Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 6,350
- 11,727
Una upungufu mkubwa maskini wa Mungu poleeeKuna chuki kubwa kuzidi ya nyie makafiri mnavyowachukia waislamu?
Una upungufu mkubwa maskini wa Mungu poleeeKuna chuki kubwa kuzidi ya nyie makafiri mnavyowachukia waislamu?
Najiuliza ata ivo mtu wa dini flani akiteuliwa anatumikia dini ama wananchi???Hivi mtu wa dini yako akipata uteuzi alafu humjui anakusaidia nini? Kuna akili zingine ni shida sana aisee
Pole zako si chochote wala lolote kwangu.Una upungufu mkubwa maskini wa Mungu poleee
Hapo sasa💪! Utamkuta mtu anang'ang'ana mpaka mishipa ya uso inamsimama kisa hakuteuliwa wa dini yake ebo 😡! Kwani anakwenda kuswalisha au kuwapa sacrament!?Hivi mtu wa dini yako akipata uteuzi alafu humjui anakusaidia nini? Kuna akili zingine ni shida sana aisee
Upo sahihi kabisa na ni bahati mbaya kuna watu wanafikra za ajabu sana i see!umenena vyema mkuu,hatuangalii dini ya mtu Wala kabila,kwa sababu hatuendi kuhiji au kutambika.tunachoangalia tija kwa maamuzi yeyote yanayofanywa na rais,kwani rais akikosea akatoka nje ya mstari,hasara yake haielezeki,na gharama ya kurekebisha na kuliweka taifa kwenye mstari ni kubwa Sana,inamaumivu na majonzi makubwa pale ,mtu anapojitoa kwa ajili ya hayo.makosa ya kj hasara yake aote tuliiona ,gharama ya kuyarekebisha sote tumeiona pia.
Ni vikoba vya watu dhaifu wanaojikusanya kuona kama wanaweza kupata nguvu ya kufanya jambo.Dini/Kabila Karne Ya 21 Zina Msaada Gani?
Hakuna anayepinga hayo! Ila tusijikite ktk uwiano tu bila kujali uwajibikaji! Mtu apimwe kwa weledi siyo dini yake!
Kwani mstaafu siyo raia wa tz! Kama ana tija apewe tu!Hadi waliokwishastaafu huko wanapewa shavu kubalansi udini...mtu ameshakuwa waziri huko sijui balozi anarudi kupewa uRAS, ina maana utumishi wa umma umeishiwa watu hadi wastaafu na makada wa chama wanalamba teuzi za uRAS, haya mambo ya kujuana hayawezi kutupeleka popote...
Kumekuwa na manung'uniko kila mara rais Samia anapofanya teuzi kuwa zina muelekeo wa kuingia kuswali au kusali! Niwaombe watz, tutulize munkari! Teuzi za Ally H. Mwinyi zilileta matokeo kwa kiasi kile cha serikali ya awamu ya pili! Uteuzi wa Mkapa ulitufikidha pale alipoishia! Uteuzi wa JK nao uliturudisha nyuma kiasi kile alichotuacha!
Teuzi zilizofanywa na JPM zilitupaisha na kuufikia uchumi wa kati mapema kabla ya muda uliotarajiwa tena ndani ya 👊 tu, na kumtambulisha kama rais pekee aliyenuia na kuhakikisha anaipaisha Tanzania kwa kujitawala kiuchumi. Huyo mwamba JPM aliangalia uchapakazi/umahiri wa mtu siyo kabila wala dini! Na alikuwa na machinery ya kuwatambua watu walio na weledi na siyo kuangalia imani zao!
Nachotaka kusema ni kwamba...hata kama mama yetu huyu Rais Samia atawateua na kutengeneza safu yake yote iliyovaa hijabu na vibaragashia sio hoja, hoja ni umahiri wao wa kuwatumikia Watanzania bila ubaguzi kutatua changamoto za watz na kuipaisha Tz kuingia uchumi wa kati wa kati kutoka huu wa kati wa chini ambao mwamba JPM ametuachia tena ndani ya 👊 tu.
Nawaombeni sana Watanzania, tusiwe wepesi kuuliza imani za wateule wa rais tusije tukaanza kuweka nyufa kwenye msingi wa nchi yetu nyufa ambazo zitatusababishia tujikute tupo nje ya nyumba yetu Tanzania iliyobomoka na kuanguka.
Narudia tena, tusikimbilie kujua wameteuliwa wangapi waislamu au wakristo, bali tufuatilie utendaji wao na kama watapwaya, hapo ndio tuwapopoe madongo yote tutakayoweza kuyashika na kuyarusha bila kuhisianisha na imani zao tafadhari sana.
Haya mambo ya teuzi yanachangamoto sana...ngoja niishie hapo.
Tija gani? watu wanafanya reasoning mzee huwezi kuwashawishi kwa vijisababu vya kirejareja...Kwani mstaafu siyo raia wa tz! Kama ana tija apewe tu!
Kumekuwa na manung'uniko kila mara rais Samia anapofanya teuzi kuwa zina muelekeo wa kuingia kuswali au kusali! Niwaombe watz, tutulize munkari! Teuzi za Ally H. Mwinyi zilileta matokeo kwa kiasi kile cha serikali ya awamu ya pili! Uteuzi wa Mkapa ulitufikidha pale alipoishia! Uteuzi wa JK nao uliturudisha nyuma kiasi kile alichotuacha!
Teuzi zilizofanywa na JPM zilitupaisha na kuufikia uchumi wa kati mapema kabla ya muda uliotarajiwa tena ndani ya [emoji109] tu, na kumtambulisha kama rais pekee aliyenuia na kuhakikisha anaipaisha Tanzania kwa kujitawala kiuchumi. Huyo mwamba JPM aliangalia uchapakazi/umahiri wa mtu siyo kabila wala dini! Na alikuwa na machinery ya kuwatambua watu walio na weledi na siyo kuangalia imani zao!
