Chondechonde Maalim Seif Sharif Hamad

Hii pointi nzuri; wengi wanakuja na wazo la kususa lakini hawana plan B ya nini kifanyike badala yake, hayo kwangu ni mawazo ya kitoto, ukiwasusia CCM bado maisha yataendelea tu, hawajali, na kama wakisusa kweli, bora na uchaguzi mkuu ujao wasishiriki kabisa, kwasababu wakishiriki matokeo yake watawasababishia wafuasi wao madhara kama haya yaliyowapata kwenye uchaguzi huu.

Bora waache kushiriki uchaguzi kabisa ili kulinda roho za wafuasi wao. Hili linatakiwa kufanyika hata huku Bara.
 
Yaani nimeamini CCM watu wa ajabu , kichaa walchonacho Ni kikubwa Sana yaani uue mselfu ya watu ili upate ushindi , uumize , uteke , ufunge , ubambikie kesi wapinzani wako ili washindwe uchaguzi ,halafu wewe huyohuyo baadaye uje uwalazishe kushiriki kwenye serikali ? Kama sio wehu nini? Kila siku huwa nawaambia Kuna mtu anaumwa bipolar disorder .
 
Umeona vyema.

Manahodha hodari hapa ndipo tutawajuwa.

Mazingira ya Zanzibar yanahitaji critical analysis juu ya uamuzi wowote ule.

Tokea mwanzo nakumbuka kuelekea uchaguzi was 2020, ACT walishabainisha kwamba hawatosusa. Technically CCM wamefanya vitimbi na mauaji ili ACT wasuse ili wamalize kazi mapema.

Wapinzani wajipange kwa kutumia uchochoro mwembamba wa Zanzibar wakiwa ndani na nje wapige mziki kama inawezekana.

Kwa yaliyotokea 2020 CCM ilitaka kuwahadaa jumuiya ya kimataifa na hawakuwa na namna kufanya hivyo ilibidi wauwe na kuhujumu ili ule utamu was kuwa peke yao kwenye Serikali na Baraza LA Wawakilishi waendelee.

Sasa wamelazimisha kwa gharama kubwa wakiamini wapinzani watasusa.

Naamini kuwe na hesabu Kali ya kusindikiza mambo na kujichawanya kwenye jumuiya za kimataifa na wawemo ndani ya SUK tuone labda kutakuwa na result gani kuliko kususia moja kwa moja bila ya guarantee yoyote.
 
Vijana mnatakiwa sasa mjifunze,endapo Maalim akakubali alafu kuna watu wapo tayari kufa kwaajili ya mtu flani.una kufa na huyo mnaemfia anaungana na aliewauwa maisha yanaendelea.
"mpumbavu mkubwa wewe usikubali kufa kwaajili ya wanasiasa njaa"
 
Hii ni sayansi ya siasa.

Naamini maamuzi yoyote yatakuwa na kitu cha kushika.

Ukiona wamesusa basi jua kumekucha Zanzibar.

Ukiona wameingia ujuwe hesabu inatakiwa wawemo ili mapambano yanoge.

CCM INA Nazi ya kujibu tuhuma za mauaji na kuvunja sharia, na wakati huo huo GNU inatakiwa iwepo.

Manahodha hodari ndio wanahitajika hapa na sio kususia.
 
Vijana mnatakiwa sasa mjifunze,endapo Maalim akakubali alafu kuna watu wapo tayari kufa kwaajili ya mtu flani.una kufa na huyo mnaemfia anaungana na aliewauwa maisha yanaendelea.
"mpumbavu mkubwa wewe usikubali kufa kwaajili ya wanasiasa njaa"
Safari hii sidhani kama maalim atakubali
 
Vijana mnatakiwa sasa mjifunze,endapo Maalim akakubali alafu kuna watu wapo tayari kufa kwaajili ya mtu flani.una kufa na huyo mnaemfia anaungana na aliewauwa maisha yanaendelea.
"mpumbavu mkubwa wewe usikubali kufa kwaajili ya wanasiasa njaa"
Katika wahafidhina nawe umo.

Waliotenda makosa wanahitaji kuwajibishwa.

