Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

hauambiwi na nani?

jisemee wewe kwamba hujui na huo ni ujinga wako binafsi wa kutofatilia vitu kabla hujaanza kupinga pinga hovyo
Safi kabisa, sasa jibi hilo swali usikimbie.
kwani kipi kinacho zuia kupata majibu sahihi?
Jibu swali nililo kuuliza.
hujui kwamba rotation ya dunia inafanya tupate matokeo ya usiku na mchana?
Hili huwezi kuthibitisha mpaka unakufa. Yaani umeshindwa kuthibitsha ya kuwa dunia inazunguka, unaruka unahitimisha ya kuwa usiku na mchana ni matokeo ya dunia kuzunguka ?
kwani hakuna references za kisayansi zinazoeleza kwanini hatuhisi mjongeo wa dunia?
Hizo siyo reference bali ni dhana ambazo hazina ushahidi.
movement ya upepo ni
Thibitisha hilo, maana tunajua upepo unavyo tokea na kuanza kuvuma. Vipi upepo unapo tua dunia dunia inakuwa imesimama au ? Kimbungw ni upepo au si upepo ?

Sasa tuelezee kisayansi haya unayo yaandika, uone vituko vyake.
kwani hakuna references za kisayansi zinazoeleza kwanini hatuhisi mjongeo wa dunia?
Tuwekee kisha utumie scientific method kuthibisha usayansi wake.
uhalisia unaupataje bila evidence?

uhalisia ni matokeo baada ya uchunguzi na uchunguzi una contains fact, hivi viwili havitengani
Kifo ni uhalisia au siyo uhalisia ? Kwamba mtoto ni mdogo kuliko baba ni uhalisia au siyo uhalisia ? Niambie ni uchunguzi gani wa kisayansi uliwahif kufanyika ukathibitisha ya kuwa mtoto ni mdogo kuliko baba au moja ni mara mbili ya nusu ?

Zingatia, ukiona kuna nukta sijakujibu ujue aidha nimekuachia utafakari mwenyewe kisha ujihukumu, au nimeshajibu huko nyuma.
 
hiyo kazi umeimalizia wapi?

mbona hapa hamna ulichokijibu, post yangu yenye maswali umei quote bila kuyajibu kwa kuandika uzushi
Sasa kama umerudia swali na nimeshalijibu zaidi ya mara tatu, unachotakiwa urejee jibu usome huku ukitafakari.
 
kwani nani kasema kuran ni kitabu cha sayansi?

mimi nimejenga hoja kulingana na misimamo yenu hata humu kuna nyuzi nyingi zenye kudai kuran ime contain sayansi na wapo walioenda mbali zaidi kwamba hata wanasayansi wana copy kwenye kuran.
Kama hujasema sasa rejea uliponiwuote mpaka nikakujibi hivyo, uwe unatunza kumbukumbu.

Wanaosema Qur'aan imecontain Sayansi hao hawaijui Qur'aan, na wanaishusha hadhi. Qur'aan ni kweli tupu na hakuna dhana wala majaribio mule.
 
Huu ndio ujinga unapinga kitu bila data kwa mambo usiyoyajua
Lazima unipe uthibitisho wa kisayansi juu ya uwepo wako, sababu kwako wewe jambo kama halithinitishwi na sayansi si kweli.
Nikupe uthibitisho ili iweje?

Wewe ambaye unaona kuna hitilafu kwenye uwepo wangu ndio unatakiwa uthibitishe hilo.

Sasa haya matapishi yako inabidi uyatumie hapa na ni lazima utoe hitimisho hilo.

Sima nilichokiandika kwa ufasa, nimekwambia si kila jambo linathibitishwa na Sayansi. Sasa uliza swali sahihi.
Na mimi nakuambia kila jambo la kisayansi lazima lithibitishwe kisayansi.

Hoja yoyote ya kisayansi inapingwa kisayansi, sasa wewe unaweza kupinga solar system kwa sayansi?
Suala la Dunia kutozunguka si jambo la kisayansi japokuwa kina Michelson walifanya hivyo. Sababu dunia haizunguki na iki hivyo.
Ni kweli sijabisha

Sayansi haisemi dunia kutozunguka, kwa fact hiyo nakubaliana na wewe kua sio sayansi
Uweke
Unaniuliza tena, baada ya kujibu nilicho kuuliza.
Hujaliona jibu hapo?
Sasa huoni kama ni matumizi mabaya ya akili kupima mwendo wa kitu ambacho hakina mwendo...?
Hii ni perspective yako ambayo ipo kimhemko na wishfulthinking

nataka unipe analysis kwa kuonesha kikwazo gani kinachoonesha haiwezekani kupima speed ya dunia ukiwa kwenye dunia

Ni kwamba ni hisia zako zimekufanya uhisi hivyo au una uthibitisho wa hili jambo kuonesha haiwezekaniki?



Mpaka muda huu umeshindwa kuitetea Foucault Pendulum. Unakimbia maswali.
Niitetee kwa minajili ipi?

Mimi sijaona tatizo, tatizo nimeliona kwako huna elimu juu ya hilo.

Labda nikutetee wewe kwamba tatizo ni kutohudhuria masomo yako effectively
Kwanini hujibi maswali yangu ?
Kwanini hauzingatii misingi ya kuuuliza maswali niliyokupatia?
Nimeshakupa info yake ya yeye kufanya jaribio na mwaka nimekupa, katafute Michelson alifanya nini mwaka 1881 na mwaka 1887.
Alipima speed ya light.

