Baadhi ya mantras sio nzuri maana zinaalika roho zinazotangatanga.. Mojawapo mbaya kabisa ni hungry ghost mantra/chantPia kuna watu wanakutana na mantra au chanting online then anaenda kutumia hiyo mantra bila kujua maana na nguvu iliyonayo
Kweli kabisa. Meditation lazima upewe guidance hasa kama inahusisha matumizi ya mantras or chants. Ila breath Meditation mtu yoyote anaweza fanyaBaadhi ya mantras sio nzuri maana zinaalika roho zinazotangatanga.. Mojawapo mbaya kabisa ni hungry ghost mantra/chant
Kwa sababu haujapigwa marufuku.Hivi kuna siri gani siku hizi katika ugoro? Unauzwa sana.
Naona imekuwa biashara nzuri.
Na inaonekana ina faida kubwa.Kwa sababu haujapigwa marufuku.
Kipindi cha nyuma kulikua na kitu inaitwa kuber, hiyo weka mbali na watoto.
Kuberi ilipopigwa marufuku watu wakahamia kwenye local(ugoro)
Nitag kwenye huo uzi wa sprirual lifeNjoo kule
Kuna kitu kinaitwa INTENT. bangi na hiyo meditation vyote sawaMatokeo hayatakuwa mazuri
Usipowehuka unaweza kujikuta unafanya mambo mabaya yatakayokuweka pabaya
Bangi na meditation havina tofauti na pombe na ugoro.. Havichanganywi
Bangi inafumua akili.. Moshi wake huenda direct kwenye ufahamu! Inaweza kukuzibua ufahamu ikakupa uthubutu wa ajabu ukafanya yasiyowezekana kwa akili za kawaida au inaweza kuku freeze akili ukawa kama zoba
Meditation nayo inadili na ufahamu.. Kuondoa makando kando ya ulimwengu wa mwili na kukupa utulivu.. Huo mchakato ni mgumu na sometimes huvuruga akili kama huna mwalimu mzuri
Sasa imagine unakula mmea halafu ukutume ukafanye meditation.. Halafu kwenye meditation ikute kichwa kimeshawaka! 😩
Meditation inataka itulize lakini huku tayari kuna vibe la mmea😹 vyote vinakutana kwenye mlango wa sita wa fahamu.. Vya kutoka vinafosi kutoka! Vya kuingia vinafosi kuingia🙇🏿♂
Hilo jam lake si la kitoto! Mwisho wake ni ninini? Mfumuko wa ufahamu.. Baada ya kushindwa kuhimili mgandamizo🙌🏿🙌🏿😂
Kunywa kisungura halafu ukavute ugoro uone!View attachment 3544992
👍🏼Easy legal stim
Madawa ya kulevya including bangi vinafungua milango kwa ajili ya mapepo kumuingia mtu. Ni vitu hatari sana.