MJINI CHAI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 2,202
- 1,228
''.......Hao jamaa wanaimba eti "kenya hawatuwezi" huo ni u primitive kabisaa sijui kwann WaTz tuna assert za ajabu sanaaa ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Msitegee mafanikio ya ghafla. Mafanikio yanakuja baada ya realization. Hapo watanzania watakapo jua manufaa ya natural Gas ndipo maendeleo yatakuja. Msingi upo. Tuko katika mkondo mzuri.[emoji3] [emoji3] [emoji3] hii nayo ni point ukiiangalia kwa jicho la tatu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unapenda thread za kumsifia mvaa heleniUseless thread
nambie halimaUseless thread
Still useless threadnambie halima
uko dunia gani kijanaTanga kulikuwa na nini kama kiashiria cha kuelekea Tanzania kuwa nchi ya kusaidia nchi maskini?
Hakuna rangi mtaacha kuona. Tulieni dozi iingie uzuriiiStill useless thread
Wewe ni ME au KENaona unapenda thread za kumsifia mvaa heleni
Siyo lazima mtu kujua kila kitu! Nijuze unitoe ujingani.uko dunia gani kijana
Yet, it is the useless threadWewe ni ME au KE
as you are a useless creatureYet, it is the useless thread