Chonde Chonde wafuatao ni Finland, Norway na Sweden

Huku duniani wakati dunia itakapokuwa na serikali moja...Kwa sasa ni maandalizi yake tu na yupo akawizae

Tutakua tushanyakuliwa mawinguniπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ™Œ
 
Reactions: Ame
Nchi ilojaa dhulma,ukandamizaji na uvunjifu wa katiba/sheria inafaa kutengwa na kila mpendahaki na Mungu ningumu kuiinua.
Mataifa yanaona na kukerwa naupuuzi mwingi unaoendelea baadhi yavitu vyakuudhi nikama :
1. Makamu chama cha upinzani anapigwa risasi na hakuna uchunguzi zaidi kunyimwa haki.
2. Mwenyekiti wake anatiwa ndani eti ni gaidi na mhujumu uchumi huku wamemuua kibiashara.
3. Mdude amewekwa ndani mudaa na hamna kesi ya maana badae wanamwachia tuu.
4. Wapo wapinzani wanaokimbia nchi kwakuogopa kuuwawa kisa wanamawazo tofauti.
5. Uchaguzi wakibabe wapinzani wooote nje ya uongozi kibabe!
6. Mabalozi wakiongea wanakatazwa na kutusiwa mabeberu.
7. Wawekezaji toka nchizao wamekimbilia nchi nyingine jirani
8. Wananchi hawana raha na viongozi hawajali wanawaambia wahame nchi.
9. Nchi kukosa dira inayoeleweka (mf kuachia katiba katikati) na taasisi imara hakuna.Nk. Nk.
 
Ni aibu sana nchi tulizokuwa nazo sawa kiuchumi kusaidia nchi kubwa kama Tanzania eti vi nchi kama mkoa ndo vinasaidia Tanzania sasa UHURU ulikuwa na maana gani.

Wenzetu walishatoka kwenye kuwaza basic needs.
You have weak brains, tena mnawaruhusu weakest wawaogoze mtapelekeshwa hata na kichwa kimoja kinachofukiri vizuri.
 
Ushoga ushoga wala sio Genda yao kuu tujitafakari tu wabia wa maendeleo kukimbia sio kitu kizuri
 
Misaada wametoa sana haikusaidia Nchi kukwamuka kiuchumi, licha ya hali isiyoridhisha ya maisha Nchi inanunua mindege kibao keshi, eti ni aibu Nchi kama hii kutokuwa na ndege, hamna sababu yeyote zaidi ya matumizi mabaya, wacha waondoke, kwani wanaona kizunguzungu!
 
Mkuu huwajui CCM wewe,kadri Donors wanavyotukataa ndivyo wananchi wanavyopewa Tozo kubwa kila kona.
Tuendako itakuja tozo ya ndoa, yaani wanakukadiria kwa mwaka mke wako huwa unamgonga bao ngapi,kama ni bao 60, wanafanya 60 X 500=30,000 Tega sikio utaona,CCM kinyesi kibichi cha mbwa Koko.
 
Wewe Boya kweli,kwa hiyo JPM ndo alikuwa mzuri,huyu Samia na JPM wote mavi tu ya mbwa
 
Pole yetu democrasia imetushinda ngoja watoke China yetu ipo na urusi
 
Toka uhuru, tunafahamu kuwa Denmark, Norway, Sweden na Finland ziko pamoja.

Miaka hiyo mradi mkubwa wa kukumbukwa ni Kibaha Education Centre.
Mradi huu ulikuwa na mafanikio makubwa sana mpaka Centre hii sasa iegeuzwa kuwa makao makuu ya mkoa wa Pwani.

Kwa hiyo hawa wafadhili wenye utu, wakianza kujitoa Tanzania , alarm bells lazima zisikike.
Hawajawahi kututawala , hawajawahi kuingilia mambo ya ndani.

Ujumbe wao ni simple, endelea na ukiukaji wa haki za binadamu na utabaki na marafiki kma North Korea, sisi tunajitoa.
Ndege wafananao huruka pamoja.

Namshauri Mama Samia aamke kutoka uusingizi wa pono na kuendesha nchi badala ya kuwaachia masalia ya Mwenda zake.
 
Nordic countries wote wanafunga balozi - Sweden , Finland, Norway πŸ‡³πŸ‡΄ Denmark πŸ‡©πŸ‡°

Hawa jamaa wanachangia makubwa sana kwenye bajeti yetu .

CCM inawakimbiza wafau wetu wa maendeleo tangu uhuru.
 
Kipindi kama hiki sasa ndio unapo miss uwepo wa watu kama Nyerere au Augustine Mahiga na wengine wachache sanaaaaa.Mbwa zilizobaki zimejaa serikal ya tanzania ni kichefu chefu hata kuzitaja majina.Mulamula sijamsoma hata kidogo.Ni wa hovyo kupindukia
Kwa Mulamula this is a failure in diplomacy.
Nchi zenye utu wakiikimbia nchi sasa kazi yake nini?
Kuwafuata Nairobi?
Pengine tumuulize Mula mula , lini anaenda Pyongyang, North Korea!
 
kama wakiona sisi hatutakiwi kuwa marafiki zao, tusiwalazimishe, na sisi tutafute na kuimarisha marafiki wapya. waache waende isijeonekana tunajibembeleza sana kwao, hata hivyo, Denmark wamefanya kipi kwa miaka hii 5 iliyopita? na hata ahadi zao nyingi ni za uongo, wanaahidi halafu hawaleti. wakwendee zao, shain.
 
Akili za hivi zitaongozaje nchi sasaπŸ™„

Mungu akusamehe makosa yako, moyo umejaa uchungu na uasi
 
Wanataka turuhusu ndoa za jinsia moja na ushoga na usagaji Kama kwao ndio waseme tunaheshimu Haki za binadamu.Tumegoma Kama Nchi ndio wanabweka
nordic countries sio nchi za kishoga, nchi ya kishoga ni UK. hata hivyo, wacha tu waende, wana midomo sana, kama bata vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…