Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Punguza mdomo
Somo ili liwafikie kwanza walioweka emoji za chuki jamiiforum(founders). Kimsingi yote uliyosema nimekubali lakini kwa hapa jamiiforum na matumizi ya emoji napingana na wewe. Kuna watu wanadhihaki watu, Kuna watu wanaongea matusi hao wote wanastahili emoji 😡😡😡😡Katika ulimwengu wetu wa kidijitali, chuki hujidhihirisha kwa njia ya matusi au kejeli, lakini pia hujificha kwenye emojis kama hizi: 😡😕 😠 👿
Watu wengine huonyesha chuki yao kimya kimya kwa kum-ignore mtoa mada.
Chuki inaathiri nafsi ya mtu na jamii kwa ujumla. Chuki ni sumu inayoharibu kidogo kidogo afya ya ubongo na moyo. Tafiti zimeonyesha kuwa mtu mwenye chuki ya mara kwa mara huwa na viwango vya juu vya cortisol (kichocheo cha msongo). Hii huathiri kumbukumbu, usingizi, na huongeza hatari ya magonjwa ya moyo.
Chuki huathiri hisia na tabia. Chuki inazaa hasira na kumfanya mtu ashindwe kutulia. Mtu mwenye chuki hutumia muda mwingi kufuatilia mtu wa kumuangusha badala ya kutafuta njia za kujiboresha yeye. Jambo hili linaweza kumchelewesha kifikra, kibiashara na hata kielimu.
Chuki inaweza kumfanya mtu ashindwe kujifunza kutoka kwa wengine. Hata ujumbe wenye hekima ukiletwa, mtu mwenye moyo wenye chuki hukataa kuupokea ujumbe huo kwa sababu anamchukia mtoa ujumbe.
Ku-dislike mada au uzi kwa emojis za chuki ni kama kusema: "sikubaliani na wewe," "natamani ushindwe."
Mbaya zaidi chuki huleta uharibifu wa kiroho. Hupunguza uwepo wa Mungu ndani ya moyo: Biblia inasema, "Yeye asemaye anampenda Mungu naye anamchukia ndugu yake ni mwongo" (1 Yohana 4:20). Huwezi kuwa karibu na Mungu kama unawachukia wengine, hata kama chuki yako ni ya kimya kimya. Na waongo, adhabu yao inajulikana. Ni kutupwa katika ziwa la moto, milele na milele (Ufunuo 21:8)
Ila mimi nikiwekewa emoji ya dislike, najua nimempiga shetani penye mshono. Shetani na maajenti wake, kamwe hawawezi kunipenda kwa sababu namulika nuru gizani. Shetani ananichukia kwa sababu namnyang'anya watu aliowafunga minyororo. Hivyo nikiwekewa emoji za ku-dislike nahesabu nimepewa kombe la ushindi 🏆💪😀
Ufu 3:21
Yeye ashindaye, nitampa kuketi pamoja nami katika kiti changu cha enzi...
Mimi nakupenda sana maana imeandikwa Mpende adui yako.kuna baadhi ya watu wanakera sana. kwa mfano mimi yule wanamwita Lucas Mwashambwa, nimeignore, sitaki kuona chochote anachopost ili kupunguza makwazo.
Asante.. Wewe si ndo last week ulituaga kwamba hutumii tena Jamii Forums?Katika ulimwengu wetu wa kidijitali, chuki hujidhihirisha kwa njia ya matusi au kejeli, lakini pia hujificha kwenye emojis kama hizi: 😡😕 😠 👿
Watu wengine huonyesha chuki yao kimya kimya kwa kum-ignore mtoa mada.
Chuki inaathiri nafsi ya mtu na jamii kwa ujumla. Chuki ni sumu inayoharibu kidogo kidogo afya ya ubongo na moyo. Tafiti zimeonyesha kuwa mtu mwenye chuki ya mara kwa mara huwa na viwango vya juu vya cortisol (kichocheo cha msongo). Hii huathiri kumbukumbu, usingizi, na huongeza hatari ya magonjwa ya moyo.
Chuki huathiri hisia na tabia. Chuki inazaa hasira na kumfanya mtu ashindwe kutulia. Mtu mwenye chuki hutumia muda mwingi kufuatilia mtu wa kumuangusha badala ya kutafuta njia za kujiboresha yeye. Jambo hili linaweza kumchelewesha kifikra, kibiashara na hata kielimu.
Chuki inaweza kumfanya mtu ashindwe kujifunza kutoka kwa wengine. Hata ujumbe wenye hekima ukiletwa, mtu mwenye moyo wenye chuki hukataa kuupokea ujumbe huo kwa sababu anamchukia mtoa ujumbe.
Ku-dislike mada au uzi kwa emojis za chuki ni kama kusema: "sikubaliani na wewe," "natamani ushindwe."
