IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
Kama walishindwa kuijenga kwa zaidi ya miaka 50 ndiyo wataweza leo baada ya kumwaga damu za wenzao??Akikataa then inakuwaje?
Unaongea mtu ambae silaha yake ni kijiko na uma tu?
Waijenge nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama walishindwa kuijenga kwa zaidi ya miaka 50 ndiyo wataweza leo baada ya kumwaga damu za wenzao??Akikataa then inakuwaje?
Unaongea mtu ambae silaha yake ni kijiko na uma tu?
Waijenge nchi
Atakubali tu,kwani kunajipya gani ata asipokubali,aliwai kususa kwani kilipungua nini?ataweka masharti yake na yatafanyiwa kazi kisha atakuwa makamu wa kwanza na nchi itasonga.Safari hii sidhani kama maalim atakubali
Mungu alivyo fundi unaweza kufa wewe na yeye ukamuacha. Angalia kwa Mzee mamvi Lowasa si mlisema hata mwaka hamalizi? Haya wamekufa wangapi since 2015 mpaka leo mamvi anajikongoja.Unamshauri mtu ambae hana zaidi ya miaka mitano inatakiwa awe amakufa kupisha wengine wazaliwe?
Yaani akikataa hii mitano hana kitu kingine anaweza kuifanyia Zanzibar kwa umri wake.
Mdanganye afe bila sifa yoyote.
Mbona huko upande wa pili mnahangaika sana kupata kambi rasmi bungeni??Agenda tuliokuwa nayo kwa sasa ni kufuta Umoja wa kitaifa
Tukiingia Baraza la wawakilishi tuna zaidi ya theluthi mbili
Inaekwa mezani kura za Ndio nyingi tumeifuta
Hatutaki tuchanganye mchele na Pumba
Umeelewaaaa
Na hakuna anaekufa kwa ajili ya wanasiasa,sema au jiulize wameuliwa kwa ajili .Umeandika point sana mkuu,ila kwamimi msimamo wangu ukopalepale.siwezi kufa kwaajili ya wanasiasa.
Katika siasa kuna principle zake ambazo ni vigumu kuzikwepa. Moja, hakuna adui au rafiki wa kudumu ndio maana unaona leo Zitto na Lissu wanashirikiana; ukikumbuka CHADEMA walivyomfanyia Zitto walimfukuza uanachama wakati bunge linakaribia kuvunjwa ili akose mafao yake, isingekuwa mahakama kutoa zuio Zitto angekosa kiinua mgongoTunasikia CCM wanakutongoza ili uingie katika maridhiano na CCM , jambo hilo usjije ukalikubali hata sekunde ya sekunde, achana nalo mara moja, wamechukua serikali kwa nguvu, wameteka uchaguzi, wamepanga matokeo, wameyatangaza waliyoyapanga, leo maridhiano ya nini, kubwa lipi lililowafanya watake maridhiano, ndugu wasomaji CCM wamsehinda uchaguzi wa Zanzibar kwa kishindo , sasa haya anayoyadai CCM yanatokea wapi sababu yake nini ?
Maalim Seif kaa chonjo na mtego huu hawa wanataka kukugombanisha na umma uonekane wewe ulitakalo ni madaraka na ccm wanataka wakupe pipi ya umakamo kaambali na pipi hio hizo ni zile pipi za wataliana zilizozikigaiwa Nungwi, madhara yake sio leo leo.
Yaliyotokea Zanzibar hakuna asie yajua kuhusu yaliyofanywa hata CCM kuibuka na ushindi mnono Maalim kaa mbali na ushindi wao ukitia mguu sijui maridhiano maridhiano ulikuwa ufanyike uchaguzi huru, wameuharibu ili watafute maridhiano ya kuhalalisha haramu atakaewakubalia yupamoja nao. Kuna clip zinaenezwa zikimsafisha mshindi wa uchaguzi haramu huo kama tuuonavyo sisi na eti yale yaliofanywa kuupata ushindi yeye hahusiki na hakupendezewa nayo na atawawajibisha waliohusika na mauaji na utesaji, tunkwambia Maalim hilo ni lake akilifanya tutaliona na tutampongeza na asipolifanya bado litabakia kuwa ni lake.
Watu kwa mamia wameuliwa Zanzibar (Unguja na Pemba) leo hii eti maalim njoo tuzungumze yaishe.
mi sijakuelewa hapa kwe reply yako mkuu.Na hakuna anaekufa kwa ajili ya wanasiasa,sema au jiulize wameuliwa kwa ajili .
Ndani ya Qurani ipo aya inauliza .......Wameuliwa kwa dhambi gani?
CCM au Mheshimiwa Raisi wa Zanzibar aijibu Qurani hapo na hata kadhi anaemsaka Maalim Seif amjibu ALLAH hapo waliouliwa wameuliwa kwa kosa gani ?.
