Kwa hio umeamua kumsema secretarybird kinamna au sio
Dah๐Kwa hio umeamua kumsema secretarybird kinamna au sio
Kuna mwamba kakutungia uzi, umeuona๐๐Uongo uongo mwingi na umazabe mazabe. JF unakuta kuna watu wanaweza ongelea jambo ukadhani wana utaalamu wowote kumbe umazabe mazabe tu
Poa Waambie sio Kila kitu cha kujaribu kisa umeona Uzi mtandaoni.Matokeo hayatakuwa mazuri
Usipowehuka unaweza kujikuta unafanya mambo mabaya yatakayokuweka pabaya
Bangi na meditation havina tofauti na pombe na ugoro.. Havichanganywi
Bangi inafumua akili.. Moshi wake huenda direct kwenye ufahamu! Inaweza kukuzibua ufahamu ikakupa uthubutu wa ajabu ukafanya yasiyowezekana kwa akili za kawaida au inaweza kuku freeze akili ukawa kama zoba
Meditation nayo inadili na ufahamu.. Kuondoa makando kando ya ulimwengu wa mwili na kukupa utulivu.. Huo mchakato ni mgumu na sometimes huvuruga akili kama huna mwalimu mzuri
Sasa imagine unakula mmea halafu ukutume ukafanye meditation.. Halafu kwenye meditation ikute kichwa kimeshawaka! ๐ฉ
Meditation inataka itulize lakini huku tayari kuna vibe la mmea๐น vyote vinakutana kwenye mlango wa sita wa fahamu.. Vya kutoka vinafosi kutoka! Vya kuingia vinafosi kuingia๐๐ฟโโ
Hilo jam lake si la kitoto! Mwisho wake ni ninini? Mfumuko wa ufahamu.. Baada ya kushindwa kuhimili mgandamizo๐๐ฟ๐๐ฟ๐
Kunywa kisungura halafu ukavute ugoro uone!
Kweli kabisa. I had a friend we used to meditate together kuna kipindi tuliachana akaenda college sasa huko ndo akawa anavuta bangi na kufanya meditation ๐งโโ๏ธ. Mara ya mwisho kusikia habari zake alikuwa amechanganyikiwa. Ila kwa sasa sijui anaendeleaje.Matokeo hayatakuwa mazuri
Usipowehuka unaweza kujikuta unafanya mambo mabaya yatakayokuweka pabaya
Bangi na meditation havina tofauti na pombe na ugoro.. Havichanganywi
Bangi inafumua akili.. Moshi wake huenda direct kwenye ufahamu! Inaweza kukuzibua ufahamu ikakupa uthubutu wa ajabu ukafanya yasiyowezekana kwa akili za kawaida au inaweza kuku freeze akili ukawa kama zoba
Meditation nayo inadili na ufahamu.. Kuondoa makando kando ya ulimwengu wa mwili na kukupa utulivu.. Huo mchakato ni mgumu na sometimes huvuruga akili kama huna mwalimu mzuri
Sasa imagine unakula mmea halafu ukutume ukafanye meditation.. Halafu kwenye meditation ikute kichwa kimeshawaka! ๐ฉ
Meditation inataka itulize lakini huku tayari kuna vibe la mmea๐น vyote vinakutana kwenye mlango wa sita wa fahamu.. Vya kutoka vinafosi kutoka! Vya kuingia vinafosi kuingia๐๐ฟโโ
Hilo jam lake si la kitoto! Mwisho wake ni ninini? Mfumuko wa ufahamu.. Baada ya kushindwa kuhimili mgandamizo๐๐ฟ๐๐ฟ๐
Kunywa kisungura halafu ukavute ugoro uone!
Hahaha ๐, hapana mkuu. Mimi huwa napishanisha hivyo vitu.Kwa hio umeamua kumsema secretarybird kinamna au sio
Kuna mwamba kakutungia uzi, umeuona๐๐
Bibie Minjingu Jingu, siyo?Kuna mwamba kakutungia uzi, umeuona๐๐
Na kama kwenye ulevi ni mara chache mno kukuta mnywq pombe ni mvuta bangi! Waliojaribu waliishia kuwehukq kama huyo chizi hapo juu ๐Kweli kabisa. I had a friend we used to meditate together kuna kipindi tuliachana akaenda college sasa huko ndo akawa anavuta bangi na kufanya meditation ๐งโโ๏ธ. Mara ya mwisho kusikia habari zake alikuwa amechanganyikiwa. Ila kwa sasa sijui anaendeleaje.
Pia kuna watu wanakutana na mantra au chanting online then anaenda kutumia hiyo mantra bila kujua maana na nguvu iliyonayoNa kama kwenye ulevi ni mara chache mno kukuta mnywq pombe ni mvuta bangi! Waliojaribu waliishia kuwehukq kama huyo chizi hapo juu ๐