Chonde chonde nawasihi: Msije mkachanganya bangi na meditation!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Matokeo hayatakuwa mazuri
Usipowehuka unaweza kujikuta unafanya mambo mabaya yatakayokuweka pabaya
Bangi na meditation havina tofauti na pombe na ugoro.. Havichanganywi

Bangi inafumua akili.. Moshi wake huenda direct kwenye ufahamu! Inaweza kukuzibua ufahamu ikakupa uthubutu wa ajabu ukafanya yasiyowezekana kwa akili za kawaida au inaweza kuku freeze akili ukawa kama zoba

Meditation nayo inadili na ufahamu.. Kuondoa makando kando ya ulimwengu wa mwili na kukupa utulivu.. Huo mchakato ni mgumu na sometimes huvuruga akili kama huna mwalimu mzuri

Sasa imagine unakula mmea halafu ukutume ukafanye meditation.. Halafu kwenye meditation ikute kichwa kimeshawaka! 😩

Meditation inataka itulize lakini huku tayari kuna vibe la mmea😹 vyote vinakutana kwenye mlango wa sita wa fahamu.. Vya kutoka vinafosi kutoka! Vya kuingia vinafosi kuingia🙇🏿‍♂

Hilo jam lake si la kitoto! Mwisho wake ni ninini? Mfumuko wa ufahamu.. Baada ya kushindwa kuhimili mgandamizo🙌🏿🙌🏿😂
Kunywa kisungura halafu ukavute ugoro uone!
491b6633-51a8-48a9-be0d-057d5bc6a5ff.jpeg
 
Poa Waambie sio Kila kitu cha kujaribu kisa umeona Uzi mtandaoni.
 
Kweli kabisa. I had a friend we used to meditate together kuna kipindi tuliachana akaenda college sasa huko ndo akawa anavuta bangi na kufanya meditation 🧘‍♀️. Mara ya mwisho kusikia habari zake alikuwa amechanganyikiwa. Ila kwa sasa sijui anaendeleaje.
 
Na kama kwenye ulevi ni mara chache mno kukuta mnywq pombe ni mvuta bangi! Waliojaribu waliishia kuwehukq kama huyo chizi hapo juu 😂
 
Back
Top Bottom