Nchi kusonga sidhani, kanchi kadogo watu hawafiki hata 3M lakini kamedumaa hadi leo raia wanakula mapembe, asipokubali kuungana na madhalimu atajiongezea uaminifu kwa wanaomuamini,Atakubali tu,kwani kunajipya gani ata asipokubali,aliwai kususa kwani kilipungua nini?ataweka masharti yake na yatafanyiwa kazi kisha atakuwa makamu wa kwanza na nchi itasonga.
Atakubali tu,piga uwa atakubali.Maalim wa sasa ni tofauti na Maalim wa kipindi icho,uyu wasasa mwepesi sana.Nchi kusonga sidhani, kanchi kadogo watu hawafiki hata 3M lakini kamedumaa hadi leo raia wanakula mapembe, asipokubali kuungana na madhalimu atajiongezea uaminifu kwa wanaomuamini,
Muda ni hakimu mzuri sana, kumbuka ana masiku machache tu yasiyozidi wiki kutoa msimamoAtakubali tu,piga uwa atakubali.Maalim wa sasa ni tofauti na Maalim wa kipindi icho,uyu wasasa mwepesi sana.
Acha chuki zako za kijinga, Katiba ya Zbr inamtambua maalim Sef Kama makamo wa 1 wa rais wa ZbrTunasikia CCM wanakutongoza ili uingie katika maridhiano na CCM , jambo hilo usjije ukalikubali hata sekunde ya sekunde, achana nalo mara moja, wamechukua serikali kwa nguvu, wameteka uchaguzi, wamepanga matokeo, wameyatangaza waliyoyapanga, leo maridhiano ya nini, kubwa lipi lililowafanya watake maridhiano, ndugu wasomaji CCM wamsehinda uchaguzi wa Zanzibar kwa kishindo , sasa haya anayoyadai CCM yanatokea wapi sababu yake nini ?
Maalim Seif kaa chonjo na mtego huu hawa wanataka kukugombanisha na umma uonekane wewe ulitakalo ni madaraka na ccm wanataka wakupe pipi ya umakamo kaambali na pipi hio hizo ni zile pipi za wataliana zilizozikigaiwa Nungwi, madhara yake sio leo leo.
Yaliyotokea Zanzibar hakuna asie yajua kuhusu yaliyofanywa hata CCM kuibuka na ushindi mnono Maalim kaa mbali na ushindi wao ukitia mguu sijui maridhiano maridhiano ulikuwa ufanyike uchaguzi huru, wameuharibu ili watafute maridhiano ya kuhalalisha haramu atakaewakubalia yupamoja nao. Kuna clip zinaenezwa zikimsafisha mshindi wa uchaguzi haramu huo kama tuuonavyo sisi na eti yale yaliofanywa kuupata ushindi yeye hahusiki na hakupendezewa nayo na atawawajibisha waliohusika na mauaji na utesaji, tunkwambia Maalim hilo ni lake akilifanya tutaliona na tutampongeza na asipolifanya bado litabakia kuwa ni lake.
Watu kwa mamia wameuliwa Zanzibar (Unguja na Pemba) leo hii eti maalim njoo tuzungumze yaishe.
Aliojiwa na BBC akasema yeye kama yeye awezi toa msimamo mpaka chama kikae kuamua.Muda ni hakimu mzuri sana, kumbuka ana masiku machache tu yasiyozidi wiki kutoa msimamo
Very sadUnamshauri mtu ambae hana zaidi ya miaka mitano inatakiwa awe amakufa kupisha wengine wazaliwe?
Yaani akikataa hii mitano hana kitu kingine anaweza kuifanyia Zanzibar kwa umri wake.
Mdanganye afe bila sifa yoyote.
Tunasikia CCM wanakutongoza ili uingie katika maridhiano na CCM , jambo hilo usjije ukalikubali hata sekunde ya sekunde, achana nalo mara moja, wamechukua serikali kwa nguvu, wameteka uchaguzi, wamepanga matokeo, wameyatangaza waliyoyapanga, leo maridhiano ya nini, kubwa lipi lililowafanya watake maridhiano, ndugu wasomaji CCM wamsehinda uchaguzi wa Zanzibar kwa kishindo , sasa haya anayoyadai CCM yanatokea wapi sababu yake nini ?
Maalim Seif kaa chonjo na mtego huu hawa wanataka kukugombanisha na umma uonekane wewe ulitakalo ni madaraka na ccm wanataka wakupe pipi ya umakamo kaambali na pipi hio hizo ni zile pipi za wataliana zilizozikigaiwa Nungwi, madhara yake sio leo leo.
