? mbona zipo tele
hujui kwamba rotation ya dunia inafanya tupate matokeo ya usiku na mchana?
kwenye ishu ya bahari kutokana na to rotation, winds and the ocean currents deflect to the right in the Northern Hemisphere and to the left in the Southern Hemisphere
movement ya upepo ni athari mojawapo ya kuonesha dunia inazunguka
Nne, mfano wa gari ni stahiki sababu marejeo yapo, na mfano wako huna marejeo sababu ili upate uhalisia kazima uwe nje ya dunia.
kwani hakuna references za kisayansi zinazoeleza kwanini hatuhisi mjongeo wa dunia?
Siyo kweli, hatw nikiwa kwenye gari na feel speed.
yes ni kwasababu speed inabadilika na ndio maana una feel
na pia gari ni chombo kidogo kutolea mfano kwa mtu, hapo ilitakiwa utolee mfano sisimizi akiwa kwenye meli kubwa ya oasis
Kwa speed hiyo mimi hapa nilipo baada muda fulani nisingekuwa hapa, aidha kimuelekeo au kwa muda.
hapa unazungumzia gari?
Kuna facts kuliko uhalisia kijana?
uhalisia unaupataje bila evidence?
uhalisia ni matokeo baada ya uchunguzi na uchunguzi una contains fact, hivi viwili havitengani
Sasa nieleweshe na ujibu maswali niliyo kuuliza ?
Kijana nakushuri ukisoma kitu kisome hasa. Mimi situmii madhaifu kukosoa udhaifu hili usirudie tena, kama wewe unaishindwa kutumia njia za kisayansi ulizozitaja kuthibitisha ukweli wako, unatakiwa ukasome tena hizo njia uzielewe. Usitake na mimi niwe zwa zwa ksma wewe.
garbage