Safi kabisa, sasa jibi hilo swali usikimbie.hauambiwi na nani?
jisemee wewe kwamba hujui na huo ni ujinga wako binafsi wa kutofatilia vitu kabla hujaanza kupinga pinga hovyo
Jibu swali nililo kuuliza.kwani kipi kinacho zuia kupata majibu sahihi?
Hili huwezi kuthibitisha mpaka unakufa. Yaani umeshindwa kuthibitsha ya kuwa dunia inazunguka, unaruka unahitimisha ya kuwa usiku na mchana ni matokeo ya dunia kuzunguka ?hujui kwamba rotation ya dunia inafanya tupate matokeo ya usiku na mchana?
Hizo siyo reference bali ni dhana ambazo hazina ushahidi.kwani hakuna references za kisayansi zinazoeleza kwanini hatuhisi mjongeo wa dunia?
Thibitisha hilo, maana tunajua upepo unavyo tokea na kuanza kuvuma. Vipi upepo unapo tua dunia dunia inakuwa imesimama au ? Kimbungw ni upepo au si upepo ?movement ya upepo ni
Sasa tuelezee kisayansi haya unayo yaandika, uone vituko vyake.
Tuwekee kisha utumie scientific method kuthibisha usayansi wake.kwani hakuna references za kisayansi zinazoeleza kwanini hatuhisi mjongeo wa dunia?
Kifo ni uhalisia au siyo uhalisia ? Kwamba mtoto ni mdogo kuliko baba ni uhalisia au siyo uhalisia ? Niambie ni uchunguzi gani wa kisayansi uliwahif kufanyika ukathibitisha ya kuwa mtoto ni mdogo kuliko baba au moja ni mara mbili ya nusu ?uhalisia unaupataje bila evidence?
uhalisia ni matokeo baada ya uchunguzi na uchunguzi una contains fact, hivi viwili havitengani
Zingatia, ukiona kuna nukta sijakujibu ujue aidha nimekuachia utafakari mwenyewe kisha ujihukumu, au nimeshajibu huko nyuma.