Naanza na wewe, tatizo liko wapi hapo ?
Haoa umeonyesha wazi huna hoja.
Ustaarabu ni kufata utaratibu, inakuwaje katika mjadala mtu anakimbia maswali, huu unaitwaje ?
Pili, inaonekana hauko serious au wewe ndiyo huyo huyo, ungekuwa unasoma ungeona nani anampotezea muda mwenzake. Haiwezekani avunje utaratibu namsaidia kisha hajibu maswali yangu, angalia katika mjadala kama kuna swali langu lolote alilo jibu zaidi ya kukimbia, na uangalie wapi kuna swali lake sijajibi, sasa acja utoto na ushahbiki wa kijinga.
Mtu anasema sina idea, namwambia athibitishe wu anikosoe na aweke usahihi pia hanashindwa. Huwa nacheka sana napojadiliana na nyinyi. Yaani watupu sana.
Labda nikuulize swali, kipi mlichonifundisha humu sijafundishika ? Ukionyesha naacha kutumia hii ID, maana hata kufundisha pia mnaongopa, kijana unamatatizo ya akili nini ?
Hili nimemjibu zaidi ya mara mbili, na kama ungesoma ninachokiandika huu ujinga au utetezi huu usingeuandika maana naona unaleta "Double standards" za kijinga na za wazi. Hukuona nilipi muuliza anipe njia za kisayansi kuonyesha kuna Solar System au scientific methods au jaribio lolote la kisayansi linalo onyesha dunia inazunguka, hajaonyesha na hana uwezo huo, anachobakia kuuliza maswali na kutaka ajibiwe ila yeye hajibu. Nimemuonyesha ya kuwa siyo kila ukosoaji wa Sayansi hukosolewa kwa sayansi sababu Sayansi yenyewe na njia zake ni dhaifu mno, ndiyo maana tuna hoji, tunarudi katika ufunuo na kuangalia uhalisia. Sasa usilazimishe kosa likosoe kosa.
Sisi hatulei ujinga, na ajabu ninayo iona kwenu ni kujidai mnajua huku mkishindwa kukosoa ninachokiandika na kushindwa kushindwa kujibu maswali ninayo uliza.
Hatulei ujinga.