Yaliyotokea Zanzibar hakuna asie yajua kuhusu yaliyofanywa hata CCM kuibuka na ushindi mnono Maalim kaa mbali na ushindi wao ukitia mguu sijui maridhiano maridhiano ulikuwa ufanyike uchaguzi huru, wameuharibu ili watafute maridhiano ya kuhalalisha haramu atakaewakubalia yupamoja nao. Kuna clip zinaenezwa zikimsafisha mshindi wa uchaguzi haramu huo kama tuuonavyo sisi na eti yale yaliofanywa kuupata ushindi yeye hahusiki na hakupendezewa nayo na atawawajibisha waliohusika na mauaji na utesaji, tunkwambia Maalim hilo ni lake akilifanya tutaliona na tutampongeza na asipolifanya bado litabakia kuwa ni lake.
Watu kwa mamia wameuliwa Zanzibar (Unguja na Pemba) leo hii eti maalim njoo tuzungumze yaishe.
Unajua seif na zito maisha ya dhiki walishayapita wanachogombania ni kuwatoa wengine kwenye dhiki, sasa kama watakubali wakati wakiingia kwenye mashirikiano wanaenda kuwa bosheni tu watakuwa wamejishushia heshima sanaAliojiwa na BBC akasema yeye kama yeye awezi toa msimamo mpaka chama kikae kuamua.
ACT ni chama kichanga kinaitaji kujijenga na kupata nafasi,Zito kama kiongozi mkuu wa chama na kwajinsi ninavyomjua bwana Zito awezi kataa nafasi adhimu kama hii.
Mkuu KISHADA. Kwanza nielewe kwamba sipingi wawakilishi wAliotoka ACT kuishiriki BLW . Ninachokataa ni Maalim kukubali danganya ya umakamo wakati huu ambao wananchi wameuliwa kikatili, wamebakwa, wamelawitiwa na kudhalilishwa. Ikitokea Maalim kukubali hayo maanake anaungana na wauaji. wacha ajadiliane na, kama kuna haja ya kufanya hivyo a, kiwa nje ya mfumo. Binafsi siamini kwamba mazungumzo yatazaa matunda kwa utamaduni uliojengeka ndani ya CCM kuona ni chama hicho tu ndio chenye haki ya kuongoza hata kama ni kwa kumwaga damu za wananchi wasio na Hatia.Baada ya kususia nini kifuate. Kama kuna guarantee ya haki kutendeka sawa. Nahofia kama ya 2015.
Katika mazingira hayo ndio nikasema bora waingie tu.
Unafiki was CCM unaendelea tu. Roho za wazanzibari zinazidi kupotea.
Tutulie kufanya tathmini. Jazba haina maana.
Mimi naamini katika kupunguza madhara na kuyafanya mapambano yadumu.
Sasa hivi kuna dhoruba LA kisiasa, linahitaji majemedari hodari kuusoma mchezo.
Narudia tena jazba haifai lazima uwe na focus. Kususia kutapoteza hata network ya ndani.
Walau kushiriki kutapunguza madhara ambayo naamini CCM wameshayapanga.
Hiyo GNU yenyewe inaenda kufutwa.
Itoshe tu. Maalim na ACT wawatafute wazee na kamati zao wajadili kwa kina na kupanga mikakati ya kuishi na adui na isiinekane usaliti.
Zanzibar iko pabaya sana. Nahodha hodari anahitajika sio jazba.
Hatutaki ushauri wenu nyie maakhanithHata ikibidi wazungumze basi sio lazima maalim awe VP.
Act wazalendo watafute yule wanae muona kuwa anafaa kuwa mrithi wake.
Maalim yupo 77 sasa abaki kuwa mwenyekiti wa Act kukijenga chama zaidi.
VP waitoe hio nafasi kwa Dr Faki aliekua mgombea mweza wa Membe au Othman Masoud aliekua Mwanasheria mkuu Zanzibar. Maalim Atumie muda huu kukijenga Act na kuwajenga kisaikolojia wazanzibari wenye imani naye miongo ya 4 kuwa Struggle bila ya yeye inawezekana zaidi
Nchi haijengwi kwa ulaghai,watu wamekufa,wameuliwa,wamekuwa vilema, wengine hawajulukani wako wapi,wamepotea..Akikataa then inakuwaje?
Unaongea mtu ambae silaha yake ni kijiko na uma tu?
Waijenge nchi
wakiingia itakuwa nafasi nzuri ya kudai katiba mpya na tume huru ndani ya system kuliko kudai wakiwa nje ya system.Unajua seif na zito maisha ya dhiki walishayapita wanachogombania ni kuwatoa wengine kwenye dhiki, sasa kama watakubali wakati wakiingia kwenye mashirikiano wanaenda kuwa bosheni tu watakuwa wamejishushia heshima sana