Chonde chonde mnao-dislike nyuzi za watu - haya yatawapata!

Somo ili liwafikie kwanza walioweka emoji za chuki jamiiforum(founders). Kimsingi yote uliyosema nimekubali lakini kwa hapa jamiiforum na matumizi ya emoji napingana na wewe. Kuna watu wanadhihaki watu, Kuna watu wanaongea matusi hao wote wanastahili emoji 😡😡😡😡
 
Asante.. Wewe si ndo last week ulituaga kwamba hutumii tena Jamii Forums?
 
Jitahidi kufupisha thread zako. Inamaana shuleni hukufundishwa kufupisha habari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…