Chonde chonde Watanzania tuwaangalie wateule wa Rais kwa weledi wao

Status
Not open for further replies.

Hero

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
3,919
Reaction score
2,843
Kumekuwa na manung'uniko kila mara rais Samia anapofanya teuzi kuwa zina muelekeo wa kuingia kuswali au kusali! Niwaombe watz, tutulize munkari! Teuzi za Ally H. Mwinyi zilileta matokeo kwa kiasi kile cha serikali ya awamu ya pili! Uteuzi wa Mkapa ulitufikidha pale alipoishia! Uteuzi wa JK nao uliturudisha nyuma kiasi kile alichotuacha.

Teuzi zilizofanywa na JPM zilitupaisha na kuufikia uchumi wa kati mapema kabla ya muda uliotarajiwa tena ndani ya 👊 tu, na kumtambulisha kama rais pekee aliyenuia na kuhakikisha anaipaisha Tanzania kwa kujitawala kiuchumi. Huyo mwamba JPM aliangalia uchapakazi/umahiri wa mtu siyo kabila wala dini! Na alikuwa na machinery ya kuwatambua watu walio na weledi na siyo kuangalia imani zao.

Nachotaka kusema ni kwamba...hata kama mama yetu huyu Rais Samia atawateua na kutengeneza safu yake yote iliyovaa hijabu na vibaragashia sio hoja, hoja ni umahiri wao wa kuwatumikia Watanzania bila ubaguzi kutatua changamoto za watz na kuipaisha Tz kuingia uchumi wa kati wa kati kutoka huu wa kati wa chini ambao mwamba JPM ametuachia tena ndani ya 👊 tu.

Nawaombeni sana Watanzania, tusiwe wepesi kuuliza imani za wateule wa Rais tusije tukaanza kuweka nyufa kwenye msingi wa nchi yetu nyufa ambazo zitatusababishia tujikute tupo nje ya nyumba yetu Tanzania iliyobomoka na kuanguka.

Narudia tena, tusikimbilie kujua wameteuliwa wangapi waislamu au wakristo, bali tufuatilie utendaji wao na kama watapwaya, hapo ndio tuwapopoe madongo yote tutakayoweza kuyashika na kuyarusha bila kuhisianisha na imani zao tafadhari sana.

Haya mambo ya teuzi yanachangamoto sana...ngoja niishie hapo.
 
Wasimfunge mikono mama kwa kuogopa kumteua mtu mahiri na mwaminifu kwa sbb ya imani yake😡!
Swadaktaaa....

Hao ni wachafuzi wa hali ya hewa....wako wachache sana mkuu....

Wananchi wa kawaida Wala hawana 'pang'ang'a hizo".....
 
Chuki za kidini na ukabila kuingia ni rahisi lakini kutoka kwake ni ngumu sana i see😡!
Udini na ukabila Ni mbaya Sana nchi nyingi zinaingiaga mtifuano kwasababu hi
 
Ni wapumbavu wachache wanaoleta chokochoko.

Kwao wakiteuliwa wakristo hata mia na muislamu mmoja kwao huo sio udini.

Wakiteiliwa wakristo watano na waislamu watano huo ni udini.

Au wakiteuliwa wakristo wawili na waislamu watano hapo ndo nyimbo zote za udini zitaimbwa.

Tunawaangalia tu na unafki wao.
 
Kumekuwa na manung'uniko kila mara rais Samia anapofanya teuzi kuwa zina muelekeo wa kuingia kuswali au kusali! Niwaombe watz, tutulize munkari! Teuzi za Ally H. Mwinyi zilileta matokeo kwa kiasi kile cha serikali ya awamu ya pili! Uteuzi wa Mkapa ulitufikidha pale alipoishia! Uteuzi wa JK nao uliturudisha nyuma kiasi kile alichotuacha!

Teuzi zilizofanywa na JPM zilitupaisha na kuufikia uchumi wa kati mapema kabla ya muda uliotarajiwa tena ndani ya [emoji109] tu, na kumtambulisha kama rais pekee aliyenuia na kuhakikisha anaipaisha Tanzania kwa kujitawala kiuchumi. Huyo mwamba JPM aliangalia uchapakazi/umahiri wa mtu siyo kabila wala dini! Na alikuwa na machinery ya kuwatambua watu walio na weledi na siyo kuangalia imani zao!

