RUTAGAMBWA
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 516
- 256
Hata mim nashangaa mkuu, uko sahihiWatanzania kama mlishindwa kufaidika na bomba lenu la gesi kutoka mtwara hili la mafuta kutoka uganda msitegemee kitu
Dah..... Chief nyakati zimebadilika sana... Jiongeze mazee[emoji13] [emoji13]Watanzania kama mlishindwa kufaidika na bomba lenu la gesi kutoka mtwara hili la mafuta kutoka uganda msitegemee kitu
Aisee we kibokoo... Nimecheka balaaa... You are geniusImekaa kitaarabu taarabu napata wasiwasi asili ya taarabu si pwani
Ngoja Jingalao aje!Nimemskia akiwaambia waliokosa fursa ya bomba kupita kwao wamenuna na watanuna sana mane ambayo ni kama kuwanga waliokosa nimejiuliza kwa kiongozi wa nchi nisahihi kutoa lugha hiyo kwa afya ya ujirani mwema?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumezuia makenikia tukitaka yachenjuliwe hapa hapa halafu tunafurahia kusafirisha mafuta ya Uganda..nafikiri tunapoteza kitu mahali fulani..Samahani, naomba kuuliza tu, hivi hayo mafuta tutagawans faida na uganda au? Mbona tunssherehekes sana miradi ya nchi za wengine mpaka nao wansshangaa? Zaidi ya ajira za muda wakati wa ujenzi, tutapata nini zaidi baada ya bomba kukamilika? Naomba kujuzwa! By the way, gesi ya ntwara tulishangilia hivi hivi, ooh mara uchumi wa gesi, mara utatutepeleka kuwa nchi ya uchuni wa kati, sasa hakuna tena habari ya uchumi wa gesi! Hebu nijuzeni enyi wajuvi wa mambo!
Labda kama hawakusema lkn kama walisema kweli kuna haja gani kufichaHuo wimbo uliomalizika hivi punde wa hao waliovaa kanzu ni wa kuichokoza Kenya kwa kuikejeli kuwa ilisema mradi hautafanikiwa. Hakukuwa na haja ya kuisuta Kenya hii ni kutaka kuleta choko choko zusizokuwa na msingi.
Sent using Jamii Forums mobile app