Chonde chonde Mh. Faustine Ndugulile tunaomba uturudishe Misri tu,sio kwa kipigo hiki kwenye vifurushi

Chonde chonde Mh. Faustine Ndugulile tunaomba uturudishe Misri tu,sio kwa kipigo hiki kwenye vifurushi

Kibosho1

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
2,621
Reaction score
4,293
Screenshot_20210401_124357.jpg


Kama unafuu tuliotangaziwa ni huu bora niendelee kuibiwa tu.

Kabla ya mabadiliko nilikua nanunua kwa halotel tsh.3000 napata GB3, sms 3000 na dk 30 mitandao yote kwa sasa bei mpya ni hizii. Tuliotangaziwa kuwa bei ya gharama za simu zintapungua kwanzia Aprili yan MB 1 utanunu kwa sh 2 kutoka 264 bei ya awali.

Je hii ndio nafuu au ndio ghali?
 
kama ukitokea mtandao utakaokuja kufocus na data pekee kwa bei rahisi basi watapiga pesa sana.

hiki walichofanya ni utoto wa hali ya juu.
Haya ni maelekezo ya serikali sio uamuzi wa makampuni kutokana na soko hivyo hata ukija huo mtandao hautasaidia kitu. Halotel ilikuwa nafuu sana lakini serikali imeamua kuwapangia bei.
 
Back
Top Bottom