Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

Hahaha, watanzania wapumbavu!bavu Sana,

Mlishindwa kufaidi bomba lenu la gesi,

Munatarajia faida kwa bomba la Uganda

Ambalo siyo lenu...??
 
Watanzania kama mlishindwa kufaidika na bomba lenu la gesi kutoka mtwara hili la mafuta kutoka uganda msitegemee kitu
Hata mim nashangaa mkuu, uko sahihi
Kabisaaa, tatizo ni vichwa vya wendawa....., Alisema Yule wa Awamu ya pili
Na huyu wa Awamu ya tatu kila siku anasema ni wapumbaaavu na malofa
 
Watanzania kama mlishindwa kufaidika na bomba lenu la gesi kutoka mtwara hili la mafuta kutoka uganda msitegemee kitu
Dah..... Chief nyakati zimebadilika sana... Jiongeze mazee[emoji13] [emoji13]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
"Hili bomba limeletwa na serekali ya Magufuli na ya ccm
Mtu yeyote asijisifu ameleta yeye "

Du...
 
Hadi 2020 bomba litakuwa limesha kamilika,

Mikataba ya gas ndiyo tuli fail, wataalamu wa mafuta wa Uganda wataletwa Tanzania kufanya tafiti, nafikiri ni hatua nzuri..

Hongera JPM...
 
Samahani, naomba kuuliza tu, hivi hayo mafuta tutagawans faida na uganda au? Mbona tunssherehekes sana miradi ya nchi za wengine mpaka nao wansshangaa? Zaidi ya ajira za muda wakati wa ujenzi, tutapata nini zaidi baada ya bomba kukamilika? Naomba kujuzwa! By the way, gesi ya ntwara tulishangilia hivi hivi, ooh mara uchumi wa gesi, mara utatutepeleka kuwa nchi ya uchuni wa kati, sasa hakuna tena habari ya uchumi wa gesi! Hebu nijuzeni enyi wajuvi wa mambo!
 
Wataalamu please naomba very concise summary ya kilichosemwa huko Tanga. Wengine hatukuwa karibu. Kuna uzi una posts maelfu too boring to read and make sense out of it!
 
Samahani, naomba kuuliza tu, hivi hayo mafuta tutagawans faida na uganda au? Mbona tunssherehekes sana miradi ya nchi za wengine mpaka nao wansshangaa? Zaidi ya ajira za muda wakati wa ujenzi, tutapata nini zaidi baada ya bomba kukamilika? Naomba kujuzwa! By the way, gesi ya ntwara tulishangilia hivi hivi, ooh mara uchumi wa gesi, mara utatutepeleka kuwa nchi ya uchuni wa kati, sasa hakuna tena habari ya uchumi wa gesi! Hebu nijuzeni enyi wajuvi wa mambo!
Tumezuia makenikia tukitaka yachenjuliwe hapa hapa halafu tunafurahia kusafirisha mafuta ya Uganda..nafikiri tunapoteza kitu mahali fulani..
 
Hata Wakenya mbona huwa wanatutukana sana kwenye vyombo vyao vya habari, ina maana huo Ujirani mwema ni kwetu tu ila kwao hapana?

Najua utajibu kuwa Magufuli ni kiongozi wa nchi lakini wewe fuatilia vizuri bunge la Kenya na hata lile sakati la utalii utaona jinsi walivyomtukana Nyalandu na Kikwete.

Wakenya ni watu wa hovyo sana,
Wala Magufuli asiwachekee hata kidogo.
Nchi ni lazima ifanye biashara kama hawataki mahusiano basi wakafie mbele huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Commred chichimizi

MC waleo kiboko anamuita Naibu waziri amkaribishe Raisi ile hali waziri mkuu na makamu wa Raisi yupo?
[emoji23]itifaki haikuzingatiwa.

Commred Chichimizi

commred Chichimizi
 
Back
Top Bottom