Nachotaka kusema ni kwamba...hata kama mama yetu huyu Rais Samia atawateua na kutengeneza safu yake yote iliyovaa hijabu na vibaragashia sio hoja, hoja ni umahiri wao wa kuwatumikia Watanzania bila ubaguzi kutatua changamoto za watz na kuipaisha Tz kuingia uchumi wa kati wa kati kutoka huu wa kati wa chini ambao mwamba JPM ametuachia tena ndani ya [emoji109] tu.
Nawaombeni sana Watanzania, tusiwe wepesi kuuliza imani za wateule wa rais tusije tukaanza kuweka nyufa kwenye msingi wa nchi yetu nyufa ambazo zitatusababishia tujikute tupo nje ya nyumba yetu Tanzania iliyobomoka na kuanguka.
Narudia tena, tusikimbilie kujua wameteuliwa wangapi waislamu au wakristo, bali tufuatilie utendaji wao na kama watapwaya, hapo ndio tuwapopoe madongo yote tutakayoweza kuyashika na kuyarusha bila kuhisianisha na imani zao tafadhari sana.
Haya mambo ya teuzi yanachangamoto sana...ngoja niishie hapo.
Kuimarisha umoja na mshikamano wa taifa.Dini/Kabila Karne Ya 21 Zina Msaada Gani?
Wewe ni mdini, huna lolote.Huwezi kuona sawia unapokuwa umegubikwa na blanketi la udini unapotaka kujadiri mada hii! Inaonekana kuwa unayo makovu na madonda mengi yanayohusiana na imani yako na kwa mtazamo wako huo umenitafsiri kuwa mimi pia ni mdini...sawa siwezi kukulazimisha kuamini vinginevyo na wala siyo lengo langu kukushawishi kubadili mtazamo wako! Nilipokuwa natoa highlight ya marais ja awamu zao na jinsi taifa letu lilivyoathiriwa na maamuzi yao sikuwaza kidini bali ki uhalisia wa kwa uelewa na mtazamo wangu! Kwangu mimi naona tz iliachwa hoi bin taabani n awamu ya nne ya JK na awamu ya tano ikaja kurekebisha na kuipaisha tz kiuchumi...kwangu hii ni 'fact' siyo uzushi na wala siiangalii kiitikadi ya dini bali utashi wa rais mwenyewe na 'legacy' anayotaka aijenga!
Niliposema ... hata akiwateua wote wanaovaa hijabu na vibaragashia...pia and sikuwa naonyesha kushabikia udini badala yake nilikuwa namuunga mkono rais ktk teuzi zake anazopigiwa kelele na watu waathirika wa udini kama ww, kuwa kwangu sintashabikia dini ya mteule bali tija ktk utendaji wake kwa tz na watz period! Ww ambaye umerudi kuhesabu wateule wa JPM kwa dini zao ni wazi u muathirika sana na udini! Kwa ww mie ngoja nikutoe hofu, hata kama mama atateua wavaa hijabu na kanzu tupu, hiyo kwangu siyo tatizo...kama watatimiza majukumu yao kwa weledi...shida yangu itakuwa pale wasipo deliver! Hivyo kwa kuwa uliumizwa sana na teuzi alizofanya JPM basi uwe na amani na teuzi hizi za mama basi!
Teuzi za JPM zilikuwa za kazi zaidi bila kujali dini ya mtu...na hata ilipotokea mteule wake kubolonga alimtumbua kwa kile wengine waliona ni kudharirisha...tena bila kujali dini yake au kabila! Yy JPM aliangalia tija zaidi!
Ni ujuha kufikiria kuwa amani ya nchi hii imeshikiwa na uvumilivu wa waislamu tu...ofcouse kama ww mwenyewe ni mdini huwezi elewa!
Kuwa rais muislam tz siyo shida na wala haijawahi kuwa shida...shida umakini wa maamuzi yanayochukuliwa na rais husika!
Akibolonga rais ni yy kabolonga siyo dini yake iliyobolonga na akifanya vizuri pia ni yy siyo dini yake!
Ukitaka kuelewa elewa ukitaka kubisha ww bisha kivyako!
Niishie hapo[emoji120]!
Kimsingi ukiliangalia kwa haraka haraka halina tija. Tumuache Mama apige kazi. Wanaoleta agenda za udini ni wale waliokosa uteuzi.Hivi mtu wa dini yako akipata uteuzi alafu humjui anakusaidia nini? Kuna akili zingine ni shida sana aisee
Ukitazama mambo kwa miwani ya udini utapotea. Uteuzi ni process sio tukio.Hadi waliokwishastaafu huko wanapewa shavu kubalansi udini...mtu ameshakuwa waziri huko sijui balozi anarudi kupewa uRAS, ina maana utumishi wa umma umeishiwa watu hadi wastaafu na makada wa chama wanalamba teuzi za uRAS, haya mambo ya kujuana hayawezi kutupeleka popote...
Kuna dini huwa inaona dini nyingine haifai kuongoza, wanajiona wao ndio viongozi na wenye uwezo wa elimu kuliko wengineNi wapumbavu wachache wanaoleta chokochoko.
Kwao wakiteuliwa wakristo hata mia na muislamu mmoja kwao huo sio udini.
Wakiteiliwa wakristo watano na waislamu watano huo ni udini.
Au wakiteuliwa wakristo wawili na waislamu watano hapo ndo nyimbo zote za udini zitaimbwa.
Tunawaangalia tu na unafki wao.