Chonde chonde dada yangu Lady Jaydee

Mnyenz

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
2,933
Reaction score
8,112
Hivi ulishawahi kukaa na ukafikiria kwamba utakuja kufanya copy nyingine kama ile ya wimbo unaoitwa SIWEMA? Kama bado hebu jaribu kufikiria itakuaje kama utazama studio na kuingiza vocal ukitengeneza ji songi (copy) la ngoma ya NGUZA VIKING (SEA) Huku wewe ukiwa umemshirikisha mdada mwenye sauti iliyopooza bi PAULINE ZONGO?

Nadhani hiyo itakuwa ni zawadi yetu sisi mashabiki wako kwa siku kuu hizi za mwisho wa mwaka na ni lazima ikae upya masikioni mwa watu, chonde chonde dada tunaomba utusuuze nyoyo zetu, au mnasemaje wadau?

Cc; warumi, Matola, na wengine wote.
 
Jide aimbe sehemu alizoimba PAPII KOCHA, Huku mdada PAULINE akiimba vipande vya NGUZA VIKING
 
Wabongo tushawazoea kwa kucopy Diamond na mbwembwe zote "nitampata wapi" kumbe kamcopy Q chilla_ nitampata wapi kama yule.. Beat
 
Nguza Viking ni pedophile, yeye na wanawe wamefungwa jela kwa makosa ya kuwaingilia kimapenzi watoto wadogo. Kwa mtazamo wangu tu, nyimbo zake hazifai hata kusikilizwa na jamii ya watu wastaarabu, achana kurudia kuziimba tena.
 

Siwema alifanya poa sana utadhan ye ndo aliutunga, inshort jide uwa hakiseagi akiamua kufanya yake
 
kama hukuepo umejuaje sasa...acha kupika maumbea kwan nani asojua kuwa nguza alikula salima

Wewe ndio unapika umbea, unaongea habari sijui umezitoa wapi! Babu Seya na wanawe wamefungwa jela kwa makosa ya kuwabozogoa watoto wadogo, sasa wewe hutaki kuamini kwasababu mimi sikuwepo, kwani waliokuwa gerezani wote walipofanya makosa mi nilikuwepo?
 

Nisibishane sahv mie nikakata pombe yangu kichwani pombe yenyewe ya ofa hii...
ndo hvo alikula salima over wake asiliwe ye nani mbn wa watu anakula malipo ni hapa hapa!!!
 
Nguza Viking ni pedophile, yeye na wanawe wamefungwa jela kwa makosa ya kuwaingilia kimapenzi watoto wadogo. Kwa mtazamo wangu tu, nyimbo zake hazifai hata kusikilizwa na jamii ya watu wastaarabu, achana kurudia kuziimba tena.

Mama salma ni mtoto???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…