Nachotaka kusema ni kwamba...hata kama mama yetu huyu Rais Samia atawateua na kutengeneza safu yake yote iliyovaa hijabu na vibaragashia sio hoja, hoja ni umahiri wao wa kuwatumikia Watanzania bila ubaguzi kutatua changamoto za watz na kuipaisha Tz kuingia uchumi wa kati wa kati kutoka huu wa kati wa chini ambao mwamba JPM ametuachia tena ndani ya [emoji109] tu.

Nawaombeni sana Watanzania, tusiwe wepesi kuuliza imani za wateule wa rais tusije tukaanza kuweka nyufa kwenye msingi wa nchi yetu nyufa ambazo zitatusababishia tujikute tupo nje ya nyumba yetu Tanzania iliyobomoka na kuanguka.

Narudia tena, tusikimbilie kujua wameteuliwa wangapi waislamu au wakristo, bali tufuatilie utendaji wao na kama watapwaya, hapo ndio tuwapopoe madongo yote tutakayoweza kuyashika na kuyarusha bila kuhisianisha na imani zao tafadhari sana.

Haya mambo ya teuzi yanachangamoto sana...ngoja niishie hapo.
Faida za kuwepo kwa uwiano wa dini zote ktk nafasi mbalimbali ktk taasisi za serikali ni jambo muhimu sana ktk kuimarisha umoja wa Taifa letu lkn pia inajenga uwajibikaji , lkn pia inaimarisha zaidi uzalendo. Umoja ni nguvu. inclusive Govenment for all ni jambo muhimu sana kwa karne hizi.
wale wasio taka uwiano ndio ambao hawalitakii Taifa letu mema, kwani taifa letu litaendelea kuwepo sisi sote tutakufa, kizazi kingine kitakuja hivyo lazima kuwepo na misingi imara ambayo kizazi chetu kitarithi na watabaki salama, kinyume chake tusijidanganye tuzungumze ukweli kwa mustakibali wa nchi yetu miaka 100 ijayo.
kuzungumzia kuwepo kwa uwiano wa dini sio udini bali lengo la uwiano ni kuimarisha umoja wa taifa letu kwa miaka zaidi ya 100 ijayo.
 
Dini/Kabila Karne Ya 21 Zina Msaada Gani?
 
Hakuna anayepinga hayo! Ila tusijikite ktk uwiano tu bila kujali uwajibikaji! Mtu apimwe kwa weledi siyo dini yake!
 
Mwenda zake aliendekeza ukabila na udini wala hakufuata weledi na ndoo maana baada ya kuondoka tumeona madhaifu mengi.Alichoweza ni kutufumba mdomo watanzania waote na kuonekana wote ni mbuzi chini yake.Lakini Mungu haombwi kwa nguvu akatauepusha na hiki kikombe .Ni mwenda wazimu tu ambae atasema mwenda zake ametengeneza uchumi wakati watanzania wananuka shida na biashara zimekufa kwa kiwango cha lami.Samia hana udini wala ukabila ninacho kiona ni chuki binafs kwa team mwendazake

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Moderator, naomba usiuhamishe huu uzi ili tuwekane sawa jambo hili tafadhali sana mkuu🙏!

