Chonde Chonde wafuatao ni Finland, Norway na Sweden

Pia kuna miradi mingi ya maji imejengwa na hizi nchi katika mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma, Mbeya, Iringa, Rukwa na Kigoma.
 
Ni aibu sana nchi tulizokuwa nazo sawa kiuchumi kusaidia nchi kubwa kama Tanzania eti vi nchi kama mkoa ndo vinasaidia Tanzania sasa UHURU ulikuwa na maana gani.

Wenzetu walishatoka kwenye kuwaza basic needs.
hata Argentina pia wanaondoka, sio Tz pekee, hivyo sio aibu yetu peke yetu, na kimataifa uhusiano unatakiwa kuwa wa two way traffic, wasijione wao wa muhimu sana kwetu kuliko sisi kwao. waende tu wakija kuhitaji tena wanakaribishwa warudi. poa tu.
 
Soma budget speech zote za hiyo miaka uona namna mawaziri wote wa fedha walivyosaidia budget yetu!
 
Ulitaka wafanye nini wakati dikteta Magufuli anatembea na mfuko wa hazina kama fedha zake binafsi na kujenga Chato!
 
Wanataka turuhusu ndoa za jinsia moja na ushoga na usagaji Kama kwao ndio waseme tunaheshimu Haki za binadamu.Tumegoma Kama Nchi ndio wanabweka
Wanachotaka ni mjadala wa wazi wa katiba mpya utakaoleta tume huru ya uchaguzi. Acha kupotosha maneno.
 
Kwakifupi hili suala litaiua tayari limejadiliwa kwenye umoja wa nordic countries ni suala lanmuda tuu
 
Serikali futeni kesi zote zenye mlengo wa kisiasa hasa ya Mbowe na Sabaya

1. Msilazimishe watu kuchanja chanjo ya UVIKO-19 kwa vitisho
2. Mwendesha mashitaka futa mashitaka dhidi ya Mbowe na Sabaya ili kuiponya nchi na BALAA linalokuja
3. Utawala uliopo usidhalilishe viongozi walio chini yao kwa kufungulia mashitaka ya visasi na chuki
4. Askari polisi waache dhuluma, kusingizia kesi na kufanya visasi dhidi ya wananchi wanaotoa siri ya udhaifu wao
5. Wanasiasa wasameheane hadharani kwa kushirikisha wananchi kisha wajenge nchi kwa pamoja
6. Viongozi mliopo madarakani acheni kudhalilisha viongozi wa nchi waliotangulia mtaharibikiwa vibaya sana
7. Mamlaka ya nchi iache kuingilia viongozi wa kidini na kiroho, maombi ya WIKI moja yaridhiwe na nchi kwa pamoja
8. Tanzania iko kwenye hatari ya kuvamiwa kwa sasa, wananchi, jeshi la ulinzi, uongozi wa nchi na viongozi wa dini/kiroho unganeni haraka muachane na ubishi wa mabavu ya mamlaka
9. Jeshi la polisi lindeni raia na mali zao
10. Tekelezeni miradi yote ambayo wanasiasa mliahidi kwenye uchaguzi mkichepusha kuna somo lipo mezani kuifundisha Tanzania
11. Vyama vya siasa muwasamehe CCM kwa yote mnaodhani waliwakwaza; ninyi CCM mjishushe muache kiburi mtasambaratika ijapokuwa hilo huwa hamuliamini lakini litatokea hakika
12. Mamlaka ya nchi acheni kuwabebesha mzigo wa kodi wananchi wa chini hii laana itaangusha utawala wenu
13. Tamkeni hadharani kama makao makuu ya nchi yamehamishwa kutoka Dodoma kurudi Dar Es Salaam ili wananchi waelewe na kuridhia au la tofauti na hapo kuna mvutano utaleta athari kwa uchumi. usalama na jamii itaparaganyika
14. Viongozi mlioko madarakani na wanasiasa ama wa chama tawala au upinzani jiepusheni kumtupia lawama hayati JPM kwa lolote lile ili mpendwe haitatokea, na amani itarejea mkiwa na moyo wa kusamehe na kuanza upya kila mmoja akimheshimu mwingine
15. Safari za nje ya zisizo na tija zisitishwe na viongozi watatue kero za wananchi wa chini hapo mtapata kibali bila hivyo utawala unaonekana kutoendela kusisima
16. Aina ya utatuzi wa kero za muungano unaoendelea usitishwe na wananchi washirikishwe watawashauri vizuri tu kwa manufaa ya pande mbili maana kuna fukuto miongoni mwenu....................kwa maana inaonekana minong'ono ya kutotendewa haki kila upande inafukuta kila upande ukilaumu upande mwingine, Kumbukeni Tanzania imejengwa kwa tofali za chuma kichafu na udongo wa mboji kwa hiyo mtikisiko pasipokuwa na mahusiano mazuri, kuaminiana, kusaidiana, kujengana na kuheshimiana kutaipasua vipande (Zanzibar vipande sita Pemba viwili, Unguja vinne) Tanzania bara (vipande saba Kasikazini, Kasikazini Magharibi, Pwani, Nyanda za juu kusini, Kusini, Kati na Magharibi)

*Watumishi wa Mungu, Wananchi wa chini, Vyombo vya ulinzi na usalama, Viongozi wa waandamizi wa nchi WAHESHIMIWA, WASAIDIWE, nao waondoe KIBURI giza linaweza kupungua
 
Kuwa na Ubalozi kwenye nchi haimaanishi lengo ni kuipa nchi msaada Mkuu. Elewa kuwa hawa wanabalozi zao Marekani, UK, China, France, German nk. Hawapo kule kwa lengo la kutoa misaada.
We nawe bwege, unalinganishaje Tanzania na hizo nchi ulizozitaja
 
Ninachoamini kabisa ni kwamba huyu mama hana mamlaka kamili ya kuvidhibiti vyombo vyote vilivyo chini yake.

Kuna vyombo ktk nchi hii vinajiamulia vifanye nini na kwa wakati gani ili mradi wanaona wanachokifanya ni kwa maslahi ya rais mwenyewe na chama chake hivyo wanaona hawana sababu ya kumuomba ruhusa.

Mfano; kuendeleza ubabe dhidi ya vyama vya upinzani hasa Chadema hata baada ya Magufuli kufariki ni ushahidi tosha wa ninacho kiongelea hapa.

Ila hatua yao hii japo wanafikiri kijinga kwamba wanamsaidia rais na chama chake ili kiendelee kutawala lakini ina madhara yake tena makubwa kwa utawala huu huu wanaojifanya kuupigania.

The strategy is horrible, naive and with grave consequences to the regime they're purporting to save. Time will surely prove what I'm saying today and not in too distant future .
 
Hakuna nchi iliyoendelea kwa kutegemea misaada au wewe unadhani china imefika pale kwa kulialia na kutegemea misaada.
Hapana bali kwa kutumia akili kujitegemea na kufanya kazi.

Na hapohapo wanakupa misaada then wao wanachukua mara tatu ya walichokupa. Africans bado hawana akili ya kusoma lakini hata kuona picha bado hawawezi.


Ni vizuri Stop misaada then upigike ili upate akili ya kujitegemea.
 
Hakuna jipya hata wakisepa,tuna nchi nyingi Sana Duniani tunaganya nao biashara nk lakini hata hazina balozi.

Kikubwa waliofunga ubalozi hawajasema wamesitisha mashirikiano ya kidiplomasia nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…