Sasa nataka nijue unakubaliana na fact hiyo kwamba ni kweli?
Kisha rejea humu "Albert A. Michelson, “The Relative Motion of the Earth and the Luminiferous Ether,” American Journal of
Science, Vol. 22, August 1881, p. 125."
Nini hiki?
 
Safi kanisa, huko darasani wao walitoa wapi ? Kwamba ni vitu vipya au ? Kijana mbona unajitekenya mwenyewe kisha unacheka.
Darasa ndio source ya maarifa na sehemu kuu ya kuanza kupata maarifa kuanzia basic nk

Ulichokifanya wewe hujashirikisha hata ubongo wako kusoma hicho kitabu we ukaridhika na kichwa cha habari kwasababu mostly waislamu wanapinga sayansi na ndio maana nikikubana kwa kukuliza maswali unaishia pale pale walipoishia hao critics


Maana yake hakuna jipya na mimi najivunia kuwa na marejeo,yaani hakuna jipya ndiyo maana tunasoma vitabu na kirejea,na tunasoma Qur'aan na tunarejea huko.
Copy and paste yako imeonesha walakini kwenye kuelewa mambo. Ulicho ki copy hujakipitia kukisoma umebeba kama kilivyo kwa kuamini kwamba watakua wametoa hoja sahihi katika pingamizi hilo

Na hii sio mara moja kwako umekua ukifanya hivi mara nyingi tu hata katika mada zako kuu. Halafu unaanzisha ubishi wa kijinga as if hicho kitu kweli umekisoma na kukielewa kumbe hola

Sasa hakuna tofauti, unachotakiwa wewe hiki nilicho copy na kupaste juu juu ukikosoe, lakini unashindwa sasa mimi na wewe nani mwenye matatizo.
Nikosoe mawazo ya waislamu wenzako?



Mpaka kujua wapi ni ka copy na kupaste ni akili imetumika, na kutokea katika kucopy kwangu nimeweza kukitetea nilicho copy na kukidefend,
Sawa sawa niambie umekielewaje hicho ulicho copy?



ila wewe hili umeshindwa, japokuwa na wewe umecopy habari za parallax na foucault pendulum ila umeshindwa kuzitetea.

Nikikuambia unipe source nilipo copy unaweza?

Mimi nimeweka evidence ya kule ulikokitoa kwa kuweka picha inayoonesha mfanano wa hizo nukuu.
Hata hiyo page ya facebook nayo imecopy sababu, Abuu Iyaadh mwenyewe tovuti zake za asili si hizo. Kwahiyo kucopy na kupaste haya ndiyo marejeo na tunaweza kuyatetea.
Hii inaonesha wazi kwamba ni kiasi gani sio mbunifu wa kujitafutia maarifa yako kwa ku reason mwenyewe bila kuangalia nani kasema jambo hilo ili ulibebe kama lilivyo ulitumie kutetea hoja zako.

Hizo habari ulizo copy hujazisoma na kuzielewa na ndio maana nimekuuliza maswali mengi umeshindwa kujibu na hiyo ndio hasara ya ku copy na ku paste

Sasw unapinga nini na unakubali nini?

Au darasani hawa copy na kupaste ?

Hapa inadhihirisha ya kuwa nikicho kicopy kipo sahihi na huwezi kukikosoa.
Ulichokifanya wewe hakifanyiki darasani, labda uniambie mwanafunzi anaye copy majibu ya mwenzake kipindi cha mtihani

Unge copy halafu ukazisoma hizo habari kwa undani zaidi ungepata maarifa, lakini ku copy bila kuhakiki taarifa ni ujinga
 
Nikupe uthibitisho ili iweje?

Wewe ambaye unaona kuna hitilafu kwenye uwepo wangu ndio unatakiwa uthibitishe hilo.
Nani amekwambia nina shaka juu wako ? Kijana unasinzia nini ? Maana yake huna uthibitisho wa kisayansi kuonyesha wewe upo, hii ni maana yake ya kuwa si kila jambo linathibitishwa kisayansi.

Sasa kama hakuna haja ya wewe kutoa ushahidi, na ndiyo hivyo hivyo Sayansi haiwezi kuthibisha kuzunguka kwa dunia sababu jwmbo hili liko wazi sana kiadi ambacho kuleta ithibati ni kudhihirisha uongo wa sayansi.

Maana yake mjadala umeisha.
 
Ita accelerate vipi wakati haimove wala kurotate? Unauliza maswali ya kijinga, maswali ambayo laiti ungejibu maswali yangu usingeuliza maswali haya.
Uthubitisho wa haya?
 
Na mimi nakuambia kila jambo la kisayansi lazima lithibitishwe kisayansi.
Hapa utanyoosha maelezo tu, naona unabadilisha kauli sasa. Maana yake umekiri ya kuwa si kila jambo linathibitishwa kisayansi, sasauda wote huo ulikuwa wapi kukiri hili, umepoteza muda kwenye hskuna.

Sasa iweje jambokutozunguka kwa dunia mnalibabatiza na kuliita jambo la kisayansi na mnataka mthibitishe kisayansi ? Mnamatatizo ya akili bila shaka.
 
Hoja yoyote ya kisayansi inapingwa kisayansi, sasa wewe unaweza kupinga solar system kwa sayansi?
Solar sustem si jambo la kisayansi bali ni falsafa, na ndiyo maana hakuna aliyethibisha hili kisayansi.
 
Solar sustem si jambo la kisayansi bali ni falsafa, na ndiyo maana hakuna aliyethibisha hili kisayansi.
Falsafa ni nini?

Sayansi ni nini?

Solar system ni nini?

Na ili kitu kionekana kinahusiana na sayansi ni factor gani zinasngaliwa?
 
Back
Top Bottom