Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,919
- 2,843
- Thread starter
- #41
Dini ipi hiyo, na ilitamka na kuona lini hayo! Ni mawazo tu dini haina mdomo wala macho bali sisi binadamu!Kuna dini huwa inaona dini nyingine haifai kuongoza, wanajiona wao ndio viongozi na wenye uwezo wa elimu kuliko wengine
Kuna watu wakikasimiwa uongozi na wakalikoroga na kushindwa ku'perform' wanasingizia dini, wamefilisika hao!