Kumekuwa na manung'uniko kila mara rais SSH anapofanya teuzi kuwa zina muelekeo wa kuingia kuswali au kusali! Niwaombe watz, tutulize munkari! Teuzi za Ally H. Mwinyi zilileta matokeo kwa kiasi kile cha serikali ya awamu ya pili! Uteuzi wa Mkapa ulitufikidha pale alipoishia! Uteuzi wa JK nao uliturudisha nyuma kiasi kile alichotuacha! Teuzi zilizofanywa na JPM zilitupaisha na kuufikia uchumi wa kati mapema kabla ya muda uliotarajiwa tena ndani ya 👊 tu, na kumtambulisha kama rais pekee aliyenuia na kuhakikisha anaipaisha Tz kwa kujitawala kiuchumi! Huyo mwamba JPM aliangalia uchapakazi/umahiri wa mtu siyo kabila wala dini! Na alikuwa na machinery ya kuwatambua watu walio na weledi na siyo kuangalia imani zao!
Nachotaka kusema ni kwamba...hata kama mama yetu huyu SSH atawateua na kutengeneza safu yake yote iliyovaa hijabu na vibaragashia sio hoja, hoja ni umahiri wao wa kuwatumikia watz bila ubaguzi kutatua changamoto za watz na kuipaisha Tz kuingia uchumi wa kati wa kati kutoka huu wa kati wa chini ambao mwamba JPM ametuachia tena ndani ya 👊 tu!
Nawaombeni sana watz, tusiwe wepesi kuuliza imani za wateule wa rais tusije tukaanza kuweka nyufa kwenye msingi wa nchi yetu nyufa ambazo zitatusababishia tujikute tupo nje ya nyumba yetu Tz iliyobomoka na kuanguka!
Narudia tena, tusikimbilie kujua wameteuliwa wangapi waislamu au wakristo, bali tufuatilie utendaji wao na kama watapwaya, hapo ndio tuwapopoe madongo yote tutakayoweza kuyashika na kuyarusha bila kuhisianisha na imani zao tafadhari sana!
Haya mambo ya teuzi yanachangamoto sana...ngoja niishie hapo🙏!
kwa maoni yangu, kuwa raisi mwenye imani ya kiislamu nchi hii ni shida sana na yahitaji uvumilivu mkubwa mno; uvumilivu huu si kwa raisi tu bali hata kwa wafuasi wa dini yenyewe ya kiislamu. bila hivyo, hii nchi inawaka moto ndani ya dakika tu. Kiukweli kuna mambo yanakera na yahitaji neema ya Muweza wa yote (Mungu) kukuweka mbali na kero hiyo.

binafsi sijaona udini wa mama hata kidogo, ukiangalia hata hizo teuzi alizozifanya tangu awe raisi, majina yanayotafsirika (kwa uozo wa akili zetu) kama ya waislamu ni machahce kuliko yanayotafsirika kama ya wakristo.....angalia mawaziri aliowateua, manaibu waziri, wakuu wa taasisi mbali mbali, wakuu wa mikoa na hawa makatibu tawala wa jana ambao analetewa zengwe nao. Wadini (wanaomchukia kutokana na dini yake) wamekomaa kuangalia majina mapya ya wachache waliongia huku (kwa makusudi) wakiyaacha meeengi aliyoamua kuyaacha ambayo katika hayo yenye kudhaniwa kuwa ya kikristo ni mengi mno, mnoooo. kama raisi, alikuwa au anao uwezo wa kuwatoa hata hao lakini hajafanya hivyo. sijui udini wake upo wapi?!!!

raisi aliyepita, r.i.p, tukiangalia teuzi zake kwa namna hii ya udini, basi naweza kusema alikuwa kinara sana wa huo udini na ukanda. baraza la mawaziri 18 kuwepo wenye majina yanayotafsirika kuwa ni ya kiislamu matatu tu ni ushahidi tosha. hapo sijazungumzia wakuu wa taasisi, vyombo vya ulinzi, wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi wala makatibu tawala. Mungu alimjaalia mzee yule (r.i.p) hata hatukuona threads kama hizi....ilikuwa ni mapambio tu!

hata mtoa mada, Mungu anisamehe kama ninakosea, ukilisoma vizuri bandiko lake, utagundua kuna kitu kikubwa kimejificha moyoni mwake....udini! angalia alivyowachambua hao maraisi wastaafu; wapo waliopewa heshma na wapo waliozungumzwa kwa nia ya kuwaponda tu (hata hauhitaji darubini kuliona hili). malizia na ''....iliyojaa hijabu na vibaragashia...''!

kama ningekuwa na uwezo wa kusikika na huyu mama, ningeshauri yafuatayo;

1. awe na msimamo tu, ateue watakaomsaidia kuhudumia wananchi kikweli kweli na si vinginevyo. wale wenye kujitofautisha kiimani tangu kwenye salamu (km yeye). aelewe kuwa kuna kundi kubwa la watu limekaa (saa 24 siku 7 za wiki) kwa ajili ya kuangalia uislamu wake tu na kujitahidi kwa kila namna kutafsiri kila neno lake, tendo lake, vazi lake, tembea yake, kula yake, salimia yake, ongea yake, cheka yake, kaa yake n.k katika mtazamo huo wa kidini ili wapate kumchafulia hali ya hewa......wanaendelea kuanza kama hivi!!!! akiwategea sikio tu na kuwasikiliza bila kwenda kwa kina katika kuielewa ajenda yao kuu (kumharibia kwakuwa hawampendi kwa sababu ya dini yake), atajiharibia mno na kujipa kazi ngumu ya kutawala.

