Pre GE2025 Chonde Chonde Mbowe usikubali Kufanya Mdahalo na Tundu Lissu, mtakiuwa Chama kilichojengwa kwa Jasho na Damu!

Pre GE2025 Chonde Chonde Mbowe usikubali Kufanya Mdahalo na Tundu Lissu, mtakiuwa Chama kilichojengwa kwa Jasho na Damu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Leo umeongea point. Hawa wameshakuwa maadui wakubwa. Kilichobaki ni kulogana ( kama kuloga kupo anyway)..au to the worst unlikely scenario kupigana marisasi😂😂😂😳😳👆
 
Ni ushauri tu kwamba tusubiri Debe 21 January ila hayo mambo ya Mdahalo achaneni nayo kabisa

Mdahalo unaweza kuwa na afya kwenu Wagombea kama watu binafsi Lakini hauna Afya kabisa Kwa Chadema kama chama

Ahsanteni sana 😄
Bwashe hakuna mahali amejenga CDM kwa damu yake. Hakuna. Damu zilizomwagika ni wengine ambao ndo hao sasa yeye hataki kusikia habari zao CDM. Hatutaki huu ulaghai wa Mbowe
 
Ni ushauri tu kwamba tusubiri Debe 21 January ila hayo mambo ya Mdahalo achaneni nayo kabisa

Mdahalo unaweza kuwa na afya kwenu Wagombea kama watu binafsi Lakini hauna Afya kabisa Kwa Chadema kama chama

Ahsanteni sana 😄
Fisiem mshajua lissu atampasua vibaya saana so mnaanza choko choko tena
 
Ni ushauri tu kwamba tusubiri Debe 21 January ila hayo mambo ya Mdahalo achaneni nayo kabisa

Mdahalo unaweza kuwa na afya kwenu Wagombea kama watu binafsi Lakini hauna Afya kabisa Kwa Chadema kama chama

Ahsanteni sana 😄
Republicans na Democrats Huwa wanafanya midahalo ndani ya chama na hawajawahi kuviua vyama vyao ije kufa chadema! Mbona ajabu, chadema inaweza kufa tu endapo mbowe atashinda lakini akishinda lissu comrade there will be no demise of the party.
 
Ni ushauri tu kwamba tusubiri Debe 21 January ila hayo mambo ya Mdahalo achaneni nayo kabisa

Mdahalo unaweza kuwa na afya kwenu Wagombea kama watu binafsi Lakini hauna Afya kabisa Kwa Chadema kama chama

Ahsanteni sana 😄
Uwepo wa mdahalo katika shughuli za kisiasa ni muhimu sana katika ustawii wa chama ndani ya jamii.

Kwanza unakusaidia kupanua wigo wa ufahamu wa sera za wagombea. Aidha, midahalo ni kipimo cha maono ya muda mfupi, wa kati, na mrefu ya wagombea, hivyo huwalazimu kufikiri kwa kina na kujenga hoja zenye mantiki na zinazoeleweka ili kujenga imani kwa wapiga kura kuhusu utekelezaji wa dhamira ya chama kupitia malengo ya kimkakati ya chama kwa miaka mitano ijayo.

Acha mdahalo ufanyike ili tuweze kuwasiliza wagombea hawa katika nafasi hii ya M/Taifa wa CDM. Itakuwa ni upuuzi kusiikiliza ushauri wa makada wa CCM ambao wana utamaduni wa kutoa fomu moja ili kukwepa changamoto hii muhimu ya kidemokrasia
 
Uwepo wa mdahalo katika shughuli za kisiasa ni muhimu sana katika ustawii wa kijamii.

Kwanza unakusaidia kupanua wigo wa ufahamu wa sera za wagombea.

Aida, midahalo ni kipimo cha maono ya muda mfupi, wa kati, na mrefu ya wagombea, hivyo huwalazimu kufikiri kwa kina na kujenga hoja zenye mantiki na zinazoeleweka ili kujenga imani wapiga kura kuhusu utekelezaji wa dhamira ya chama kupitia malengo ya kimkakati ya chama kwa miaka mitano ijayo.

Kwa acha mdahalo ufanyike ili tuweze kuwasiliza wagombea hawa katika nafasi hii ya M/Taifa wa CDM. Itakuwa ni upuuzi kusiikiliza ushauri wa makada wa CCM ambao wana utamaduni wa kutoa fomu moja ili kukwepa changamoto hii muhimu ya kidemokrasia
Haya 😀
 
Leo umeongea point. Hawa wameshakuwa maadui wakubwa. Kilichobaki ni kulogana ( kama kuloga kupo anyway)..au to the worst unlikely scenario kupigana marisasi😂😂😂😳😳👆
Uenyekiti kwenye chama Cha siasa ni nafasi ya kuchaguliwa,

Leo upo, kesho haupo,

Uadui unatoka wapi?

Hayo nayo ni madhara ya kiongozi kukaa muda mrefu!
 
Leo umeongea point. Hawa wameshakuwa maadui wakubwa. Kilichobaki ni kulogana ( kama kuloga kupo anyway)..au to the worst unlikely scenario kupigana marisasi😂😂😂😳😳👆
Ukifanyika mdahalo huyo Fisadi wenu ataaibika sana maana madudu yake yote yatawekwa wazi na atashindwa namna ya kujibu. Aisee huyu mzee nimetokea kumchukia sana, anakubali vipi kukiua chama alichokijenga miaka 33?
 
Mbowe atakuwa na tabia mbaya sana, kama hata wewe Retired unamfikiria kuwa anaweza kufanya hivi?
Yaani Retired amefumbua fumbo kubwa sana. Huu mtanange unavyoendelea zitafunguliwa code nyingi sana,bahati mbaya sana hizi ndiyo zitakuwa silaha za CCM kuimaliza Chadema. Ngoja tu Sultan ashupaze shingo kwa kujazwa upepo na chawa wake.
 
Mbowe kayataka yote haya. Best approach ilikuwa ni yeye kuwasikiliza wanachama wenzake wanataka nn. Lkn bahati mbaya sana ni kwamba anaongozwa na maslahi yake binafsi.

Chadema inakufa kiboya sana
Tulimuonya sana chawa wake wakawa wakali kama nyati aliyejeruhiwa.
 
Back
Top Bottom