Chondechonde Maalim Seif Sharif Hamad

Akikataa then inakuwaje?

Unaongea mtu ambae silaha yake ni kijiko na uma tu?

Waijenge nchi
Kama walishindwa kuijenga kwa zaidi ya miaka 50 ndiyo wataweza leo baada ya kumwaga damu za wenzao??
 
Safari hii sidhani kama maalim atakubali
Atakubali tu,kwani kunajipya gani ata asipokubali,aliwai kususa kwani kilipungua nini?ataweka masharti yake na yatafanyiwa kazi kisha atakuwa makamu wa kwanza na nchi itasonga.
 
Unamshauri mtu ambae hana zaidi ya miaka mitano inatakiwa awe amakufa kupisha wengine wazaliwe?

Yaani akikataa hii mitano hana kitu kingine anaweza kuifanyia Zanzibar kwa umri wake.

Mdanganye afe bila sifa yoyote.
Mungu alivyo fundi unaweza kufa wewe na yeye ukamuacha. Angalia kwa Mzee mamvi Lowasa si mlisema hata mwaka hamalizi? Haya wamekufa wangapi since 2015 mpaka leo mamvi anajikongoja.
 
Agenda tuliokuwa nayo kwa sasa ni kufuta Umoja wa kitaifa

Tukiingia Baraza la wawakilishi tuna zaidi ya theluthi mbili

Inaekwa mezani kura za Ndio nyingi tumeifuta

Hatutaki tuchanganye mchele na Pumba
Umeelewaaaa
Mbona huko upande wa pili mnahangaika sana kupata kambi rasmi bungeni??
 
Umeandika point sana mkuu,ila kwamimi msimamo wangu ukopalepale.siwezi kufa kwaajili ya wanasiasa.
Na hakuna anaekufa kwa ajili ya wanasiasa,sema au jiulize wameuliwa kwa ajili .

Ndani ya Qurani ipo aya inauliza .......Wameuliwa kwa dhambi gani?
CCM au Mheshimiwa Raisi wa Zanzibar aijibu Qurani hapo na hata kadhi anaemsaka Maalim Seif amjibu ALLAH hapo waliouliwa wameuliwa kwa kosa gani ?.
 
Watu wamelala wanatiliwa bomu dirishani ,utasema wamekufa kwa ajili ya wanasiasa ?
 
Katika siasa kuna principle zake ambazo ni vigumu kuzikwepa. Moja, hakuna adui au rafiki wa kudumu ndio maana unaona leo Zitto na Lissu wanashirikiana; ukikumbuka CHADEMA walivyomfanyia Zitto walimfukuza uanachama wakati bunge linakaribia kuvunjwa ili akose mafao yake, isingekuwa mahakama kutoa zuio Zitto angekosa kiinua mgongo

Katiba ya Zanzibar inaeleza mshindi wa pili atakuwa makamo wa kwanza wa Rais hivyo sio suala la kutongozana bali ni hitaji la kikatiba Maalim achukue nafasi yake.
 
mi sijakuelewa hapa kwe reply yako mkuu.
kwani Quran inamtaka mwanadamu awe chama kipi cha siasa?
au chama kipi cha siasa hapa Tanzania kinatumia Quran kama katiba ya chama?
 
Atakubali tu,kwani kunajipya gani ata asipokubali,aliwai kususa kwani kilipungua nini?ataweka masharti yake na yatafanyiwa kazi kisha atakuwa makamu wa kwanza na nchi itasonga.
Nchi kusonga sidhani, kanchi kadogo watu hawafiki hata 3M lakini kamedumaa hadi leo raia wanakula mapembe, asipokubali kuungana na madhalimu atajiongezea uaminifu kwa wanaomuamini,
 
Nchi kusonga sidhani, kanchi kadogo watu hawafiki hata 3M lakini kamedumaa hadi leo raia wanakula mapembe, asipokubali kuungana na madhalimu atajiongezea uaminifu kwa wanaomuamini,
Atakubali tu,piga uwa atakubali.Maalim wa sasa ni tofauti na Maalim wa kipindi icho,uyu wasasa mwepesi sana.
 
Atakubali tu,piga uwa atakubali.Maalim wa sasa ni tofauti na Maalim wa kipindi icho,uyu wasasa mwepesi sana.
Muda ni hakimu mzuri sana, kumbuka ana masiku machache tu yasiyozidi wiki kutoa msimamo
 
Acha chuki zako za kijinga, Katiba ya Zbr inamtambua maalim Sef Kama makamo wa 1 wa rais wa Zbr
 
Muda ni hakimu mzuri sana, kumbuka ana masiku machache tu yasiyozidi wiki kutoa msimamo
Aliojiwa na BBC akasema yeye kama yeye awezi toa msimamo mpaka chama kikae kuamua.
ACT ni chama kichanga kinaitaji kujijenga na kupata nafasi,Zito kama kiongozi mkuu wa chama na kwajinsi ninavyomjua bwana Zito awezi kataa nafasi adhimu kama hii.
 
Unamshauri mtu ambae hana zaidi ya miaka mitano inatakiwa awe amakufa kupisha wengine wazaliwe?

Yaani akikataa hii mitano hana kitu kingine anaweza kuifanyia Zanzibar kwa umri wake.

Mdanganye afe bila sifa yoyote.
Very sad
 
Aliojiwa na BBC akasema yeye kama yeye awezi toa msimamo mpaka chama kikae kuamua.
ACT ni chama kichanga kinaitaji kujijenga na kupata nafasi,Zito kama kiongozi mkuu wa chama na kwajinsi ninavyomjua bwana Zito awezi kataa nafasi adhimu kama hii.
Unajua seif na zito maisha ya dhiki walishayapita wanachogombania ni kuwatoa wengine kwenye dhiki, sasa kama watakubali wakati wakiingia kwenye mashirikiano wanaenda kuwa bosheni tu watakuwa wamejishushia heshima sana
 
Mkuu KISHADA. Kwanza nielewe kwamba sipingi wawakilishi wAliotoka ACT kuishiriki BLW . Ninachokataa ni Maalim kukubali danganya ya umakamo wakati huu ambao wananchi wameuliwa kikatili, wamebakwa, wamelawitiwa na kudhalilishwa. Ikitokea Maalim kukubali hayo maanake anaungana na wauaji. wacha ajadiliane na, kama kuna haja ya kufanya hivyo a, kiwa nje ya mfumo. Binafsi siamini kwamba mazungumzo yatazaa matunda kwa utamaduni uliojengeka ndani ya CCM kuona ni chama hicho tu ndio chenye haki ya kuongoza hata kama ni kwa kumwaga damu za wananchi wasio na Hatia.
 
Hatutaki ushauri wenu nyie maakhanith
 
Akikataa then inakuwaje?

Unaongea mtu ambae silaha yake ni kijiko na uma tu?

Waijenge nchi
Nchi haijengwi kwa ulaghai,watu wamekufa,wameuliwa,wamekuwa vilema, wengine hawajulukani wako wapi,wamepotea..

CCM dhambi zilewaelea,watafanya chochote ili wabaki madarakani,..

Kwa kweli hawajali umma wa Watanzania,wanahujali wao na na Chama Chao
 
Unajua seif na zito maisha ya dhiki walishayapita wanachogombania ni kuwatoa wengine kwenye dhiki, sasa kama watakubali wakati wakiingia kwenye mashirikiano wanaenda kuwa bosheni tu watakuwa wamejishushia heshima sana
wakiingia itakuwa nafasi nzuri ya kudai katiba mpya na tume huru ndani ya system kuliko kudai wakiwa nje ya system.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…