Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,293
Kama unafuu tuliotangaziwa ni huu bora niendelee kuibiwa tu.
Kabla ya mabadiliko nilikua nanunua kwa halotel tsh.3000 napata GB3, sms 3000 na dk 30 mitandao yote kwa sasa bei mpya ni hizii. Tuliotangaziwa kuwa bei ya gharama za simu zintapungua kwanzia Aprili yan MB 1 utanunu kwa sh 2 kutoka 264 bei ya awali.
Je hii ndio nafuu au ndio ghali?