Chondechonde Maalim Seif Sharif Hamad

Chondechonde Maalim Seif Sharif Hamad

Yakhe uachaguzi sio vita atiii. Tujenge Nchi yetu maisha yaendelee. Usikae na kinyongo haya mambo yashaisha, inaelekea wewe hujui siasa ndio maana wapata shida shida sana. Eti nawewe una mshauri Maalim, hivi kati yako na yeye nani anajua vema siasa?. Kauze urojo na juice ya Miwa ulipe ada za wanao ulamaa
 
Exactly , Maalim Seif asikubali kabisa kushiriki serikali ya wamwaga damu .Yaani mimi sikujua kabisa kama CCM na viongozi wake wanashida na uongozi wa nchi sana kiasi cha kumwaga damu za maelfu ya watu ili tu wabaki madarakani .
Damu za maelfu zilimwagika wapi? Acha kuandika vitu ambavyo huna ushahidi navyo.
 
Tunasikia CCM wanakutongoza ili uingingie katika maridhiano na CCM ,jambo hilo usjije ukalikubali hata sekunde ya sekunde,achana nalo mara moja,wamechukua serikali kwa nguvu,wameteka uchaguzi,wamepanga matokeo,wameyatangaza waliyoyapanga,leo maridhiano ya nini,kubwa lipi lililowafanya watake maridhiano,ndugu wasomaji CCM wamsehinda uchaguzi wa Zanzibar kwa kishindo ,sasa haya anayoyadai CCM yanatokea wapi sababu yake nini ?

Maalim Seif kaa chonjo na mtego huu hawa wanataka kukugombanisha na umma uonekane wewe ulitakalo ni madaraka na ccm wanataka wakupe pipi ya umakamo kaambali na pipi hio hizo ni zile pipi za wataliana zilizozikigaiwa Nungwi,madhara yake sio leo leo.

Yaliyotokea Zanzibar hakuna asie yajua kuhusu yaliyofanywa hata CCM kuibuka na ushindi mnono Maalim kaa mbali na ushindi wao ukitia mguu sijui maridhiano maridhiano ulikuwa ufanyike uchaguzi huru ,wameuharibu ili watafute maridhiano ya kuhalalisha haramu atakaewakubalia yupamoja nao. Kuna clip zinaenezwa zikimsafisha mshindi wa uchaguzi haramu huo kama tuuonavyo sisi na eti yale yaliofanywa kuupata ushindi yeye hahusiki na hakupendezewa nayo na atawawajibisha waliohusika na mauaji na utesaji,tunkwambia Maalim hilo ni lake akilifanya tutaliona na tutampongeza na asipolifanya bado litabakia kuwa ni lake.

Watu kwa mamia wameuliwa Zanzibar (Unguja na Pemba) leo hii eti maalim njoo tuzungumze yaishe.
(Mods huu uzi ni tangazo rasmi pls do not delete.)
Naunga mkono hoja. Hatutaki ulaghai. Ajue watu wamekufa wakipigania yeye ashinde kihalali. Leo kaibiwa mchana kuzimu hakuna nyota. Asikubali. Umma uko pamoja naye.
 
azanzibari wameuliwa, wamejeruhiwa wamenyanyaswa na kupotezwa who cares? Mara ngapi yamefanyika mini kimepatikana
Haya ndio yanayojenga hoja ya Maalim akatae. Hivi akakae na wauaji wa watu wake kwa jina la kutaka uraisi na kejeli pamoja na jeuri kwamba serikali hatapewa Hizbu? Iwe kashiriki au vingonevyo, kuungana nao ni kuhalalisha mauaji.
Naunga mkono hoja ya Maalim Kutoshirikiana nao.
 
Kwa hiyo what next?

Pitia tena comment yangu.

Hasira bila mipango haziseidii.

Mbinu zote zimeshafanyika long time. Hazijasaidia
 
Sina njia mbadala zaidi ya kusisitiza Maalim asikae na wauaji wa kisiasa kwani ni aibu na fedheha kwa waungwana.
Maalim asikae na uongozi huu labda kwa majadiliano akiwa nje ya mfumo. Elewa: Kwa msimamo wa CCM haitatokea siku wakaacha udikteta wao kwani kwao kutawala ni by hook or crook.
 
walisema mungu apende asipende kwao ushindi ni lazima So ni vyema kuwaacha na ushindi wao mana hatujui kama mungu kapenda ama hakupenda bora wabakie wao tuu
 
Tunasikia CCM wanakutongoza ili uingingie katika maridhiano na CCM ,jambo hilo usjije ukalikubali hata sekunde ya sekunde,achana nalo mara moja,wamechukua serikali kwa nguvu,wameteka uchaguzi,wamepanga matokeo,wameyatangaza waliyoyapanga,leo maridhiano ya nini,kubwa lipi lililowafanya watake maridhiano,ndugu wasomaji CCM wamsehinda uchaguzi wa Zanzibar kwa kishindo ,sasa haya anayoyadai CCM yanatokea wapi sababu yake nini ?

Maalim Seif kaa chonjo na mtego huu hawa wanataka kukugombanisha na umma uonekane wewe ulitakalo ni madaraka na ccm wanataka wakupe pipi ya umakamo kaambali na pipi hio hizo ni zile pipi za wataliana zilizozikigaiwa Nungwi,madhara yake sio leo leo.

Yaliyotokea Zanzibar hakuna asie yajua kuhusu yaliyofanywa hata CCM kuibuka na ushindi mnono Maalim kaa mbali na ushindi wao ukitia mguu sijui maridhiano maridhiano ulikuwa ufanyike uchaguzi huru ,wameuharibu ili watafute maridhiano ya kuhalalisha haramu atakaewakubalia yupamoja nao. Kuna clip zinaenezwa zikimsafisha mshindi wa uchaguzi haramu huo kama tuuonavyo sisi na eti yale yaliofanywa kuupata ushindi yeye hahusiki na hakupendezewa nayo na atawawajibisha waliohusika na mauaji na utesaji,tunkwambia Maalim hilo ni lake akilifanya tutaliona na tutampongeza na asipolifanya bado litabakia kuwa ni lake.

