Chondechonde: Rais Samia tuondolee Nape kwenye hii Wizara, hana uelewa katika Technologia anadhalilisha Taifa

Mkataba wa Mwitongo ndo unatutesa, Watu hawana uwezo ila bado wako wizarani
 
Huyu kijana ni mchawi duniani koteeeeee tupo na Elon musk yeye ndio Kwanzaa ,UJIMA
Kwa nini unamwita kijana?
Huyu ni zaidi ya miaka 35
Kijana mwisho ni miaka 35 ( UN )

Huyo ni old school sanaaa
Kukosa exposure ndio kunamsumbua
Mkulu atambue hawa ndio wanaomdanganya
 
Ila katika hili wamekurupuka sana yaani tuko ulimwengu mpya kabisa we uturudishe ujima kweli. Hili lichama lina majinga mengi sana.
 
Upate div 4 afu uwe na utaalam wa technolojia
 
Kwa nini unamwita kijana?
Huyu ni zaidi ya miaka 35
Kijana mwisho ni miaka 35 ( UN )

Huyo ni old school sanaaa
Kukosa exposure ndio kunamsumbua
Mkulu atambue hawa ndio wanaomdanganya
Nisamehe huyu alizima Bunge,huyu aliibakura bao la mkono.
 
Nape hataki starlink ambayo ingeleta ushindani kwa kampuni za mawasiliano na kuwapa unafuu wananchi,nape kuhusu suala la wananchi kuibiwa bando na na kampuni za simu pa1 na malalamiko yote lakini kaziba masikio,leo nape anakuja na ujinga mwingine wa kuzuia vpn,jamaa yupo pale kwa ajili ya kukandamiza watu tu,ile wizara hamfai kabisa
 
Bila orodha yako kuwa taja Mchengelwa, Uweso na Ridhwan sikuungi mkono
Wote hao ni wale wale tu, wanafahamika na Taifa zima kuwa hawana sifa ila ni kubebana tu.
 
Waziri mzigo.... ni hasara kwa taifa !


Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…