Chonde chonde Watanzania tuwaangalie wateule wa Rais kwa weledi wao

Status
Not open for further replies.
Hivi mtu wa dini yako akipata uteuzi alafu humjui anakusaidia nini? Kuna akili zingine ni shida sana aisee
Najiuliza ata ivo mtu wa dini flani akiteuliwa anatumikia dini ama wananchi???
 
Una upungufu mkubwa maskini wa Mungu poleee
Pole zako si chochote wala lolote kwangu.

Ukweli lazima muambiwe.

Nyie makafiri ni wanafki.

Hata wewe unajijua kama ni mnafki.
 
Hivi mtu wa dini yako akipata uteuzi alafu humjui anakusaidia nini? Kuna akili zingine ni shida sana aisee
Hapo sasa💪! Utamkuta mtu anang'ang'ana mpaka mishipa ya uso inamsimama kisa hakuteuliwa wa dini yake ebo 😡! Kwani anakwenda kuswalisha au kuwapa sacrament!?
Mtu upambane kama hawakidhi matarajio ya kuwa kiongozi mwenye tija kwa watz na tz!
 
Najiuliza ata ivo mtu wa dini flani akiteuliwa anatumikia dini ama wananchi???
Swali la msingi sana hilo! Tuhukumu kwa utendaji siyo kwa dini wala kabila!
 
Upo sahihi kabisa na ni bahati mbaya kuna watu wanafikra za ajabu sana i see!
 
Dini zote kubwa hapa nchini zina watu wa kutosha na kubaki wenye vigezo vya kutosha kushika nafasi zote za uongozi wowote ule.
Hakuna anayepinga hayo! Ila tusijikite ktk uwiano tu bila kujali uwajibikaji! Mtu apimwe kwa weledi siyo dini yake!
 
Hadi waliokwishastaafu huko wanapewa shavu kubalansi udini...mtu ameshakuwa waziri huko sijui balozi anarudi kupewa uRAS, ina maana utumishi wa umma umeishiwa watu hadi wastaafu na makada wa chama wanalamba teuzi za uRAS, haya mambo ya kujuana hayawezi kutupeleka popote...
 
Kwani mstaafu siyo raia wa tz! Kama ana tija apewe tu!
 



Hili mradi ni watanzania inatosha. Who cares about religion.
 
Nsenge ww udini up ww sukuma gang!?$
 
Nimekusamehe bure🙏!
 
Wewe ni mdini, huna lolote.
 
Hivi mtu wa dini yako akipata uteuzi alafu humjui anakusaidia nini? Kuna akili zingine ni shida sana aisee
Kimsingi ukiliangalia kwa haraka haraka halina tija. Tumuache Mama apige kazi. Wanaoleta agenda za udini ni wale waliokosa uteuzi.
 
Ukitazama mambo kwa miwani ya udini utapotea. Uteuzi ni process sio tukio.
 
Kuna dini huwa inaona dini nyingine haifai kuongoza, wanajiona wao ndio viongozi na wenye uwezo wa elimu kuliko wengine
 
Kimsingi ukiliangalia kwa haraka haraka halina tija. Tumuache Mama apige kazi. Wanaoleta agenda za udini ni wale waliokosa uteuzi.
Huo ni mtazamo finyu na duni sana! Hivi hakuna maisha nje ya uteuzi😡!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…