johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bwashe hakuna mahali amejenga CDM kwa damu yake. Hakuna. Damu zilizomwagika ni wengine ambao ndo hao sasa yeye hataki kusikia habari zao CDM. Hatutaki huu ulaghai wa MboweNi ushauri tu kwamba tusubiri Debe 21 January ila hayo mambo ya Mdahalo achaneni nayo kabisa
Mdahalo unaweza kuwa na afya kwenu Wagombea kama watu binafsi Lakini hauna Afya kabisa Kwa Chadema kama chama
Ahsanteni sana π
Fisiem mshajua lissu atampasua vibaya saana so mnaanza choko choko tenaNi ushauri tu kwamba tusubiri Debe 21 January ila hayo mambo ya Mdahalo achaneni nayo kabisa
Mdahalo unaweza kuwa na afya kwenu Wagombea kama watu binafsi Lakini hauna Afya kabisa Kwa Chadema kama chama
Ahsanteni sana π
Republicans na Democrats Huwa wanafanya midahalo ndani ya chama na hawajawahi kuviua vyama vyao ije kufa chadema! Mbona ajabu, chadema inaweza kufa tu endapo mbowe atashinda lakini akishinda lissu comrade there will be no demise of the party.Ni ushauri tu kwamba tusubiri Debe 21 January ila hayo mambo ya Mdahalo achaneni nayo kabisa
Mdahalo unaweza kuwa na afya kwenu Wagombea kama watu binafsi Lakini hauna Afya kabisa Kwa Chadema kama chama
Ahsanteni sana π
Mbowe atakuwa na tabia mbaya sana, kama hata wewe Retired unamfikiria kuwa anaweza kufanya hivi?au to the worst unlikely scenario kupigana marisasiππ
stop that, sijamsema Mbowe, nimesema wote wanaweza kupigana marisasi,,,,,...usinigeuzie nilichoandoka...kama Lisu anvyogeuza maneno, msikilizeMbowe atakuwa na tabia mbaya sana, kama hata wewe Retired unamfikiria kuwa anaweza kufanya hivi?
Kwa haiba na kaliba ya Lisu, kamwe hawezi kumpiga mtu risasi. The most likely btn the two is Mbowe.stop that, sijamsema Mbowe, nimesema wote wanaweza kupigana marisasi,,,,,...usinigeuzie nilichoandoka..
Uwepo wa mdahalo katika shughuli za kisiasa ni muhimu sana katika ustawii wa chama ndani ya jamii.Ni ushauri tu kwamba tusubiri Debe 21 January ila hayo mambo ya Mdahalo achaneni nayo kabisa
Mdahalo unaweza kuwa na afya kwenu Wagombea kama watu binafsi Lakini hauna Afya kabisa Kwa Chadema kama chama
Ahsanteni sana π
Haya πUwepo wa mdahalo katika shughuli za kisiasa ni muhimu sana katika ustawii wa kijamii.
Kwanza unakusaidia kupanua wigo wa ufahamu wa sera za wagombea.
Aida, midahalo ni kipimo cha maono ya muda mfupi, wa kati, na mrefu ya wagombea, hivyo huwalazimu kufikiri kwa kina na kujenga hoja zenye mantiki na zinazoeleweka ili kujenga imani wapiga kura kuhusu utekelezaji wa dhamira ya chama kupitia malengo ya kimkakati ya chama kwa miaka mitano ijayo.
Kwa acha mdahalo ufanyike ili tuweze kuwasiliza wagombea hawa katika nafasi hii ya M/Taifa wa CDM. Itakuwa ni upuuzi kusiikiliza ushauri wa makada wa CCM ambao wana utamaduni wa kutoa fomu moja ili kukwepa changamoto hii muhimu ya kidemokrasia
Uenyekiti kwenye chama Cha siasa ni nafasi ya kuchaguliwa,Leo umeongea point. Hawa wameshakuwa maadui wakubwa. Kilichobaki ni kulogana ( kama kuloga kupo anyway)..au to the worst unlikely scenario kupigana marisasiππππ³π³π
Kumbeeee,mnaanza kujitaja sasa,umefumbua fumbo kubwa sana.Leo umeongea point. Hawa wameshakuwa maadui wakubwa. Kilichobaki ni kulogana ( kama kuloga kupo anyway)..au to the worst unlikely scenario kupigana marisasiππππ³π³π
Ukifanyika mdahalo huyo Fisadi wenu ataaibika sana maana madudu yake yote yatawekwa wazi na atashindwa namna ya kujibu. Aisee huyu mzee nimetokea kumchukia sana, anakubali vipi kukiua chama alichokijenga miaka 33?Leo umeongea point. Hawa wameshakuwa maadui wakubwa. Kilichobaki ni kulogana ( kama kuloga kupo anyway)..au to the worst unlikely scenario kupigana marisasiππππ³π³π
Yaani Retired amefumbua fumbo kubwa sana. Huu mtanange unavyoendelea zitafunguliwa code nyingi sana,bahati mbaya sana hizi ndiyo zitakuwa silaha za CCM kuimaliza Chadema. Ngoja tu Sultan ashupaze shingo kwa kujazwa upepo na chawa wake.Mbowe atakuwa na tabia mbaya sana, kama hata wewe Retired unamfikiria kuwa anaweza kufanya hivi?
Tulimuonya sana chawa wake wakawa wakali kama nyati aliyejeruhiwa.Mbowe kayataka yote haya. Best approach ilikuwa ni yeye kuwasikiliza wanachama wenzake wanataka nn. Lkn bahati mbaya sana ni kwamba anaongozwa na maslahi yake binafsi.
Chadema inakufa kiboya sana
Wacha inyeshe tuone panapovuja.Ni ushauri tu kwamba tusubiri Debe 21 January ila hayo mambo ya Mdahalo achaneni nayo kabisa
Mdahalo unaweza kuwa na afya kwenu Wagombea kama watu binafsi Lakini hauna Afya kabisa Kwa Chadema kama chama
Ahsanteni sana π