2. akae kimya na badala yake atumie uwezo wake wote kutuletea maendeleo tu yanayoonekana. yaani, afanye the right thing just to shame the devils!!!

3. awe mkali kwa wachafuzi hawa wenye mlengo wa kidini.....akimbamba mmoja, apate adhabu yenye kufundisha haswaa!!

nb:
sijapata kuona chuki inayoumiza kama ya ubaguzi wa kidini.....inakera kweli kweli. tuwe makini kweli kweli na chuki na uzushi wa kidini. kwenye kufaidi mema ya nchi hii, kuna upande umetulia kwa muda mrefu sana: hauna haja ya kutoneshwa donda kwani umekubaliana na hali na maisha yanaendelea na tunajifia tu sote kila tufikishapo 60+
 
Huwezi kuona sawia unapokuwa umegubikwa na blanketi la udini unapotaka kujadiri mada hii! Inaonekana kuwa unayo makovu na madonda mengi yanayohusiana na imani yako na kwa mtazamo wako huo umenitafsiri kuwa mimi pia ni mdini...sawa siwezi kukulazimisha kuamini vinginevyo na wala siyo lengo langu kukushawishi kubadili mtazamo wako! Nilipokuwa natoa highlight ya marais ja awamu zao na jinsi taifa letu lilivyoathiriwa na maamuzi yao sikuwaza kidini bali ki uhalisia wa kwa uelewa na mtazamo wangu! Kwangu mimi naona tz iliachwa hoi bin taabani n awamu ya nne ya JK na awamu ya tano ikaja kurekebisha na kuipaisha tz kiuchumi...kwangu hii ni 'fact' siyo uzushi na wala siiangalii kiitikadi ya dini bali utashi wa rais mwenyewe na 'legacy' anayotaka aijenga!
Niliposema ... hata akiwateua wote wanaovaa hijabu na vibaragashia...pia and sikuwa naonyesha kushabikia udini badala yake nilikuwa namuunga mkono rais ktk teuzi zake anazopigiwa kelele na watu waathirika wa udini kama ww, kuwa kwangu sintashabikia dini ya mteule bali tija ktk utendaji wake kwa tz na watz period! Ww ambaye umerudi kuhesabu wateule wa JPM kwa dini zao ni wazi u muathirika sana na udini! Kwa ww mie ngoja nikutoe hofu, hata kama mama atateua wavaa hijabu na kanzu tupu, hiyo kwangu siyo tatizo...kama watatimiza majukumu yao kwa weledi...shida yangu itakuwa pale wasipo deliver! Hivyo kwa kuwa uliumizwa sana na teuzi alizofanya JPM basi uwe na amani na teuzi hizi za mama basi!
Teuzi za JPM zilikuwa za kazi zaidi bila kujali dini ya mtu...na hata ilipotokea mteule wake kubolonga alimtumbua kwa kile wengine waliona ni kudharirisha...tena bila kujali dini yake au kabila! Yy JPM aliangalia tija zaidi!
Ni ujuha kufikiria kuwa amani ya nchi hii imeshikiwa na uvumilivu wa waislamu tu...ofcouse kama ww mwenyewe ni mdini huwezi elewa!
Kuwa rais muislam tz siyo shida na wala haijawahi kuwa shida...shida umakini wa maamuzi yanayochukuliwa na rais husika!
Akibolonga rais ni yy kabolonga siyo dini yake iliyobolonga na akifanya vizuri pia ni yy siyo dini yake!
Ukitaka kuelewa elewa ukitaka kubisha ww bisha kivyako!
Niishie hapo🙏!
 
Ni wapumbavu wachache wanaoleta chokochoko.

Kwao wakiteuliwa wakristo hata mia na muislamu mmoja kwao huo sio udini.

Wakiteiliwa wakristo watano na waislamu watano huo ni udini.

Au wakiteuliwa wakristo wawili na waislamu watano hapo ndo nyimbo zote za udini zitaimbwa.

Tunawaangalia tu na unafki wao.
Umejibu kwa chuki kuuubwa.......pole
 
nikutakie jioni njema kiongozi na kila la heri kwenye harakati zako!!
 