Mbaya zaidi chuki huleta uharibifu wa kiroho. Hupunguza uwepo wa Mungu ndani ya moyo: Biblia inasema, "Yeye asemaye anampenda Mungu naye anamchukia ndugu yake ni mwongo" (1 Yohana 4:20). Huwezi kuwa karibu na Mungu kama unawachukia wengine, hata kama chuki yako ni ya kimya kimya. Na waongo, adhabu yao inajulikana. Ni kutupwa katika ziwa la moto, milele na milele (Ufunuo 21:8)
Ila mimi nikiwekewa emoji ya dislike, najua nimempiga shetani penye mshono. Shetani na maajenti wake, kamwe hawawezi kunipenda kwa sababu namulika nuru gizani. Shetani ananichukia kwa sababu namnyang'anya watu aliowafunga minyororo. Hivyo nikiwekewa emoji za ku-dislike nahesabu nimepewa kombe la ushindi 🏆💪😀
Ufu 3:21
Yeye ashindaye, nitampa kuketi pamoja nami katika kiti changu cha enzi...
Jitahidi kufupisha thread zako. Inamaana shuleni hukufundishwa kufupisha habari?Katika ulimwengu wetu wa kidijitali, chuki hujidhihirisha kwa njia ya matusi au kejeli, lakini pia hujificha kwenye emojis kama hizi: 😡😕 😠 👿
Watu wengine huonyesha chuki yao kimya kimya kwa kum-ignore mtoa mada.
Chuki inaathiri nafsi ya mtu na jamii kwa ujumla. Chuki ni sumu inayoharibu kidogo kidogo afya ya ubongo na moyo. Tafiti zimeonyesha kuwa mtu mwenye chuki ya mara kwa mara huwa na viwango vya juu vya cortisol (kichocheo cha msongo). Hii huathiri kumbukumbu, usingizi, na huongeza hatari ya magonjwa ya moyo.
Chuki huathiri hisia na tabia. Chuki inazaa hasira na kumfanya mtu ashindwe kutulia. Mtu mwenye chuki hutumia muda mwingi kufuatilia mtu wa kumuangusha badala ya kutafuta njia za kujiboresha yeye. Jambo hili linaweza kumchelewesha kifikra, kibiashara na hata kielimu.
Chuki inaweza kumfanya mtu ashindwe kujifunza kutoka kwa wengine. Hata ujumbe wenye hekima ukiletwa, mtu mwenye moyo wenye chuki hukataa kuupokea ujumbe huo kwa sababu anamchukia mtoa ujumbe.
Ku-dislike mada au uzi kwa emojis za chuki ni kama kusema: "sikubaliani na wewe," "natamani ushindwe."
Mbaya zaidi chuki huleta uharibifu wa kiroho. Hupunguza uwepo wa Mungu ndani ya moyo: Biblia inasema, "Yeye asemaye anampenda Mungu naye anamchukia ndugu yake ni mwongo" (1 Yohana 4:20). Huwezi kuwa karibu na Mungu kama unawachukia wengine, hata kama chuki yako ni ya kimya kimya. Na waongo, adhabu yao inajulikana. Ni kutupwa katika ziwa la moto, milele na milele (Ufunuo 21:8)
Ila mimi nikiwekewa emoji ya dislike, najua nimempiga shetani penye mshono. Shetani na maajenti wake, kamwe hawawezi kunipenda kwa sababu namulika nuru gizani. Shetani ananichukia kwa sababu namnyang'anya watu aliowafunga minyororo. Hivyo nikiwekewa emoji za ku-dislike nahesabu nimepewa kombe la ushindi 🏆💪😀
Ufu 3:21
Yeye ashindaye, nitampa kuketi pamoja nami katika kiti changu cha enzi...
Unajua ile tch akiuliza fulani akianza kujibu hadi breakJitahidi kufupisha thread zako. Inamaana shuleni hukufundishwa kufupisha habari?
Jana cjui juzi alisema amerudi kwakuwa wadau wakee wa miss ety mkuu😀😀😀Hivi wewe si uliaga humu ndani
nini kimekurudisha?
Watu hawana muda wa kusoma magazeti. Tena gezeti lenyewe The guardianUnajua ile tch akiuliza fulani akianza kujibu hadi break
Unampenda Lissu ?Mimi nakupenda sana maana imeandikwa Mpende adui yako.
Hahaha sikuona hio taarifa aiseJana cjui juzi alisema amerudi kwakuwa wadau wakee wa miss ety mkuu😀😀😀
Juz nilijikuta nimesinzia kisa haya magazeti😅Watu hawana muda wa kusoma magazeti. Tena gezeti lenyewe The guardian
Kwani ulishasikia nimeenda kumuuaUnampenda Lissu ?
Mungu ni pendo apenda watu, Shetani hatupendi nahisi mkuu utanielewesha lakiniUfu 3:21
Yeye ashindaye, nitampa kuketi pamoja nami katika kiti changu cha enzi...
Jibu kwanza?Kwani ulishasikia nimeenda kumuua
HapanaJibu kwanza?
umejibu swal lingine
Kwamba ulidhani nahis ww unaenda kumuua kumbe sio
Ni kuuliza
Je unampenda Lissu?