Watu kwa mamia wameuliwa Zanzibar (Unguja na Pemba) leo hii eti maalim njoo tuzungumze yaishe.
(Mods huu uzi ni tangazo rasmi pls do not delete.)
Unasema hili ni Tangazo Rasmi kwani umelilipia? Kwani unafikiri ukijitoa kwenye serikali ya umoja wa kitaifa ya Zanzibar mambo hayataenda? Mbona mwaka 2015 mlijitoa na mambo yalienda kama kawaida. Akili za kuambiwa changanya na zako mkuu!!
 
Viana wa vyimbo vya dola kutoka Tanganyika waliokwenda huko kushiriki uharamia dhidi ya watu wa zanzibar wanasema wazi jinsi walivyokuwa wakidumbukiza kura mara nyingi nyingi kwa maslahi ya CCM, nao nafsi zinawasuta, hawana amani kabisa. Wana msongo wa mawazo, Halafu eti leo Maalim akae na maharamia!. Hiyo siyo busara.

Huku bara, mapolisi na vibegi vyao vidogodogo mgongoni walionekana wakiingia vituoni.

Huu uchaguzi siyo uchaguzi ni kama mapinduzi ya kijeshi dhidi ya wananchi!
Mmeshapigwa mechi imeshaisha hiyo sasa tunaendelea kupiga kazi tu!
 
U
Unamshauri mtu ambae hana zaidi ya miaka mitano inatakiwa awe amakufa kupisha wengine wazaliwe?
Yaani akikataa hii mitano hana kitu kingine anaweza kuifanyia zanziba kwa umri wake.
Mdanganye afe bila sifa yoyote.
Je umepata kazi kwenye entry za kuzimu,unaweza ukafa wewe yeye akendelea kudunda mbona wapo wengi tu .tulia.
 
Nakubaliana na wewe mkuu.
Tunasikia CCM wanakutongoza ili uingingie katika maridhiano na CCM ,jambo hilo usjije ukalikubali hata sekunde ya sekunde,achana nalo mara moja,wamechukua serikali kwa nguvu,wameteka uchaguzi,wamepanga matokeo,wameyatangaza waliyoyapanga,leo maridhiano ya nini,kubwa lipi lililowafanya watake maridhiano,ndugu wasomaji CCM wamsehinda uchaguzi wa Zanzibar kwa kishindo ,sasa haya anayoyadai CCM yanatokea wapi sababu yake nini ?

Maalim Seif kaa chonjo na mtego huu hawa wanataka kukugombanisha na umma uonekane wewe ulitakalo ni madaraka na ccm wanataka wakupe pipi ya umakamo kaambali na pipi hio hizo ni zile pipi za wataliana zilizozikigaiwa Nungwi,madhara yake sio leo leo.

Yaliyotokea Zanzibar hakuna asie yajua kuhusu yaliyofanywa hata CCM kuibuka na ushindi mnono Maalim kaa mbali na ushindi wao ukitia mguu sijui maridhiano maridhiano ulikuwa ufanyike uchaguzi huru ,wameuharibu ili watafute maridhiano ya kuhalalisha haramu atakaewakubalia yupamoja nao. Kuna clip zinaenezwa zikimsafisha mshindi wa uchaguzi haramu huo kama tuuonavyo sisi na eti yale yaliofanywa kuupata ushindi yeye hahusiki na hakupendezewa nayo na atawawajibisha waliohusika na mauaji na utesaji,tunkwambia Maalim hilo ni lake akilifanya tutaliona na tutampongeza na asipolifanya bado litabakia kuwa ni lake.

Watu kwa mamia wameuliwa Zanzibar (Unguja na Pemba) leo hii eti maalim njoo tuzungumze yaishe.
(Mods huu uzi ni tangazo rasmi pls do not delete.)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo mnapiga kelele umu ndan kwa nguvu kubwa wakat mnapo itajika kujitoa nguvu zenu Hua hamuonekan

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Sina njia mbadala zaidi ya kusisitiza Maalim asikae na wauaji wa kisiasa kwani ni aibu na fedheha kwa waungwana.
Maalim asikae na uongozi huu labda kwa majadiliano akiwa nje ya mfumo. Elewa: Kwa msimamo wa CCM haitatokea siku wakaacha udikteta wao kwani kwao kutawala ni by hook or crook.
Baada ya kususia nini kifuate. Kama kuna guarantee ya haki kutendeka sawa. Nahofia kama ya 2015.

Katika mazingira hayo ndio nikasema bora waingie tu.

Unafiki was CCM unaendelea tu. Roho za wazanzibari zinazidi kupotea.

Tutulie kufanya tathmini. Jazba haina maana.

Mimi naamini katika kupunguza madhara na kuyafanya mapambano yadumu.

Sasa hivi kuna dhoruba LA kisiasa, linahitaji majemedari hodari kuusoma mchezo.

Narudia tena jazba haifai lazima uwe na focus. Kususia kutapoteza hata network ya ndani.

Walau kushiriki kutapunguza madhara ambayo naamini CCM wameshayapanga.

Hiyo GNU yenyewe inaenda kufutwa.

Itoshe tu. Maalim na ACT wawatafute wazee na kamati zao wajadili kwa kina na kupanga mikakati ya kuishi na adui na isiinekane usaliti.

Zanzibar iko pabaya sana. Nahodha hodari anahitajika sio jazba.
 
Back
Top Bottom