Watu wenye akili ndogo ndo wanaangaliaga hivi vitu....mama piga kazi mradi tu wateule wasikuangushe kwa kuleta ubaguzi kama enzi za msoga
 
Hakuna anayepinga hayo! Ila tusijikite ktk uwiano tu bila kujali uwajibikaji! Mtu apimwe kwa weledi siyo dini yake!
weledi, uadilifu ni vitu vya muhimu sambamba na uwiano wa dini zote.
sio kweli kwamba kundi moja tu la dini fulani ndio wana sifa ya weledi na uadilifu halafu wengine wengi hawana hizo sifa!!! tuwe realistic kama kweli tuna nia ya kujenga umoja na mshikamano wa taifa letu!!
kinacho takiwa ni tuijenge nchi yetu ktk misingi ya kizalendo, imara na ya kweli kwa kushirikisha watanzania wote wenye sifa lkn pia kwa kuzingatia uwiano.
tunataka nchi yetu iwe imara hata kama sisi sote wakati huo tutakuwa tumekufa lkn kizazi chetu kitakuta misingi imara sio misingi yenye mashaka na yenye kuzua manung'uniko.
 
Huwezi kuona sawia unapokuwa umegubikwa na blanketi la udini unapotaka kujadiri mada hii! Inaonekana kuwa unayo makovu na madonda mengi yanayohusiana na imani yako na kwa mtazamo wako huo umenitafsiri kuwa mimi pia ni mdini...sawa siwezi kukulazimisha kuamini vinginevyo na wala siyo lengo langu kukushawishi kubadili mtazamo wako! Nilipokuwa natoa highlight ya marais ja awamu zao na jinsi taifa letu lilivyoathiriwa na maamuzi yao sikuwaza kidini bali ki uhalisia wa kwa uelewa na mtazamo wangu! Kwangu mimi naona tz iliachwa hoi bin taabani n awamu ya nne ya JK na awamu ya tano ikaja kurekebisha na kuipaisha tz kiuchumi...kwangu hii ni 'fact' siyo uzushi na wala siiangalii kiitikadi ya dini bali utashi wa rais mwenyewe na 'legacy' anayotaka aijenga!
Niliposema ... hata akiwateua wote wanaovaa hijabu na vibaragashia...pia and sikuwa naonyesha kushabikia udini badala yake nilikuwa namuunga mkono rais ktk teuzi zake anazopigiwa kelele na watu waathirika wa udini kama ww, kuwa kwangu sintashabikia dini ya mteule bali tija ktk utendaji wake kwa tz na watz period! Ww ambaye umerudi kuhesabu wateule wa JPM kwa dini zao ni wazi u muathirika sana na udini! Kwa ww mie ngoja nikutoe hofu, hata kama mama atateua wavaa hijabu na kanzu tupu, hiyo kwangu siyo tatizo...kama watatimiza majukumu yao kwa weledi...shida yangu itakuwa pale wasipo deliver! Hivyo kwa kuwa uliumizwa sana na teuzi alizofanya JPM basi uwe na amani na teuzi hizi za mama basi!
Teuzi za JPM zilikuwa za kazi zaidi bila kujali dini ya mtu...na hata ilipotokea mteule wake kubolonga alimtumbua kwa kile wengine waliona ni kudharirisha...tena bila kujali dini yake au kabila! Yy JPM aliangalia tija zaidi!
Ni ujuha kufikiria kuwa amani ya nchi hii imeshikiwa na uvumilivu wa waislamu tu...ofcouse kama ww mwenyewe ni mdini huwezi elewa!
Kuwa rais muislam tz siyo shida na wala haijawahi kuwa shida...shida umakini wa maamuzi yanayochukuliwa na rais husika!
Akibolonga rais ni yy kabolonga siyo dini yake iliyobolonga na akifanya vizuri pia ni yy siyo dini yake!
Ukitaka kuelewa elewa ukitaka kubisha ww bisha kivyako!
Niishie hapo[emoji120]!
umenena vyema mkuu,hatuangalii dini ya mtu Wala kabila,kwa sababu hatuendi kuhiji au kutambika.tunachoangalia tija kwa maamuzi yeyote yanayofanywa na rais,kwani rais akikosea akatoka nje ya mstari,hasara yake haielezeki,na gharama ya kurekebisha na kuliweka taifa kwenye mstari ni kubwa Sana,inamaumivu na majonzi makubwa pale ,mtu anapojitoa kwa ajili ya hayo.makosa ya kj hasara yake aote tuliiona ,gharama ya kuyarekebisha sote tumeiona pia.
 
Hivi mtu wa dini yako akipata uteuzi alafu humjui anakusaidia nini? Kuna akili zingine ni shida sana aisee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom