Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 2,933
- 8,112
Hivi ulishawahi kukaa na ukafikiria kwamba utakuja kufanya copy nyingine kama ile ya wimbo unaoitwa SIWEMA? Kama bado hebu jaribu kufikiria itakuaje kama utazama studio na kuingiza vocal ukitengeneza ji songi (copy) la ngoma ya NGUZA VIKING (SEA) Huku wewe ukiwa umemshirikisha mdada mwenye sauti iliyopooza bi PAULINE ZONGO?
Nadhani hiyo itakuwa ni zawadi yetu sisi mashabiki wako kwa siku kuu hizi za mwisho wa mwaka na ni lazima ikae upya masikioni mwa watu, chonde chonde dada tunaomba utusuuze nyoyo zetu, au mnasemaje wadau?
Cc; warumi, Matola, na wengine wote.