ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Shukran ngoja nipitie🙏Soma hii mkuu
(1,884) Mawasiliano ya kiroho katika milango nane ya fahamu | Page 8 | JamiiForums Mawasiliano ya kiroho katika milango nane ya fahamu
Shukran ngoja nipitie🙏Soma hii mkuu
(1,884) Mawasiliano ya kiroho katika milango nane ya fahamu | Page 8 | JamiiForums Mawasiliano ya kiroho katika milango nane ya fahamu
Asante sanaNa hii
(1,886) Je ubongo una back up memory? Je ni ule mlango wa nane wa fahamu? | JamiiForums Je ubongo una back up memory? Je ni ule mlango wa nane wa fahamu?
Dah! Haya mkuu.. Ila kwa hakika nilichoandika ni halisi na ni hakika kwa asilimia 100 kwakuwa nimekaa Temple kwa miaka 6 nikisoma na ku practiceMimi natumia ganja na ninafanya meditation kwa urahisi zaidi
Mkuu acha kuposha watu unaongelea kuhuhu ganja hata kuvuta au kula hujawahi.
Mkuu nimepitiaNa hii
(1,886) Je ubongo una back up memory? Je ni ule mlango wa nane wa fahamu? | JamiiForums Je ubongo una back up memory? Je ni ule mlango wa nane wa fahamu?
Ganja kwenye medi inasaidia kwenye kukazia na kuzingatia kitu kimojaDah! Haya mkuu.. Ila kwa hakika nilichoandika ni halisi na ni hakika kwa asilimia 100 kwakuwa nimekaa Temple kwa miaka 6 nikisoma na ku practice
Kuhusu weed naifahamu inside out
Watu wanatofautiana nguvu Ila kwenye pure meditation.. Haishauriwi uko contaminate na addictives nyingine hata kahawa hushauriwiGanja kwenye medi inasaidia kwenye kukazia na kuzingatia kitu kimoja
Labda km umeamua kuivuta kama stimu tu ulanduke
Ila mimi (sisi) tunaitumia kwenye ibada na inaleta matokeo chanya!
Meditation inakufanya kuutakasa ufahamu kwa kuondoa takataka za ubinafsi craving na hisia za kuyumbaMkuu nimepitia
Je ina maana meditation inaweza kufungua mlango wa fahamu ?
Na je nini sabahu ya mlango huo kufunguliwa baada ya meditation?
Baada ya hapo ufanye nn?
Chagizo : nini sababu ya kujiangalia kwenye kio na kujiona una macho 3 badala ya mawili?
Sawa sawa mkuu shukraniMeditation inakufanya kuutakasa ufahamu kwa kuondoa takataka za ubinafsi craving na hisia za kuyumba
Meditation inakufanya uwe na control na akili yako.. Hii inakupelekea kuanza ku gain supernatural powers kwakuwa akili yako iko focused sehemu moja na haijatawanyika
Unapofikia hatua hiyo ni rahisi kuliona jicho la tatu kwenye ufahamu na sio kimwili
Kuna jamaa mmoja anapiga ugoro na ana tumia KONYAGIIII SANAAAAAA..Matokeo hayatakuwa mazuri
Usipowehuka unaweza kujikuta unafanya mambo mabaya yatakayokuweka pabaya
Bangi na meditation havina tofauti na pombe na ugoro.. Havichanganywi
Bangi inafumua akili.. Moshi wake huenda direct kwenye ufahamu! Inaweza kukuzibua ufahamu ikakupa uthubutu wa ajabu ukafanya yasiyowezekana kwa akili za kawaida au inaweza kuku freeze akili ukawa kama zoba
Meditation nayo inadili na ufahamu.. Kuondoa makando kando ya ulimwengu wa mwili na kukupa utulivu.. Huo mchakato ni mgumu na sometimes huvuruga akili kama huna mwalimu mzuri
Sasa imagine unakula mmea halafu ukutume ukafanye meditation.. Halafu kwenye meditation ikute kichwa kimeshawaka! 😩
Meditation inataka itulize lakini huku tayari kuna vibe la mmea😹 vyote vinakutana kwenye mlango wa sita wa fahamu.. Vya kutoka vinafosi kutoka! Vya kuingia vinafosi kuingia🙇🏿♂
Hilo jam lake si la kitoto! Mwisho wake ni ninini? Mfumuko wa ufahamu.. Baada ya kushindwa kuhimili mgandamizo🙌🏿🙌🏿😂
Kunywa kisungura halafu ukavute ugoro uone!View attachment 3544992
Na kweli pombe na mmea haviendani..Na kama kwenye ulevi ni mara chache mno kukuta mnywq pombe ni mvuta bangi! Waliojaribu waliishia kuwehukq kama huyo chizi hapo juu 😂
Kuna brother angu afande, yule jamaa atakua anapigaga mmea unajua kwa nini akinywaga JOBO moja TU.Kuna siku stim zitakutana na medulla itajam😂
Sawa ila sisi tunaitumia ila tunapata matokea sawa na wale wa pure mediWatu wanatofautiana nguvu Ila kwenye pure meditation.. Haishauriwi uko contaminate na addictives nyingine hata kahawa hushauriwi
Naaam boss
Ahaa asante nimekwamaUtakapokwama nijulishe
OK sawa nipe mudaAhaa asante nimekwama
maana sijaelewa jibu lako kuhusu kujiangalia kwenye kio nakuona una macho matatu?
Na pia nin sababu ya kujiangalia kwenye kio baadhi ya siku na kujiona kama mtu mwingine au nipunguze wenge