Chondechonde: Rais Samia tuondolee Nape kwenye hii Wizara, hana uelewa katika Technologia anadhalilisha Taifa

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,897
Mama shikamoo!

Kwanza pole na majukumu mengi ya kitaifa. Mimi ni mdau mkubwa sana kwenye technology mwenye weledi mapana sana.

Hutuba nyingi sana za waziri zinaonyesha ana uwelewa mdogo sana katika Technologia hivyo kama kauli za Tunadhalilika sana.

Mfano VPN ni njia pekee katika cyber security ya kulinda taarifa za miamala yote Duniani ya kifedha na taarifa mbalimbali. Hakuna njia nyingine zaidi ya VPN.

VPN imekuwa msaada mkubwa sana kwa mashirika ya umma pamoja na mitandao. Haiwezekani matumizi ya VPN kusitishwa.

Amekuwa na kauli nyingi ambazo haziendani na sifa za kibobezi katika wizara.

Pia Soma:
- TCRA: Ukikutwa unatumia VPN Tanzania, faini milioni 5, kifungo mwaka mmoja
 
Bila shaka waziri anahusisha VPN na usambazaji wa picha na app za ngono zinazosambazwa kupitia facebook kwa sana siku hizi.

Kuhusu weledi wa Nape nakubaliana yuko mtupu kwa sababu kwa nini wameshindwa kudhibiti picha za ngono kwenye fb.

FB ni mtandao muhimu sana kuwasiliana ila siku hizi kwa wapenzi wa mtandao inabidi ukiingia uhakikishe uko kando na watoto wako na mkeo kwani wakati wowote inaweza tokea picha ya uchi kuhamasisha ngono.
 
Katazo halihusu wote, wapo watakaoendelea kuitumia ila kama haumo kwenye hilo kundi walilolitaja funga vilago.
Hapo wanaingilia mpaka uhuru wa mtu binafsi sasa.... Kutumia VPN kwenye simu yangu mwenyewe ni uhuru wangu, serikali inabidi ipigwe vita kuanza kuingilia uhuru wa wananchi mpaka kwenye matumizi ya simu... Dictatorship ndio inaanzaga hivi
 
Mama shikamoo!

Kwanza pole na majukumu mengi ya kitaifa. Mimi ni mdau mkubwa sana kwenye technology mwenye weledi mapana sana.

Hutuba nyingi sana za waziri zinaonyesha ana uwelewa mdogo sana katika Technologia hivyo kama kauli za Tunadhalilika sana.

Mfano VPN ni njia pekee katika cyber security ya kulinda taarifa za miamala yote Duniani ya kifedha na taarifa mbalimbali. Hakuna njia nyingine zaidi ya VPN.

VPN imekuwa msaada mkubwa sana kwa mashirika ya umma pamoja na mitandao. Haiwezekani matumizi ya VPN kusitishwa.

Amekuwa na kauli nyingi ambazo haziendani na sifa za kibobezi katika wizara.

Pia Soma:
- TCRA: Ukikutwa unatumia VPN Tanzania, faini milioni 5, kifungo mwaka mmoja
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Kama sijakosea kwenye VPN kuna tahadhari ya matumizi kulingana na nchi.
 
Mama shikamoo!

Kwanza pole na majukumu mengi ya kitaifa. Mimi ni mdau mkubwa sana kwenye technology mwenye weledi mapana sana.

Hutuba nyingi sana za waziri zinaonyesha ana uwelewa mdogo sana katika Technologia hivyo kama kauli za Tunadhalilika sana.

Mfano VPN ni njia pekee katika cyber security ya kulinda taarifa za miamala yote Duniani ya kifedha na taarifa mbalimbali. Hakuna njia nyingine zaidi ya VPN.

VPN imekuwa msaada mkubwa sana kwa mashirika ya umma pamoja na mitandao. Haiwezekani matumizi ya VPN kusitishwa.

Amekuwa na kauli nyingi ambazo haziendani na sifa za kibobezi katika wizara.

Pia Soma:
- TCRA: Ukikutwa unatumia VPN Tanzania, faini milioni 5, kifungo mwaka mmoja
Na ndio maana hata Antivirus/Internet Security App zinakuwa associated na VPN kama sehemu ya kiulinzi wa mtandao.
 
Back
Top Bottom