No 2Ahaa asante nimekwama
maana sijaelewa jibu lako kuhusu kujiangalia kwenye kio nakuona una macho matatu?
Na pia nin sababu ya kujiangalia kwenye kio baadhi ya siku na kujiona kama mtu mwingine au nipunguze wenge
Asante sanaKwa kifupi ni uyoga wenye stimu hivyo unapoula hukupa hali fulani hivi ya ulevi
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿View attachment 3545429View attachment 3545430
fungi containing the psychoactive compound psilocybin, which turns into psilocin upon ingestion, causing hallucinations and altered perception. Primarily from the Psilocybe genus, these hallucinogens are known for inducing euphoria, distorted time, and spiritual experiences.
100% correct! Weed ni external addictive (intruder) then unataka kuitumia kwenye meditation inayokutaka ujitakase kiroho kutoka ndani na external distractionsAsante sana
Kutumia hii during meditation ni kama bangi tu. Meditation haihitaji object yoyote from outside.
HaaahaaHakika mkuu, ndiyo maana Mimi huwa napishanisha pombe na bangi. Yaani kama hii wiki ni ya bangi basi wiki ijayo ni ya pombe.
😁😁😁Kama sio mzoefu day 1 maxima upige mweleka
Shukran nimekuelewa vyemaKuona macho matatu kwenye kioo ni jambo lililoandikwa, linalojumuisha udanganyifu wa macho na tafsiri za kina za kiroho au kisaikolojia. Inafafanuliwa kwa ujumla kupitia "shindano la jicho la tatu," athari ya macho ambapo ubongo hujitahidi kuchakata tafakari za macho ya mtu mwenyewe, mara nyingi wakati wa kutazama sana, kwa muda mrefu.
Huu hapa ni uchanganuzi wa jambo hili kulingana na matokeo ya utafutaji:
1. Maelezo ya Kisayansi/Macho: Ushindani wa Jicho la Tatu
Utaratibu: Athari hii hutokea unapojiweka kwenye tafakari yako mwenyewe, haswa unapovuka au kufungua macho yako . Ubongo hupokea habari zinazopingana kutoka kwa kila jicho na kuziunganisha, na kuunda "jicho la tatu" katikati ya paji la uso.
Uzoefu wa Kuonekana: Unapotazama kwa makini, unaweza kuona macho mawili ya pembeni na jicho maarufu, la "tatu" la kati, au hata jicho moja la cyclopean.
Mtazamo wa Kuhama: Hii ni aina ya ushindani wa darubini ambapo ubongo hupishana kati ya tafsiri tofauti za uso, na kuifanya ionekane kana kwamba uakisi unabadilika au unabadilika.
Asante sana 🙏No 2
Mitazamo ya Kiroho na Tafakari
Katika mila nyingi za kiroho, haswa katika yoga na Uhindu, "jicho la tatu" linamaanisha Ajna chakra au "kituo cha paji la uso".
Kiti cha Intuition: Inachukuliwa kuwa kitovu cha angavu, hekima, na mwongozo wa ndani.
Ishara ya Shiva: mungu wa Kihindu Shiva mara nyingi anaonyeshwa kwa jicho la tatu, akiashiria nguvu ya ujuzi, kutambua uovu, na uwezo wa kuona zaidi ya ulimwengu wa nyenzo.
Uzoefu wa Kutafakari: Kuona jicho la tatu kwenye kioo wakati wa kutafakari wakati mwingine hufasiriwa kama mtazamo wa maono haya ya ndani au ishara ya kuamka, ingawa kwa kawaida hueleweka kama jicho la ndani, si la kimwili
Kama umeniona niliona channeling awee ile kutulia tu mambo yakaanza sitaki tena ila inanifuata fuata 😀😀😀Pia kuna watu wanakutana na mantra au chanting online then anaenda kutumia hiyo mantra bila kujua maana na nguvu iliyonayo
Aisee pole sana, bila kuwa na guidance ya haya mambo unaweza jikuta unakuwa chizi. 😂😂.Kama umeniona niliona channeling awee ile kutulia tu mambo yakaanza sitaki tena ila inanifuata fuata 😀😀😀
Yani acha tu sikujua kama niko active sahizi naogopaAisee pole sana, bila kuwa na guidance ya haya mambo unaweza jikuta unakuwa chizi. 😂😂.
Siku hizi mi nimekuwa mzembe kwenye meditation muda sana sijafanya.
ni yenye nguvu ila kupokea nguvu hiyo mpaka uwe na roho, mwili na nafsi safi.Meditation iliyo bora zaidi kwenye maisha ya mwanadamu ni kupokea Roho Mtakatifu, sisi watu wa rohoni tunaijua nguvu ya utendaji wake..