Chondechonde Maalim Seif Sharif Hamad

wakiingia itakuwa nafasi nzuri ya kudai katiba mpya na tume huru ndani ya system kuliko kudai wakiwa nje ya system.
Ccm watakuwa na kichaa kukubali tume huru, tume ya 2015 ilikuwa na wajumbe kutoka kambi ya maalim seif lakini kilichotokea uchaguzi kufutwa bila wajumbe wa maalim kujulishwa.
 
Biden ana 77 pia, na Trump ana 74
 
Kwa ushauri tu,seif akubali tu,maridhiano,kugombana sio vizuri
 
Siwezi kubaliana na hilo. Kama wameamua kuuwa waache waendelee kuuwa lakini kurudi nyuma na kuingia kwenye mtego wao ni kujimaliza na kuziua hizi harakati za ukombozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…