Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

Sidhani kama Rais yuko sahihi kuzungumzia Mambo ya uchama kwenye uzinduzi ambao una watu wa Uganda..

Mambo ya ndani yangebaki kuwa mambo ya ndani tuu..
Wewe bado kwenye siasa maana alivyoongea amebalance sana na ingekuwa kwingine kiongozi angeongeza mengi zaidi ya hayo Rais aliyosema.
 
Afrika hii nani?, si mwizi........hata mkulima wa jembe la mkono ni mwizi,,,,,,,ukitaka kujua kuwa ni mwizi,,,siku akiwa na kibarua wakumusaidia sambani , badala ya kutoka SAA 6 ya siku zote,,,,,,,kipindi hiki akiwa na kibarua mpaka saa12,,,,ndipo atamutoka shamba .....
Kila mtu kuwa mwizi siyo ufahari wala haihalalishi wizi kwamba ni jambo jema. Za mwizi 40!
 
Kweli Makonda bila clouds hakuna kitu.

Wale mliosema clouds wanatumika na madawa ya kulevya kua lile tukio lilikua staged mneona leo.

Kama lingekua tukio la uongo rais asingemuombea makonda msamaha kwa ruge.
 
Kwamba? Unasemaje?
Mzee kamita jukwaani Ruge then akamwita na makonda akawaambia washikane mikono na pia akasema anataka mambo yao yaishe wapige kazi.... Clouds wamejaribu kukwepesha kamera ila wakashindwa

Kupima mkojo na uchochezi wapi na wapi??
 
Back
Top Bottom