Hero JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 3,919 Reaction score 2,843 May 31, 2021 Thread starter #41 Mpandisha mishahara said: Kuna dini huwa inaona dini nyingine haifai kuongoza, wanajiona wao ndio viongozi na wenye uwezo wa elimu kuliko wengine Click to expand... Dini ipi hiyo, na ilitamka na kuona lini hayo! Ni mawazo tu dini haina mdomo wala macho bali sisi binadamu! Kuna watu wakikasimiwa uongozi na wakalikoroga na kushindwa ku'perform' wanasingizia dini, wamefilisika hao!
Mpandisha mishahara said: Kuna dini huwa inaona dini nyingine haifai kuongoza, wanajiona wao ndio viongozi na wenye uwezo wa elimu kuliko wengine Click to expand... Dini ipi hiyo, na ilitamka na kuona lini hayo! Ni mawazo tu dini haina mdomo wala macho bali sisi binadamu! Kuna watu wakikasimiwa uongozi na wakalikoroga na kushindwa ku'perform' wanasingizia dini, wamefilisika hao!
Hero JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 3,919 Reaction score 2,843 May 31, 2021 Thread starter #42 twahil said: Wewe ni mdini, huna lolote. Click to expand... Ah we nayeeeee oovyo kabisa! Mfyuuuuuu 😡!
twahil said: Wewe ni mdini, huna lolote. Click to expand... Ah we nayeeeee oovyo kabisa! Mfyuuuuuu 😡!
AbouZakariya JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 1,646 Reaction score 2,403 May 31, 2021 #43 Kwa hakika mama ataongoza kwa dhiki sana. Allah mtukufu nakuomba kwa rahma zako muongoze katika busara na hikma yako katika kutoa maamuzi yake.
Kwa hakika mama ataongoza kwa dhiki sana. Allah mtukufu nakuomba kwa rahma zako muongoze katika busara na hikma yako katika kutoa maamuzi yake.