Chonde chonde nawasihi: Msije mkachanganya bangi na meditation!

Chonde chonde nawasihi: Msije mkachanganya bangi na meditation!

Kuna brother angu afande, yule jamaa atakua anapigaga mmea unajua kwa nini akinywaga JOBO moja TU.

Anataka kupitia ukutani☺️
Kuna siku usiku akakosea akaingia kwenye premises ya watu wakadhani mwizii akapigwa akavunjwa mbavu mbili..
Hahahaha😂 Jobo plus weed 🙌🏿😂
 
Sawa ila sisi tunaitumia ila tunapata matokea sawa na wale wa pure medi
inshu ya usafi wa mwili ni kitu kingine huwezi kuzingatia kila kitu sababu hata hewa unayoivuta ukiwa una medi inaweza kuwa chafu!
Kwenye meditation tunapozungumzia usafi ama uchafu si wa kimwili bali wa roho na ufahamu
 
Matokeo hayatakuwa mazuri
Usipowehuka unaweza kujikuta unafanya mambo mabaya yatakayokuweka pabaya
Bangi na meditation havina tofauti na pombe na ugoro.. Havichanganywi

Bangi inafumua akili.. Moshi wake huenda direct kwenye ufahamu! Inaweza kukuzibua ufahamu ikakupa uthubutu wa ajabu ukafanya yasiyowezekana kwa akili za kawaida au inaweza kuku freeze akili ukawa kama zoba

Meditation nayo inadili na ufahamu.. Kuondoa makando kando ya ulimwengu wa mwili na kukupa utulivu.. Huo mchakato ni mgumu na sometimes huvuruga akili kama huna mwalimu mzuri

Sasa imagine unakula mmea halafu ukutume ukafanye meditation.. Halafu kwenye meditation ikute kichwa kimeshawaka! 😩

Meditation inataka itulize lakini huku tayari kuna vibe la mmea😹 vyote vinakutana kwenye mlango wa sita wa fahamu.. Vya kutoka vinafosi kutoka! Vya kuingia vinafosi kuingia🙇🏿‍♂

Hilo jam lake si la kitoto! Mwisho wake ni ninini? Mfumuko wa ufahamu.. Baada ya kushindwa kuhimili mgandamizo🙌🏿🙌🏿😂
Kunywa kisungura halafu ukavute ugoro uone!View attachment 3544992
Hii kitu mbona nimefanya sana, ni ngumu kuilezea lakini ili niweze kutuliza akili na kuondoa zile simulation kichwan nakula kukumoshi. Baada ya akili inakuwa kama chumba kilichowazi natulia kabisa naweza kusikia mpaka mapigo yangu ya moyo. Hapo naingia katika ulimwengu wa roho kwa utulivu na amani tele
 
Hii kitu mbona nimefanya sana, ni ngumu kuilezea lakini ili niweze kutuliza akili na kuondoa zile simulation kichwan nakula kukumoshi. Baada ya akili inakuwa kama chumba kilichowazi natulia kabisa naweza kusikia mpaka mapigo yangu ya moyo. Hapo naingia katika ulimwengu wa roho kwa utulivu na amani tele
Aisee
 
Hii kitu mbona nimefanya sana, ni ngumu kuilezea lakini ili niweze kutuliza akili na kuondoa zile simulation kichwan nakula kukumoshi. Baada ya akili inakuwa kama chumba kilichowazi natulia kabisa naweza kusikia mpaka mapigo yangu ya moyo. Hapo naingia katika ulimwengu wa roho kwa utulivu na amani tele
Wewe una seaze😀

Combining cannabis with meditation can create a profoundly different experience than meditating sober, with side effects ranging from deeper relaxation to increased mental confusion. The effects are highly dependent on the dosage, the strain, and the individual's experience level, often resulting in a "heightened" state of awareness, but sometimes at the cost of clarity.
Potential Side Effects and Risks
Reduced Cognitive Function & Focus: Cannabis can impair the ability to concentrate, making it harder to maintain "one-pointedness" (a key goal of many meditation practices). It can lead to more scattered attention, where the mind wanders more aggressively.
Increased Mental Chatter & Confusion: Instead of quieting the mind, cannabis can exacerbate the flow of thoughts, resulting in a chaotic, restless, or confused mental state.
 
What is Magic Mushroom mkuu
Uyoga wa kichawi, au "shrooms," ni fangasi iliyo na kiwanja cha kisaikolojia cha psilocybin, ambacho hubadilika kuwa psilocin inapomezwa, na kusababisha hisia na mtazamo uliobadilika. Kimsingi kutoka kwa jenasi ya Psilocybe, hallucinojeni hizi zinajulikana kwa kuleta furaha, wakati uliopotoka, na uzoefu wa kiroho.
 
What is Magic Mushroom mkuu
Kwa kifupi ni uyoga wenye stimu hivyo unapoula hukupa hali fulani hivi ya ulevi
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
psilocybe-semilanceata7.jpg
Psilocybin-mushrooms-growing-732x549-thumbnail.jpg


fungi containing the psychoactive compound psilocybin, which turns into psilocin upon ingestion, causing hallucinations and altered perception. Primarily from the Psilocybe genus, these hallucinogens are known for inducing euphoria, distorted time, and spiritual experiences.
 
Ahaa asante nimekwama
maana sijaelewa jibu lako kuhusu kujiangalia kwenye kio nakuona una macho matatu?
Na pia nin sababu ya kujiangalia kwenye kio baadhi ya siku na kujiona kama mtu mwingine au nipunguze wenge
Kuona macho matatu kwenye kioo ni jambo lililoandikwa, linalojumuisha udanganyifu wa macho na tafsiri za kina za kiroho au kisaikolojia. Inafafanuliwa kwa ujumla kupitia "shindano la jicho la tatu," athari ya macho ambapo ubongo hujitahidi kuchakata tafakari za macho ya mtu mwenyewe, mara nyingi wakati wa kutazama sana, kwa muda mrefu.
Huu hapa ni uchanganuzi wa jambo hili kulingana na matokeo ya utafutaji:
1. Maelezo ya Kisayansi/Macho: Ushindani wa Jicho la Tatu
Utaratibu: Athari hii hutokea unapojiweka kwenye tafakari yako mwenyewe, haswa unapovuka au kufungua macho yako . Ubongo hupokea habari zinazopingana kutoka kwa kila jicho na kuziunganisha, na kuunda "jicho la tatu" katikati ya paji la uso.

Uzoefu wa Kuonekana: Unapotazama kwa makini, unaweza kuona macho mawili ya pembeni na jicho maarufu, la "tatu" la kati, au hata jicho moja la cyclopean.
Mtazamo wa Kuhama: Hii ni aina ya ushindani wa darubini ambapo ubongo hupishana kati ya tafsiri tofauti za uso, na kuifanya ionekane kana kwamba uakisi unabadilika au unabadilika.
 
Back
Top Bottom