Katiba inahitaji GNU. Katika mazingira hayo lazima wahafidhina wawe na wasiwasi iwapo ACT itaingia serikalini.

Mambo mengine acha tusiseme hapa.

Fikiria yatakapokuja masindikizo ya kimataifa kama yapo na walioathiriwa wakiwa wamo serikalini itakuwaje?

Jee huko ndani hali itakuwaje?

Nasisitiza manahodha hodari tu ndio watanielewa.
 
Kwahiyo mmeuwa na kufanya kila unyama pemba ili mate Urais kwa mauaji halafu mtake maridhiano?

Hayo maridhiano mtu akakae na mamaye na babaye.
 
Akikataa then inakuwaje?

Unaongea mtu ambae silaha yake ni kijiko na uma tu?

Waijenge nchi
Jinga kabisa hakuna asiejua jeur ya Maalim ni kwamba UMMA WA WAZANZIBAR upo pamoja na yeye siasa za ZANZIBAR wewe zisikie tuu ukiwa huko Tandahimba
 
Umeandika point sana mkuu,ila kwamimi msimamo wangu ukopalepale.siwezi kufa kwaajili ya wanasiasa.
 
Mungu amekusikia. Utakufa wewe na kumwacha Maalim akiwa mzima. Hauna arguments. Umejaa chuki dhidi ya binadamu mwenzio. Shetani amekujaa kifuani. Ndio maana mnaua wanadamu wenzenu kwa ajili ya madaraka.
Unamshauri mtu ambae hana zaidi ya miaka mitano inatakiwa awe amakufa kupisha wengine wazaliwe?

Yaani akikataa hii mitano hana kitu kingine anaweza kuifanyia Zanzibar kwa umri wake.

Mdanganye afe bila sifa yoyote.
 

Kumbuka kuna watu wako ndani na haijulikani mustakbali wao, kuna wale waliosafirishwa kupelekwa Tanganyika akina Mazuri Naibu Katibu wa ACT-Wazalendo lakini kuna wengine wengi Unguja na Pemba wanateswa kinyama, pia wewe hujui kinachoendelea kuna familia wamekimbia kusikojulikana kama pale Ngwachani Pemba kijiji kizima kimesambaratika kusikojulikana mateso kila aina kwa wapita njia eneo lile mpaka uonyeshe kitambulisho kama unakaa nje ya Ngwachani ndio unapita. Kule shumba Pemba karibu watu 60 wako ndani na mateso na kila siku polisi wanaenda kuangalia nani amerudi kijijini wanamshika zinaachwa nyumba za wana ccm tu.

Mimi nadhani maalim anaweza kukubali kwa masharti ili kunusuru zile familia ziwe huru na watu wengine ambao wanaumizwa kinyama. Kama watakubali kuwaacha huru ni bora kuliko hayo mengine watu watavumilia mpaka Mungu mwenyewe atakapoleta wepese juu ya hao madhalimu waliokubuhu.
 
Hizo mbinu za CCM hutumika kote ili kuwakatisha tamaa wapinzani, mfano kutowapa mawakala nakala za matokeo, ili kuwavuruga makusudi wasusie uchaguzi, na wapinzani wakilazimisha kushiriki, ndio CCM wanafanya mambo ya aibu kama waliyofanya mwaka huu.

Watu wa aina hii wanachotaka ni kususiwa, halafu wao watatafuta vile vyama vyepesi vya upinzani wawape nafasi kadhaa maisha yaendelee, nyie mnaosusa ndio mnakuwa mnajifuta kwenye siasa taratibu.

Japo chama cha siasa kinaweza kubaki na wapiga kura wake, kwasababu siasa ni itikadi, na itikadi iko ndani ya mtu, lakini pamoja na hayo hao wapiga kura watakosa kazi ya kufanya kama chao kitakuwa cha kususa tu.
 
Seif achana na tapeli Mbowe wewe kubali kushirikiana na ccm ule mema ya nchi unafikiri Mbowe atakupa hela ya kulipa deni lako pale Serena hotel?
Unafikiri wewe unavyolipwa buku 7 na mwenzako yuko cheap??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…