Iyo bado bado sanaKaribuni freebasics, huku kuna:
1. BBC
2. JAMII FORUMS
3. DW
N.K
Kazi ipoView attachment 1740368View attachment 1740369View attachment 1740370View attachment 1740314
Kama unafuu tuliotangaziwa ni huu bora niendelee kuibiwa tu.
Kabla ya mabadiliko nilikua nanunua kwa halotel tsh.3000 napata GB3, sms 3000 na dk 30 mitandao yote kwa sasa bei mpya ni hizii. Tuliotangaziwa kuwa bei ya gharama za simu zintapungua kwanzia Aprili yan MB 1 utanunu kwa sh 2 kutoka 264 bei ya awali.
Je hii ndio nafuu au ndio ghali?
Taabu tupuCha jero hakuna[emoji1787][emoji1787][emoji2957]
Sanakama ukitokea mtandao utakaokuja kufocus na data pekee kwa bei rahisi basi watapiga pesa sana.
hiki walichofanya ni utoto wa hali ya juu.
Haya ni maelekezo ya serikali sio uamuzi wa makampuni kutokana na soko hivyo hata ukija huo mtandao hautasaidia kitu. Halotel ilikuwa nafuu sana lakini serikali imeamua kuwapangia bei.kama ukitokea mtandao utakaokuja kufocus na data pekee kwa bei rahisi basi watapiga pesa sana.
hiki walichofanya ni utoto wa hali ya juu.
Hiii inakuwaje mkuuKaribuni freebasics, huku kuna:
1. BBC
2. JAMII FORUMS
3. DW
N.K
Free basics unatumiaje.Karibuni freebasics, huku kuna:
1. BBC
2. JAMII FORUMS
3. DW
N.K
Gb 4 aseeCha 10 unapataje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yan hata ucje nduguNilikua na mpango wa kurudi huko ngoja nikimbie jumla