Chondechonde: Rais Samia tuondolee Nape kwenye hii Wizara, hana uelewa katika Technologia anadhalilisha Taifa

Chondechonde: Rais Samia tuondolee Nape kwenye hii Wizara, hana uelewa katika Technologia anadhalilisha Taifa

Mkataba wa Mwitongo ndo unatutesa, Watu hawana uwezo ila bado wako wizarani
 
Huyu kijana ni mchawi duniani koteeeeee tupo na Elon musk yeye ndio Kwanzaa ,UJIMA
Kwa nini unamwita kijana?
Huyu ni zaidi ya miaka 35
Kijana mwisho ni miaka 35 ( UN )

Huyo ni old school sanaaa
Kukosa exposure ndio kunamsumbua
Mkulu atambue hawa ndio wanaomdanganya
 
Ila katika hili wamekurupuka sana yaani tuko ulimwengu mpya kabisa we uturudishe ujima kweli. Hili lichama lina majinga mengi sana.
 
Mama shikamoo!

Kwanza pole na majukumu mengi ya kitaifa. Mimi ni mdau mkubwa sana kwenye technology mwenye weledi mapana sana.

Hutuba nyingi sana za waziri zinaonyesha ana uwelewa mdogo sana katika Technologia hivyo kama kauli za Tunadhalilika sana.

Mfano VPN ni njia pekee katika cyber security ya kulinda taarifa za miamala yote Duniani ya kifedha na taarifa mbalimbali. Hakuna njia nyingine zaidi ya VPN.

VPN imekuwa msaada mkubwa sana kwa mashirika ya umma pamoja na mitandao. Haiwezekani matumizi ya VPN kusitishwa.

Amekuwa na kauli nyingi ambazo haziendani na sifa za kibobezi katika wizara.

Pia Soma:
- TCRA: Ukikutwa unatumia VPN Tanzania, faini milioni 5, kifungo mwaka mmoja
Upate div 4 afu uwe na utaalam wa technolojia
 
Kwa nini unamwita kijana?
Huyu ni zaidi ya miaka 35
Kijana mwisho ni miaka 35 ( UN )

Huyo ni old school sanaaa
Kukosa exposure ndio kunamsumbua
Mkulu atambue hawa ndio wanaomdanganya
Nisamehe huyu alizima Bunge,huyu aliibakura bao la mkono.
 
Nape hataki starlink ambayo ingeleta ushindani kwa kampuni za mawasiliano na kuwapa unafuu wananchi,nape kuhusu suala la wananchi kuibiwa bando na na kampuni za simu pa1 na malalamiko yote lakini kaziba masikio,leo nape anakuja na ujinga mwingine wa kuzuia vpn,jamaa yupo pale kwa ajili ya kukandamiza watu tu,ile wizara hamfai kabisa
 
Mama shikamoo!

Kwanza pole na majukumu mengi ya kitaifa. Mimi ni mdau mkubwa sana kwenye technology mwenye weledi mapana sana.

Hutuba nyingi sana za waziri zinaonyesha ana uwelewa mdogo sana katika Technologia hivyo kama kauli za Tunadhalilika sana.

Mfano VPN ni njia pekee katika cyber security ya kulinda taarifa za miamala yote Duniani ya kifedha na taarifa mbalimbali. Hakuna njia nyingine zaidi ya VPN.

VPN imekuwa msaada mkubwa sana kwa mashirika ya umma pamoja na mitandao. Haiwezekani matumizi ya VPN kusitishwa.

Amekuwa na kauli nyingi ambazo haziendani na sifa za kibobezi katika wizara.

Pia Soma:
- TCRA: Ukikutwa unatumia VPN Tanzania, faini milioni 5, kifungo mwaka mmoja
Waziri mzigo.... ni hasara kwa taifa !

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom